Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

View attachment 3012686
Huyu Mzee aliuza Mababu zetu huyu Mama tisipompiga Stop nae atatuuza.

Tusipokuwa Makini Watanganyika tutauzwa Uarabuni.

Ni kweli kabisa.

Wazanzibari Chini ya Sultani ndio waliowakaribisha Wajerumani na kuwapa kibali cha kuipeleleza Tanganyika na baadae wakamtumia Chifu Mangungo kuuza Tanganyika kwa Rushwa ya shanga ,vitambaa vya kaniki na Kanzu na makoti ya suti za kizungu yaliyokuwa yanavaliwa juu ya Kanzu ,wakati huo akiwa anaitawala Usagara ambayo ilikua chini ya Sultani wa Zanzibar. Hivyo mkataba huo ni lazima kuwa ulisimamiwa na Sultani mana Ukanda wa Pwani ulikua chini ya Sultani.
 
Kwa hiyo anapitia wapi? Au huelewa kabisa mfumo wa Kanisa?

Unadhani unaweza kuchomoka tu kutoka popote ukasema unataka kuwa Padre?
Kuna seminari mbili junior na senior labda ungesma senior lazima kila padre apitie huko lakini siyo lazima junior na junior ndo vichwa sana. Senior asilimia kubwa ni vilaza ambao walikuwa low sana junior
 
View attachment 3012595
Mkuu kwa hayo uliyo sema, nina hakika kabisa ni kweli, huyu mzee Claus siyo mtu wa mchezo kabisa. Effects zake ni kubwa sana kwani WEF ni kiungo muhimu kuelekea NWO
Dah!Hamna kazi mkuu,huyu mama kumbe alishakutana na Claus Schwab!Huyu ndiye Chief Overseer wa mpango wa kuelekea NWO.Simply put it,we are done.
 
Wewe ndiye umejikabizi kwa shetani na kumtumikia shetani. Lakini Taifa letu linaendelea kulindwa na mkono wa Mungu.ndio maana ya kuendelea kutamalaki kwa amani na utulivu hapa Nchini
Matendo ndiyo yanayotambulisha entity kwamba it belongs to Satan mkuu,Kwa vitendo vya watawala wetu,no doubt 100% that our country has been captured by Satan.
 
Dah!Hamna kazi mkuu,huyu mama kumbe alishakutana na Claus Schwab!Huyu ndiye Chief Overseer wa mpango wa kuelekea NWO.Simply put it,we are done.
Hatuwezi kujitenga na mabadiliko na Kasi ya upepo wa kidunia unaovuma!kinachohitajika no kuwa makini na wabunifu tupate kilichobora kwa ajili ya mstakabali wa nchi yetu!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu. Amekuwa ni mtu mwenye chuki, vurugu na mzushi wa masuala mbalimbali ili kuwachafua viongozi wetu hasa Rais pamoja na kumchonganisha na Wananchi.

Unaweza muangalia Dkt Slaa wa wakati wa Mheshimiwa Kikwete, wakati wa Hayati Dkt Magufuli na wakati huu wa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan. Utagundua ya kuwa anaongozwa zaidi na Udini pamoja na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais.

Hali hiyo imempa upofu wa akili na macho katika kujadili hoja. Ndio sababu unaona anakuwa akizusha mambo mbalimbali ya uongo na uchonganisha kwa lengo la kutaka kuifanya serikali ichukiwe na wananchi. Jiulize kama umewahi kumuona au kumsikia Dkt Slaa akikosoa kitu chochote kile katika utawala uliopita. Unafikiri ni kwanini? Jibu ni Udini tuu ndio muongozo wake. Ndio maana kwa Udini wake yupo tayari kuzusha lolote na kusema uongo wowote ule ili serikali ichukiwe na kuleta taharuki pale inapokuwa ikiongozwa na muislamu.

