Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

Nasema hivi mfuatilie na rudisha kumbukumbu zako nyuma za dkt Slaa wa wakati wa Dkt Kikwete,Hayati dkt Magufuli na sasa wakati wa Mheshimiwa Dkt Samia.utagundua ya kuwa dkt Slaa ni mtu mwenye Udini na chuki kubwa sana inapokuwa serikali inaongozwa na Rais ambaye ni muislamu. Je umewahi kuona dkt Slaa akikosoa jambo lolote lile katika utawala wa awamu ya Tano?

Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu muhimu na kufanya hayo unayonishauri kufanya. Pili sina mamlaka ya kumuita mbaguzi kwa sababu kama siyo nitaenda kujibu nini kwa Mungu ndugu yangu. Tupunguze pressure na jaziba sababu ya vyama na siasa. Pengine ana document zenye udhibitisho toka kwa watu wenu wenyewe.
 
Hawezi kubadilika maana akili kiduchu aliyopewa na Mungu lkn bahati mbaya akanyang'anywa na ccm
Tunahitaji mtu anapotoka hadharani kuongea jambo basi awe na ushahidi na nyaraka kuthibitisha jambo hilo. Na siyo mtu anatoka tu huko atokako na ajenda zake za siri analeta taharuki kwa kuongea vitu vya uongo visivyo na ushahidi.
 
Tunahitaji mtu wa kukosoa mambo kwa hoja na ushahidi na siyo mtu anayeonekana kuongozwa na Udini pamoja na chuki binafsi. Dkt Slaa amekuwa mtu wa kusukumwa chuki binafsi na Udini.ndio maana hajawahi kuonekana akikosoa chochote kile katika utawala uliopita.
Wewe ni umbwa tu
 
Mheshimiwa Rais hajawahi kuwa mdini wala kumbagua mtu kwa misingi ya aina yoyote ile.lakini dkt Slaa amekuwa na chuki kubwa sana na utawala huu tangia uingie madarakani.kinachomsumbua ni Udini na chuki binafsi tu.ndio maana amekuwa akizusha vitu vya uongo na uchonganisha kwa lengo la kumchafua Mheshimiwa Rais
Umbwaaaa wewe
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu.amekuwa ni mtu mwenye chuki ,vurugu na mzushi wa masuala mbalimbali ili kuwachafua viongozi wetu hasa Rais pamoja na kumchonganisha na Wananchi.

Unaweza muangalia dkt Slaa wa wakati wa Mheshimiwa Kikwete,wakati wa Hayati Dkt Magufuli na wakati huu wa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan.utagundua ya kuwa anaongozwa zaidi na Udini pamoja na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais.

Hali hiyo imempa upofu wa akili na macho katika kujadili hoja.ndio sababu unaona anakuwa akizusha mambo mbalimbali ya uongo na uchonganisha kwa lengo la kutaka kuifanya serikali ichukiwe na wananchi .jiulize kama umewahi kumuona au kumsikia Dkt Slaa akikosoa kitu chochote kile katika utawala uliopita. Unafikiri ni kwanini? Jibu ni Udini tuu ndio muongozo wake.ndio maana kwa Udini wake yupo tayari kuzusha lolote na kusema uongo wowote ule ili serikali ichukiwe na kuleta taharuki pale inapokuwa ikiongozwa na muislamu.

lakini ni huo huo Udini wa Dkt Slaa anaweza kufumbia macho kitu chochote kile na kutetea kila jambo ikiwa tu ni wa upande wa Dini yake. Ndio maana katika uzushi anaoongea huwezi ukaona akiweka ushahidi wa aina yoyote ile mezani kuthibitisha madai yake ya uzushi na uongo.hawezi akaweka nyaraka yoyote ile kuthibitisha maneno yake.

Watanzania tunapaswa kumpuuza na kukataa kabisa kuingia katika mtego wa dkt Slaa wenye lengo na ajenda ya chuki binafsi na Udini kwa kutunga vitu vya kizushi na uongo. Tumkatalie zidi ya ajenda zake chafu za kumchafua Mheshimiwa Rais na tumkemee kwa nguvu zote. Tumwambie kama ana ushahidi wa lolote lile anapokuwa akizungumza hadharani basi atuwekee kwanza ushahidi.

Napenda kumalizia kwa kusema kuwa dkt Slaa hata fanikisha ajenda zake za Udini na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais ,na wala hatafanikiwa kumchafua kwa namna yoyote ile kama ambavyo amekuwa akifanya jitihada za kutaka kumchafua Rais wetu na kumjengea taswira mbaya kwa wananchi..

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Sijawahi kumsikia Dr Silaa akiongea kwa miezi kadhaa sasa; Pengine ni kwa sababu simfuatilii
Unaonaje ukaweka kauli zake mbili hivi zenye muelekeo wa Udini ili upate uungwaji mkono wa hoja yako uliyoleta hapa jukwaani ?
 
Nimekwambia wazi wazi katika andiko langu kuwa mfuatilie dkt Slaa wa wakati wa Dkt Kikwete,wakati wa Hayati Dkt Magufuli pamoja na sasa wakati wa Mheshimiwa Dkt Samia. Utangunduwa wazi kuwa ni mtu mwenye Udini na chuki binafsi sana kila inapokuwa serikali inaongozwa na Rais muislam. Nikauliza na nakuuliza na wewe pia je umewahi kumuona au kumsikia Dkt Slaa akikosoa jambo lolote lile katika utawala uliopita?
 
