Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

Siandiki kwaajili ya kulipwa bali naandika kwa ajili ya kuonyesha ukweli na kuondoa upotoshaji.
Huna unalolijua mkuu wewe omba mungu shemeji asikukazie akakurudisha huko kwenu Namanyere

Ungeandika uzi kuonyesha mafanikio yake na Ushahidi pengine ungeonekana wa maana sawa

Mwisho HIZI MB UNAZOCHEZEA NENDA KAANGALIE X , UJICHUE THEN ULALE TUU.
 
Wakati utaongea na tutajua kuhusu kisiwa cha mafia. Msiwe na presha wala matizi, muda utatujulisha kila kitu. Mwenye yuko sahihi kati ya slaa na serikali itajulikana.
 
Naona kichwa na akili yako umejaza ujinga mtupu.
 
Wakati utaongea na tutajua kuhusu kisiwa cha mafia. Msiwe na presha wala matizi, muda utatujulisha kila kitu. Mwenye yuko sahihi kati ya slaa na serikali itajulikana.
Mwenye akili angeongea akiwa na ushahidi mkononi pake.lakini Mwenye chuki binafsi anazua tu jambo kwa lengo la kuleta taharuki na uchonganishi kwa ajili ya kuichafua serikali na Mheshimiwa Rais
 
Watanzania tulivuka mstari wa kutugawa kidini zamani sana. Hoja za kisiasa zinazojengwa kuhusu dini zinatoka kwa wapumbavu wachache sana.
Siyo rahisi kuwagawa watanzania kidini au utanganyika na uzanzibari. Kinachotakiwa ni facts za kurekebishana kisiasa kwa mustakabali mwema wa taifa.
 
Watanzania hatuwezi kuunga mkono na kumfumbia macho mtu anayeleta habari za Udini na chuki binafsi kwa kuzusha vitu vya uongo na uchonganisha kwa maslahi yake binafsi na genge lake.

Sema mimi siwezi. Rais au viongozi wetu sio wamiliki binafsi wa nchi yetu. Hii mikataba inayoendelea inaleta mashaka sana. Kuuliza sio ujinga.
Kama kuulizia ni udini, basi hata kuuza nchi ni udini huo huo, maana wanauza au wanaingia mikataba kwa ridhaa ya nani?
Hakuna kiongozi bila watu wa kuongoza.
 
Mwenye akili angeongea akiwa na ushahidi mkononi pake.lakini Mwenye chuki binafsi anazua tu jambo kwa lengo la kuleta taharuki na uchonganishi kwa ajili ya kuichafua serikali na Mheshimiwa Rais

Lucas nakushauri usihukumu kwamba dr slaa anachuki, acha muda uweke kila kitu wazi. Jaziba na maneno makali hayasaidii. Ikiwa si kweli tutamjua dr slaa. Acha muda ulete taarifa sahihi.
 
Mara mia kuliko kuwa mwanaume wa sampuli yako

Tulikuwa nao wengi sana humu JF na walikata tamaa labda kama umejiunga Juzi au jana
Siongelei habari za kujiunga humu .napinga mtu kuzusha vitu vya uongo na uchonganishi kwa sababu ya kuongozwa na Udini na chuki binafsi tu kwa Mheshimiwa Rais.
 
Mwenye akili angeongea akiwa na ushahidi mkononi pake.lakini Mwenye chuki binafsi anazua tu jambo kwa lengo la kuleta taharuki na uchonganishi kwa ajili ya kuichafua serikali na Mheshimiwa Rais
Hata suala la DP World lilianza hivi hivi tulia lisemwalo lipo
 
Lucas nakushauri usihukumu kwamba dr slaa anachuki, acha muda uweke kila kitu wazi. Jaziba na maneno makali hayasaidii. Ikiwa si kweli tutamjua dr slaa. Acha muda ulete taarifa sahihi.
Nasema hivi mfuatilie na rudisha kumbukumbu zako nyuma za dkt Slaa wa wakati wa Dkt Kikwete,Hayati dkt Magufuli na sasa wakati wa Mheshimiwa Dkt Samia.utagundua ya kuwa dkt Slaa ni mtu mwenye Udini na chuki kubwa sana inapokuwa serikali inaongozwa na Rais ambaye ni muislamu. Je umewahi kuona dkt Slaa akikosoa jambo lolote lile katika utawala wa awamu ya Tano?
 
Hata suala la DP World lilianza hivi hivi tulia lisemwalo lipo
Hatutaki habari za Ramli hapa.tinataka ushahidi na siyo uzushi na uchonganisha unaosukumwa na kuchochewa na Udini na chuki binafsi
 
Wewe ni zaidi ya bwege
 
Uhuru ya ijumaa lkn hakuna kitu ni kama ushuzi tu
 
Lukasi hebu jaribu mara moja moja kutumia kichwa kwa kufikiri we jamaa. Kazi ya kichwa sio kabati la kutunzia meno
Hawezi kubadilika maana akili kiduchu aliyopewa na Mungu lkn bahati mbaya akanyang'anywa na ccm
 
Dkt Slaa ni mzushi na muongo kwa sababu hana ushahidi wa aina yoyote ile zaidi ya kuzusha na kuleta tu taharuki ili kutimiza malengo yake ya kutaka wananchi waichukie serikali na. Rais wetu.anachotaka Dkt Slaa ni kumchafua Rais wetu mbele ya macho ya watanzania.ndio sababu anaamua tu kuongea jambo pasipo kuwa na ushahidi wa aina yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…