Lakini ni huo huo Udini wa Dkt Slaa anaweza kufumbia macho kitu chochote kile na kutetea kila jambo ikiwa tu ni wa upande wa Dini yake. Ndio maana katika uzushi anaoongea huwezi ukaona akiweka ushahidi wa aina yoyote ile mezani kuthibitisha madai yake ya uzushi na uongo. Hawezi akaweka nyaraka yoyote ile kuthibitisha maneno yake.

Watanzania tunapaswa kumpuuza na kukataa kabisa kuingia katika mtego wa Dkt Slaa wenye lengo na ajenda ya chuki binafsi na Udini kwa kutunga vitu vya kizushi na uongo. Tumkatalie zidi ya ajenda zake chafu za kumchafua Mheshimiwa Rais na tumkemee kwa nguvu zote. Tumwambie kama ana ushahidi wa lolote lile anapokuwa akizungumza hadharani basi atuwekee kwanza ushahidi.

Napenda kumalizia kwa kusema kuwa dkt Slaa hata fanikisha ajenda zake za Udini na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais, na wala hatafanikiwa kumchafua kwa namna yoyote ile kama ambavyo amekuwa akifanya jitihada za kutaka kumchafua Rais wetu na kumjengea taswira mbaya kwa wananchi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Inaweza ikawa ni kweli Lucas lakini Hoka zake zijibiwe kisayansi na kisiasa na sio ku attack personality yake!

Kukanusha hoja zake kuwa ni uzushi inatosha!
 
Slaa sio Zito tutake radhi Wazalendo wa Nchi hii
 
Kobazi mna kazi kweli,kwanini kila anayempinga iwe dini?,mbona Mimi ni mlokole na namkubali sana Samia,mwashambwa Ukiwa muislamu sio lazima ziwe hamnazo.
 
Wagalatia wana chuki sana rais akiwa sio mkristo, wana udini mno mno, hata hapa Jf asilimia kubwa wanaomtukana rais ni wagalatia
 
Wewe kweli ni punguani. Unaandika vitu ambavyo huna uelewa kabisa.

Wewe unaongelea mkataba mtoto wa bandari ya Dar, ambao ni utekelezaji wa mkataba mkuu IGA. IGA inatamka wazi kuwa DPW ndiyo watakuwa wawekezaji pekee kwenye bandari zote za Tanzania. Na mkataba huo utendelea kuwa hai mpaka biashara ya bandari itakapokoma. Wewe unajua biashara ya bandari itakoma lini?

Ninyi machawa msio na akili ni mashetani na wasaliti wakubwa wa Taifa. Hata hawa wanaofanya huu uhayawani watakuwa wanawadharau kwa sababu wanajua kuwa akili zenu zinapofushwa kwa ujira mdogo sana. Watu wanaongelea mambo ya msingi kwa Taifa, ninyi mnakuja na maneno yenu ya kijuha na ujinga kwa sababu ya kurushiwa vihela vidogo na watawala waliokosa uzalendo kwa nchi, wanaotumika kama agents wa mataifa ya kiarabu.

Dunia nzima, hao DPW hawajawahi kusaini mkataba wa kishetani kama huo waliosaini na hawa watawala waliopofushwa kwa rushwa na uelewa mdogo.
Kweli wewe akili yako ni ndogo sana na huelewi chochote kile. Ninyi si ndio mlikuwa mstari wa mbele kusema uzushi wa kuwa bandari zote zimepewa na kutolewa kwa Dp World? Sasa je kama huna upofu wa akili na macho hujaona TPA wakitangaza tenda kwa mwekezaji yeyote yule anayetaka kuwekeza pale bandarini? Acheni uzushi na uwongo
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu. Amekuwa ni mtu mwenye chuki, vurugu na mzushi wa masuala mbalimbali ili kuwachafua viongozi wetu hasa Rais pamoja na kumchonganisha na Wananchi.

Unaweza muangalia Dkt Slaa wa wakati wa Mheshimiwa Kikwete, wakati wa Hayati Dkt Magufuli na wakati huu wa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan. Utagundua ya kuwa anaongozwa zaidi na Udini pamoja na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais.

