Yeah sure mkuuHata mm nilitaka kumpuuza ila nikaona acha nimsome aise kumbe kaleta vitu vya sis kufanyika kazi ,haswa eneo la kushukuru Ni muhimu mno hili nimelifahamu kitambo kuwa mungu anatak shuktani tu
Na ndio maana marekani uko nin rfk angu mzungu alikuwa ananimbia kule kwao wana sikukuu kubwaa sna kitaifa inayoitwa Thanksgiving ni skuu kuu ya shkrani tu na siyo maombi
LIKUD hili unalifahamu
Seema nin likud unajuwa San Seema tu sijapata muda na muda nimchahche mnk ningekufatiliaa Zaid kuna kitu unacho amabcho wengi hawakioni uzuri Ni kwamb hajamkufuru mungu Wala roho mtakatifu Kuna kitu uanajuwa juu ya Sana ya kushukuru acha nilale nikipta Musa nitakudm kabsa tuyajengeMaisha ya dunia si lolote... SASA unafanya kazi ili iweje kama maisha ya dunia si lolote. Kunywa sumu jiue ndo tujue upo serious una maanisha.
Yani Mungu ame design maisha ya mwanadamu for a period of one thousand years. Ameitengeneza dunia nzuri yenye kuvutia amekuleta kiumbe wake uje ufurahie maisha then malipo YAKO kwake ni kusema maisha si lolote. Are you serious?
Mimi nayapenda maisha na kika SIKU namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa maisha na kunileta duniani.
" Dunia tupo kujaribiwa" ni sentensi inayo mkufuru Mungu kwa kiwango cha stifler gorge. Ukisema duniani umekuja kujaribiwa tafsiri yake ni kwamba anae kujaribu hajui hutafanya nini endapo atakujaribu. Kwamba hajui mambo yajayo. Ndio unacho maanisha hiki.
Mungu hana interest yoyote na kukujaribu wewe kiumbe wake. And he cannot do such a stupid mission.
Hiyo kumjaribu mtu ni human character na sio divine character.
Jamaa alitest kuacha muziki aishi kwa kutegemea swadaka! Kilichomkuta hatasahauCc mzee yusufu mzee wa alambaalamba aaaaaamu aaaaaaaamu😁
Nipe hasara 4 au tatu ninazopata kutokana kuwa mfuasi wa dini ?Yes masjid naenda kusocialize a jamaa zangu.
Kuwa mfuasi wa Mwanga sio dini. Naufuata Mwanga. Dini ni utumwa. Wewe endelea kuwa mtumwa wa dini. Mimi nimesha toka kwenye huo utumwa mkuu.
Watu wamekuwa brainwashed sana tatizo limeanzia pale walipoanza kuwa wavizu kusoma na kufuatilia essence ya mafundisho ya kuwafanya watu kama Miungu Shekhe fulani au mchungaji fulani akisema ndio inakuwa sheria .Mtu hafanyi kazi kwa bidii na maarifa anakariri Biblia na Qur'an anafanikiwaje?
Kuwa mfuasi wa mwanga ni dini kwa mujibu wa Uislamu labda hata kuwa mfuasi wa matamanio yaani mimi nafuata chochote ninachokipenda sawa nayo ni dini .Yes masjid naenda kusocialize a jamaa zangu.
Kuwa mfuasi wa Mwanga sio dini. Naufuata Mwanga. Dini ni utumwa. Wewe endelea kuwa mtumwa wa dini. Mimi nimesha toka kwenye huo utumwa mkuu.
Hawa watu wanshindwa kuelewa maana ya dini. Dini ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu kutoka pale anazaliwa mpaka ana kufa. Hakuna mtu duniani asiyekuwa na dini. Hata wale atheist (wasioamini uwepo wa Mungu) nao wana dini yao.Nayo huitwa Dini ya MATAMANIO YA NAFSI ZAO. Yaani wao wanaongozwa na matamanio ya nafsi zao.Kila nafsi inachokitamani kwao huona ni sawa.Kuwa mfuasi wa mwanga ni dini kwa mujibu wa Uislamu labda hata kuwa mfuasi wa matamanio yaani mimi nafuata chochote ninachokipenda sawa nayo ni dini .
Labda useme mimi sifuati Uislamu na Ukiristo hapo Sawa lakini mtu halisi dini yaani lazima awe katika mfumo ,imani na kanuni fulani na hiyo ndiyo dini yake.
Hope unamaanisha wewe ni mfano wa mungu unapozungumzia uumbaji, kwamba mwanadamu nae anaweza kuumba anapokutana na mwanadamu mwenzake [mke na mume].MWANZO 1:26-28
Kisha Mungu akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu kwa sura yetu atawale samaki wa baharini ndege wa angani wanyama wa kufuga na dunia yote na viumbe vyote vitambavyo. basi Mungu akaumba mtu. kwa mfano wake Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke akawaambia "zaeni mkaongezeke mkajaze nchi na kuimiliki mtawale samaki wa baharini ndege wa angani na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.
.
Mimi ni mfano wa mungu na mungu ni roho hivyo roho yangu ni mungu na mungu ametupa mamlaka na kutawala vyote vilivyopo duniani sasa niende kanisani niombe ni nini wakati kila kitu amenipa kikubwa ni kutumia akili yangu nitumie vyote mungu alivyonipa.
.