Mshaurini dkt Slaa aache Udini na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais. Embu nikuulize swali hilo. Je umewahi kumsikia Dkt Slaa akikosoa chochote kile katika utawala uliopita?
Slaa ambae alimkataa Lowasa Mkristo mwenzie ndiye mdini? Ambae alimbananisha Kalamagi na Sumaye? Au Slaa yupi mdini?
 
Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu muhimu na kufanya hayo unayonishauri kufanya. Pili sina mamlaka ya kumuita mbaguzi kwa sababu kama siyo nitaenda kujibu nini kwa Mungu ndugu yangu. Tupunguze pressure na jaziba sababu ya vyama na siasa. Pengine ana document zenye udhibitisho toka kwa watu wenu wenyewe.
Kwanini hajaweka hizo nyaraka hadharani kuthibitisha madai yake? Kwanini hajaonesha ushahidi wake?
 
Slaa ambae alimkataa Lowasa Mkristo mwenzie ndiye mdini? Ambae alimbananisha Kalamagi na Sumaye? Au Slaa yupi mdini?
Unafahamu dkt Slaa kazi aliyokuwa anafanya swali kabla ya kuingia katika siasa? Unafahamu cheo alichokuwa nacho huko kanisani?
 
Nimekwambia wazi wazi katika andiko langu kuwa mfuatilie dkt Slaa wa wakati wa Dkt Kikwete,wakati wa Hayati Dkt Magufuli pamoja na sasa wakati wa Mheshimiwa Dkt Samia. Utangunduwa wazi kuwa ni mtu mwenye Udini na chuki binafsi sana kila inapokuwa serikali inaongozwa na Rais muislam. Nikauliza na nakuuliza na wewe pia je umewahi kumuona au kumsikia Dkt Slaa akikosoa jambo lolote lile katika utawala uliopita?
Slaa kiitikadi ana mlengo sawa na Hayati Magufuli! Kwani wale mnaosema kuwa hawakutaka Mamaenu aapishwe si Waislamu? Ila kiitikadi wale wana mlengo sawa na JPM na wana mlengo sawa Dkt Slaa!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu.amekuwa ni mtu mwenye chuki ,vurugu na mzushi wa masuala mbalimbali ili kuwachafua viongozi wetu hasa Rais pamoja na kumchonganisha na Wananchi.

Unaweza muangalia dkt Slaa wa wakati wa Mheshimiwa Kikwete,wakati wa Hayati Dkt Magufuli na wakati huu wa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan.utagundua ya kuwa anaongozwa zaidi na Udini pamoja na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais.

Hali hiyo imempa upofu wa akili na macho katika kujadili hoja.ndio sababu unaona anakuwa akizusha mambo mbalimbali ya uongo na uchonganisha kwa lengo la kutaka kuifanya serikali ichukiwe na wananchi .jiulize kama umewahi kumuona au kumsikia Dkt Slaa akikosoa kitu chochote kile katika utawala uliopita. Unafikiri ni kwanini? Jibu ni Udini tuu ndio muongozo wake.ndio maana kwa Udini wake yupo tayari kuzusha lolote na kusema uongo wowote ule ili serikali ichukiwe na kuleta taharuki pale inapokuwa ikiongozwa na muislamu.

lakini ni huo huo Udini wa Dkt Slaa anaweza kufumbia macho kitu chochote kile na kutetea kila jambo ikiwa tu ni wa upande wa Dini yake. Ndio maana katika uzushi anaoongea huwezi ukaona akiweka ushahidi wa aina yoyote ile mezani kuthibitisha madai yake ya uzushi na uongo.hawezi akaweka nyaraka yoyote ile kuthibitisha maneno yake.

Watanzania tunapaswa kumpuuza na kukataa kabisa kuingia katika mtego wa dkt Slaa wenye lengo na ajenda ya chuki binafsi na Udini kwa kutunga vitu vya kizushi na uongo. Tumkatalie zidi ya ajenda zake chafu za kumchafua Mheshimiwa Rais na tumkemee kwa nguvu zote. Tumwambie kama ana ushahidi wa lolote lile anapokuwa akizungumza hadharani basi atuwekee kwanza ushahidi.

Napenda kumalizia kwa kusema kuwa dkt Slaa hata fanikisha ajenda zake za Udini na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais ,na wala hatafanikiwa kumchafua kwa namna yoyote ile kama ambavyo amekuwa akifanya jitihada za kutaka kumchafua Rais wetu na kumjengea taswira mbaya kwa wananchi..

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kuna ukweli hapa,nakumbuka kipindi Lisu aliposhambuliwa Silaa alitia pamba masikioni hata ule utu wa kukemea tu ulimshind,zaidi alikuwa akikandia.. Noma sana ila raisi angekuwa Ana Tibaijuka tusingemuona na huu uchungu na mapenzi ya nchi .
 
Tunahitaji mtu wa kukosoa mambo kwa hoja na ushahidi na siyo mtu anayeonekana kuongozwa na Udini pamoja na chuki binafsi. Dkt Slaa amekuwa mtu wa kusukumwa chuki binafsi na Udini.ndio maana hajawahi kuonekana akikosoa chochote kile katika utawala uliopita.
Kwahiyo MAFIA iuzwe yeye akae tu kimya?
 
Back
Top Bottom