Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

Same same blood
 
Watu wenye Imani Kali za kidini, hushindwa kutumia uwezo wao mzuri wa kiakili na kimaarifa kupembua vitu kwa usahihi. Wao muda wote hudhani kwa kumtukuza Mungu na kumsifia muda wote basi Mungu atawapa ridhiki kimiujiza. Kitu ambacho si sahihi.

C and Paste


naamini kabisa wewe ni mmoja wao
 
Nakazia
 
Tumia akil yako, ni bora kuliko andiko unalotaka.
Andiko ni tendo na maneno ya watu watu waliopita. Walikuwa watu kama wewe.


Elimika, ili upumbavu ukutoke
 
Kuna ukweli hapo. Tatizo binadamu tumekaa kiimani imani sana. Kama hatuelewi kitu au sababu ya tukio tutakimbilia kwenye imani za kidini au kichawi.
Ila nina maswali. Kwenye runinga nimeona mafuriko yakizamisha makanisa na misikiti kama karatasi kule Nigeria.
Wakati wa tsunami napo hivyo hivyo.
Sasa kama nyumba za dini zafanyiwa hivyo je hizi imani kwa Mungu zikoje?! 🤔🤔🤔
 

adriz na denooJ tusaidieni majibu
 
Tumia akil yako, ni bora kuliko andiko unalotaka.
Andiko ni tendo na maneno ya watu watu waliopita. Walikuwa watu kama wewe.


Elimika, ili upumbavu ukutoke
Nakazia
 
Wakariri wa iman hawatuelewi hata kidogo, wanafikiri tuma kufuru. NOOOOOOOOOOOOO.
Mimi naungana na wewe, tutumie akili zetu kufanya mambo yetu.
Sote tunajua kuwa Mungu yupo na anatuona. Tunajua hilo.
na yeye anafarijika sana anapoona tunapata mafanikio kwa kutumia akili alizotupa. Siiooo kukaa kuomba omba tuuuuu, kwani tunafikiri yeye hana kazi za kufanya, anazo kibao.
Tujitegemee ili tucahe kumchosha Mungu.
 
Uzuri wa hao unaowaita wajinga, huwezi kuwaona kwa Mwamposa, na wala huwezi kuwaona wakipiga magoti kwa Sanamu ili kufanya maombi.

Huwezi kuwa na akili kwa kuendelea kutegemea kutumia akili za wenzako.
Au, huwezi kujibiwa maombi kwa kuliomba Sanamu lililotengenezwa na Binadamu Mwezako.

Amkeni
 
Sahihi kabisa, Hosea 4; 6 inasema ukikataa kutumia akili Mungu nae anakukataa mazima
 
Huku imani inakutaka utoe saana sadaka kuliko inavohimiza kufanya kazi sa sijui mungu anashida na hela au vip??
 
Kweli kabisa hata wengi wanaokwenda kwa mwamposa ni maskini au wenye matatizo ya akili mtu mwenye uelewa wa maisha huwezi kuamini kufanikiwa katika maisha mpaka uombewe na mtu
 
uzi huu umetumia kichwa kipi kuuandika ? ubongo wa hicho kichwa ni mkubwa sna mkuu.
 
yesu alipo ponya watu mara nyng alisema imani yako imekuponya na sio yeye kamponya , yesu alitumika tu kma vessel ya kufungua nguvu za mungu zilizo ndani ya watu.
 
mkuu funguka kilicho andikwa apo kina maana kubwa mno
 
ndo maana genius kma kiranga anawachota hawa malimbukeni wa dini
 
acha mkwara mkuu
 
asili ni nini na inatoka kwa nan asili? kwa nini unatutaka tusitumie nguvu za asili? kwan unahis asili inatoka kwa nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…