Sasa wewe unaenda kanisani kulia unaenda kufanya ni nini wakati mungu amekuumba kwa mfann wake mana yake wewe ni bora kuliko viumbe vyote alivyo umba aitoshi akakupa mamlaka na kutawala vyote vilivyopo duniani
MUNGU AKINIPA UZIMA NA AFYA NA HEKIMA VINATOSHA VILIVYOBAKI NTAPAMBANA NAVYO MWENYEWE
Ni mpotoshaji, hazijui dini zote mbili ameleta porojo tu hapa, ajabu wapo wanaomuona anajua, wakati hajui kitu.Jamaa haeleweki mara aseme yeye hana dini mara mfuasi wa mwanga halafu anaendaga msikitini kuswali ,inashangaza sana..
My friend I don't know anything that me and you can talk about. Wewe bado ufahamu wako umefungwa kwenye kifungo cha dini, mimi nafikiria kwa kutumia akili aliyo nipa Mungu.Kuwa mfuasi wa mwanga ni dini kwa mujibu wa Uislamu labda hata kuwa mfuasi wa matamanio yaani mimi nafuata chochote ninachokipenda sawa nayo ni dini .
Labda useme mimi sifuati Uislamu na Ukiristo hapo Sawa lakini mtu halisi dini yaani lazima awe katika mfumo ,imani na kanuni fulani na hiyo ndiyo dini yake.
Ndio maana nilikwambia you are still a learner.Hope unamaanisha wewe ni mfano wa mungu unapozungumzia uumbaji, kwamba mwanadamu nae anaweza kuumba anapokutana na mwanadamu mwenzake [mke na mume].
Lakini ukumbuke, huu uumbaji wa mwanadamu, sio kama ule uumbaji wa Mungu, Mungu aliumba kwa kutumia neno, [alipomtuma malaika kumwambia Mariamu atapata ujauzito], wakati wanadamu wanaumba kwa kutumia miili.
Zaidi, unaposema Mungu alitupa mamlaka ya kuvitawala viumbe vyake, jiulize hayo ni mamlaka ya aina gani, matakatifu, au ya kishetani?
Kam kwa mfano, unapotaka kuchinja kuku. kwanza lazima umkimbize mpaka akichoka ndio umkamate ili umchinje, kama ungekuwa na mamlaka ya kitakatifu uliyopewa na Mungu kuku angekuheshimu ungemuita angekuja umchinje bila kumkimbiza, sasa iweje Mungu aseme kavitawale, halafu ukija huku mpaka umkimbize tena?
Kuna vitu hamvijui undani wake, mnachukulia mambo juu juu tu, na ndio mnadanganyana kwenye huu uzi, kwa kumuita mleta mada "genious"
Hawa watu wanshindwa kuelewa maana ya dini. Dini ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu kutoka pale anazaliwa mpaka ana kufa. Hakuna mtu duniani asiyekuwa na dini. Hata wale atheist (wasioamini uwepo wa Mungu) nao wana dini yao.Nayo huitwa Dini ya MATAMANIO YA NAFSI ZAO. Yaani wao wanaongozwa na matamanio ya nafsi zao.Kila nafsi inachokitamani kwao huona ni sawa.
UISLAM ni dini /mfumo ambao unamtaka mtu ajisalimishe kuwa chini ya Mungu mmoja aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo ndani yake! Kujisalimisha kwa maana ya kumuabudu YEYE pekee pasi na kumshirikisha na kitu chochote.Pia kumsikiliza na kumtii kwa yale yote aliyoyaamrisha na kuyaacha mabaya aliyoyaharamisha
Kwa hiyo Yesu aliyetufundisha tuombe sala ya Baba Yetu uliye mbinguni utupe l riziki zetu za kila siku alikuwa akili hana ila wewe bwege ndio unazo kumshinda yeye?Hapo kwenye maombi ndipo mnapo feli.
Mungu hahitaji umuombe chochote KWA sababu amekupa KILA kitu tayari. KILA kitu kipo ndani YAKO.
Mbona unakimbia maswali na unachagua comment ya kiniQuote ile comment yangu ya kwanza yenye maswali umeiacha wakati ndio ya kwanza na kukimbia hii kama sio udhaifu ni nini ? twende taratibu kila mtu ajibu maswali ya mwenzake mimi nipo verry flexible na ni msimu huru ndio maana katika maisha nimejaribu kusoma na kujielimisha kuhusu dini na madhehebu tofauti ya kile ninachoamini mpk vitabu vya Budha wakina Rama ninavyo sasa unapoanzisha hoja na mijadala lazima ukubali kutetea ,kujibu maswali ili watu kuelimika zaidi ndio maana katika comment uliyoikimbia nikisema niko tayari kufuata imani yako ikiwa yale maswali ungenijibu..My friend I don't know anything that me and you can talk about. Wewe bado ufahamu wako umefungwa kwenye kifungo cha dini, mimi nafikiria kwa kutumia akili aliyo nipa Mungu.
Mawazo yetu ni SAWA na samaki na ndege hata yakioana yataenda kukaa wapi?
Mkuu wewe endelea kuishi KWA kukaririshwa na mambo ya dini.
Mimi nimesha break out of that prison.
My mind is free like Nelson Mandela
Yesu alifundisha kuomba sio kuvuta bangiNdo maana walisema religion is an opium of poor people.