Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

Acha uropokaji wako hapa.ungekuwa na akili ungeweka ushahidi wa hayo unayoyazungumza.

Wewe ndiye huna akili. Kila mwenye akili anajua tulichofanyiwa kwenye Bandari zetu, Misitu yetu, Mbuga zetu na juzjzui kapiga bao kwenye madini huko Korea. Unataka ushahidi gani wakati kila kitu kiko wazi. Bandar kapewa DPW, Mbuga na Misitu Mwarabu, Dubai, Madini ya Bahari Mkorea. Mambo yako wazi na mikataba imesainiwa halafu unaulizia ushahidi .... Una akili kweli wewe ...!!?Wewe endelea kuendesha hizo bodaboda za BURE za Mama ABDUL na kupoteza muda wako kwa kuandika maparagraph mengi.
 
Tanzania ni Salma na kila kitu ni salama mikononi mwa Rais wetu mpendwa na Mzalendo wa kweli Daktari Samia Suluhu Hasssan
 
Ungeacha watanzania wajadili hoja hii.
Nitaendelea kukumbusha huu uchizi wako, inawezekana nitakusaidia uwahi kupata huduma.
hao wanaokutunza wamekuachia sana, ni kama hawakupendi, ila unajilazimisha upendwe!Hiyo ni sababu ya ugonjwa.
 
Nitaendelea kukumbusha huu uchizi wako, inawezekana nitakusaidia uwahi kupata huduma.
hao wanaokutunza wamekuachia sana, ni kama hawakupendi, ila unajilazimisha upendwe!Hiyo ni sababu ya ugonjwa.
Nakusamehe bure kabisa.
 
Nakusamehe bure kabisa.
Inaonekana ushauri umekuingia vizuri kichwani. Utakapopata nafuu usikose kutoa mrejesho.
Punguza hizi takataka nyingi unazo weka humu, hazisaidii kitu chochote mbali ya kukupa sifa za kuwa juha.

Nitakuachia hapa, lakini nitafuatilia maendeleo yako na matibabu.
 
Nimeamua kukupuuza kwa kuwa nimeona huna akili. Sasa ya nini nipoteze muda wangu kwa mtu ambaye nimetambua aina ya akili yake.
 
Lucas Mwashambwa ngoja nikuambie kitu kitakachokusaidia . Samia mpaka sasa, huyu rais wetu mie simwelewi anafanya nini . Natokea nchi ipate uhuru sijawahi elewa marais wote wanafanya nini ni mashirika binafsi yanasaidia wananchi , kielimu, kimaisha , maji, umeme, hospitali, hata chakula wanatupiana vijiti kula maisha yao nakuongeza conection kila kona za dunia.
Wewe pambana kumtetea mtu hata hakujui kwanza jiulize nauongozi gani ccm au serikalini napata sh. Ngapi kwa siku, nalisha nini familia au mie mwenyewe , je natosheka ?? Acha kupoteza muda kuna mtu hapa alikuwa anasifu anatetea anaongoza kwa kuitetea maslahi ya ccm mpaka sasa hatumuoni tena akisifia.

USHAURI MIND YOUR BUSINESS.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt. Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na chuki binafsi sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili yaani Uislamu. Amekuwa ni mtu mwenye chuki, vurugu na mzushi wa masuala mbalimbali ili kuwachafua viongozi wetu hasa Rais pamoja na kumchonganisha na Wananchi.

Unaweza muangalia Dkt Slaa wa wakati wa Mheshimiwa Kikwete, wakati wa Hayati Dkt Magufuli na wakati huu wa Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan. Utagundua ya kuwa anaongozwa zaidi na Udini pamoja na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais.

Hali hiyo imempa upofu wa akili na macho katika kujadili hoja. Ndio sababu unaona anakuwa akizusha mambo mbalimbali ya uongo na uchonganisha kwa lengo la kutaka kuifanya serikali ichukiwe na wananchi. Jiulize kama umewahi kumuona au kumsikia Dkt Slaa akikosoa kitu chochote kile katika utawala uliopita. Unafikiri ni kwanini? Jibu ni Udini tuu ndio muongozo wake. Ndio maana kwa Udini wake yupo tayari kuzusha lolote na kusema uongo wowote ule ili serikali ichukiwe na kuleta taharuki pale inapokuwa ikiongozwa na muislamu.

Lakini ni huo huo Udini wa Dkt Slaa anaweza kufumbia macho kitu chochote kile na kutetea kila jambo ikiwa tu ni wa upande wa Dini yake. Ndio maana katika uzushi anaoongea huwezi ukaona akiweka ushahidi wa aina yoyote ile mezani kuthibitisha madai yake ya uzushi na uongo. Hawezi akaweka nyaraka yoyote ile kuthibitisha maneno yake.

Watanzania tunapaswa kumpuuza na kukataa kabisa kuingia katika mtego wa Dkt Slaa wenye lengo na ajenda ya chuki binafsi na Udini kwa kutunga vitu vya kizushi na uongo. Tumkatalie zidi ya ajenda zake chafu za kumchafua Mheshimiwa Rais na tumkemee kwa nguvu zote. Tumwambie kama ana ushahidi wa lolote lile anapokuwa akizungumza hadharani basi atuwekee kwanza ushahidi.