Hali hiyo imempa upofu wa akili na macho katika kujadili hoja. Ndio sababu unaona anakuwa akizusha mambo mbalimbali ya uongo na uchonganisha kwa lengo la kutaka kuifanya serikali ichukiwe na wananchi. Jiulize kama umewahi kumuona au kumsikia Dkt Slaa akikosoa kitu chochote kile katika utawala uliopita. Unafikiri ni kwanini? Jibu ni Udini tuu ndio muongozo wake. Ndio maana kwa Udini wake yupo tayari kuzusha lolote na kusema uongo wowote ule ili serikali ichukiwe na kuleta taharuki pale inapokuwa ikiongozwa na muislamu.

Lakini ni huo huo Udini wa Dkt Slaa anaweza kufumbia macho kitu chochote kile na kutetea kila jambo ikiwa tu ni wa upande wa Dini yake. Ndio maana katika uzushi anaoongea huwezi ukaona akiweka ushahidi wa aina yoyote ile mezani kuthibitisha madai yake ya uzushi na uongo. Hawezi akaweka nyaraka yoyote ile kuthibitisha maneno yake.

Watanzania tunapaswa kumpuuza na kukataa kabisa kuingia katika mtego wa Dkt Slaa wenye lengo na ajenda ya chuki binafsi na Udini kwa kutunga vitu vya kizushi na uongo. Tumkatalie zidi ya ajenda zake chafu za kumchafua Mheshimiwa Rais na tumkemee kwa nguvu zote. Tumwambie kama ana ushahidi wa lolote lile anapokuwa akizungumza hadharani basi atuwekee kwanza ushahidi.

Napenda kumalizia kwa kusema kuwa dkt Slaa hata fanikisha ajenda zake za Udini na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais, na wala hatafanikiwa kumchafua kwa namna yoyote ile kama ambavyo amekuwa akifanya jitihada za kutaka kumchafua Rais wetu na kumjengea taswira mbaya kwa wananchi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
huyo ni ndumilakuwili, upadre ulimshinda na sahivi ndoa imemshinda, amekuwa kichaa huyo mzee
 
Kweli wewe akili yako ni ndogo sana na huelewi chochote kile. Ninyi si ndio mlikuwa mstari wa mbele kusema uzushi wa kuwa bandari zote zimepewa na kutolewa kwa Dp World? Sasa je kama huna upofu wa akili na macho hujaona TPA wakitangaza tenda kwa mwekezaji yeyote yule anayetaka kuwekeza pale bandarini? Acheni uzushi na uwongo
waeleze hao wenye udumavu wa akili
 
Lukasi hebu jaribu mara moja moja kutumia kichwa kwa kufikiri blaza. Kazi ya kichwa sio kabati la kutunzia meno na kupigia mipira ya kona wakati wa football
na wewe unayetumia makalio unajitambua kweli?
 
Hatuwezi kujitenga na mabadiliko na Kasi ya upepo wa kidunia unaovuma!kinachohitajika no kuwa makini na wabunifu tupate kilichobora kwa ajili ya mstakabali wa nchi yetu!
So kama Dunia ikiwa ovu na sisi tuwe waovu,tekinolojia zikija za kutudhuru tuzikumbatie,za kutuingiza utumwani tuzikumbatie.Ujinga naona ni ule ule wa "wasanii ndio kioo cha jamii." So wakidunga mimba watoto wa watu na sisi tudunge mimba watoto wa watu;wakibadilisha wanawake kama nguo na sisi tufanye vivyo hivyo.I am sorry but you couldn't be more morally bankrupt mkuu.
 
Nasema mimi siyo muislamu.sasa unalazimisheje jibu lisilo la ukweli.
Fanya uchawa uwezavyo,lamba miguu ya wanasiasa uwezavyo lakini kutumia dini kisiasa ni hatari sana.utafanikiwa kuwapata waislamu lakini baadae mtaanza dhehebu gani Suni, ahmdiya,shia,whabbi,sarafi,berelvi,Khawarij n.k.
 
Back
Top Bottom