Napenda kumalizia kwa kusema kuwa dkt Slaa hata fanikisha ajenda zake za Udini na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais, na wala hatafanikiwa kumchafua kwa namna yoyote ile kama ambavyo amekuwa akifanya jitihada za kutaka kumchafua Rais wetu na kumjengea taswira mbaya kwa wananchi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hebu wewe utujibu kwanza kwa nini Abdul mtoto wa mama anazunguka kuwahonga watu wanaompinga mama hela kama sio wameshapanga urais ni wa familia yao. Pia kwa nini mama anasafiri na Abdul safari za kikazi wakati mwenyewe hana cheo chochote serikali. Lazima mama ngwe yake ya urithi ikiisha aachie ngazi. Sio hizi kampeni za nchimbi anaongeza eti mama mitano tena. Kwani mama nani walimpa mitano kama sio urithi wa kikatiba tu. Nafasi amepewa ila kaonesha hawezi kuongoza nchi. Nchi kwa sasa tunahitaji kiongozi aina ya magufuli watu jasifi wenye uzalendo waliyojaa maarifa na maono. Sio watu waoga wa mabeberu wabinafsi na wasiokua na uzalendo wala maarifa.
 
Embu kwanza niwekee huo ushahidi wa Abdul akiwahonga hao watu. Fanya haraka uweke ndio niendelee kujibu hoja zingine maana huwa sipendi watu wazushi ,waongo na wafitini.
 
Nimeamua kukupuuza kwa kuwa nimeona huna akili. Sasa ya nini nipoteze muda wangu kwa mtu ambaye nimetambua aina ya akili yake.
Haya yote yanatokana na ugonjwa unaokusumbua. Unapewa ushauri, hata hujui uufuate au usiufuate. Hili linaeleweka kwa mtu mwenye ugonjwa kama unaokusumbua wewe.
Itafika wakati ndugu zako watakufunga kamba na kukuwasilisha kwenye matibabu kwa nguvu. Siku hiyo haipo mbali.

Wewe ni chizi hasa, siku moja ukipata ahueni, halafu ukaingia humu JF kusoma takataka unazojaza kutwa, si ajabu hutaamini kuwa ni wewe uliyekuwa ukichafua jukwaa zima.
 
Embu kwanza niwekee huo ushahidi wa Abdul akiwahonga hao watu. Fanya haraka uweke ndio niendelee kujibu hoja zingine maana huwa sipendi watu wazushi ,waongo na wafitini.
Kwanza alienda kuonana na museveni akiwa na ujumbe kama vile wa kiserekali lakini inaonekana ni mambo binafsi. Akaenda na mama uarabuni ujumbe wa serikali mwenyewe akatambulishwa na mama kama ni mwanae. Lissu juzi kadai anapita kuhonga wapinzani mwenyewe kakataa hizo hela. Huo ushahidi wa kimazingira. Hatukuwahi kuona watoto wa nyerere mkapa au magufuli wakishutumiwa kama abduli.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda kuwaambieni ya Kuwa Dkt. Slaa siku zote na wakati wote tangia kuingia kwa Rais Samia madarakani amekuwa na chuki kubwa sana na Rais wetu.

Amekuwa na hasira kubwa sana kifua pake . ni vile tu hana uwezo wa kikatiba wala kisheria wala nguvu ya aina yoyote ile ya kuweza kumtoa Rais wetu madarakani.

lakini kama angekuwa na Uwezo basi asingependa pengine hata kuona Rais Samia akiapishwa kuwa Rais wetu tangia siku ile ya tarehe 19-3-2021.

Na msingi wake mkubwa wa kumchukia RAIS wetu ni chuki binafsi pamoja na Udini tu uliomjaa kifuani pake. Muangalie na kumfuatilia dkt slaa wa wakati wa hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Dkt slaa wa wakati huu.

Je, Mumewahi kuona dkt slaa akifungua mdomo wake kukemea au kukosoa chochote kile wakati wa awamu ya Tano? Mnafikiri kwanini?

Jibu ni Udini tu ndio msingi wake Mkuu hasa kwa kuzingatia historia yake ya wapi ametokea na kuhudumu ndani ya kanisa kwa muda mrefu.

Dkt slaa Kwa chuki zake binafsi kwa Rais wetu na udini wake umempelekea kuwa Muongo, Mzushi, mfitini na mtu wa kuzusha na kuleta taharuki tu kwa watu.

Amekuwa ni mtu anayetamani mabaya tu yatokee na kutamalaki katika utawala huu wa awamu ya sita ili moyo wake ufurahie na apate cha kuongea.

Amekuwa ni mtu wa kuongea na kuzusha uongo usio na ushahidi wa aina yoyote ile zaidi ya kujiongelea tu. Ni huyu huyu Dkt Slaa akiwa kwenye mkutano mkoani Mbeya amewahi kuzusha uongo na uzushi kuwa kuna gari linaingiza maboksi ya kura feki lakini baadaye ikaja kufahamika kuwa aliongea uongo na uzushi mkubwa sana wenye kuleta tu taharuki kwa umma.

Dkt slaa amekuwa na hasira kubwa sana na chuki kubwa sana kila inapotokea utawala uliopo madarakani ni wa upande wa pili ambao siyo wa dini yake. Ni wakati wa kumkemea hadharani na kumwambia kamwe watanzania hatutakubali wala kumuunga Mkono uzushi na uongo wake usio na ushahidi wa aina yoyote ile. kwa sababu tunatambua anaongozwa na Udini na chuki binafsi tu katika kauli zake dhidi ya RAIS wetu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Back
Top Bottom