NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Mbona kuna watanzania zaidi ya milioni 40 ni masikini wa kutupwa na hawakuzamia nchi yoyote?Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Sielewi na acha kuchukua maneno kama yalivyo danda head wewe.Hivi unaelewa hata accommodation ni nini?
Kwanini umuombee ?We mwamba haki sio mzima nakuombea Mungu akurehemu. Halafu una hamaki kwa vitu vya kijinga
Nafuu mimi nilivimbiwa kuliko wewe usiyejua leo ule nn , POV sshv SA mambo yamekuwa mabaya zaidi kuliko kipindi chochote kileUmeshavimbiwa ugali wa kengele unakuja kupumulia JF.
Ni lini South Africa iliwahi kuwa nchi nzuri kuishi?
Akili zake zikae sawaKwanini umuombee ?
Ni wapumbavu tuu,Ukitaka kuhama Tanzania labda uende uarabuni kwingineko ni njaa mara elfu hapa TanzaniaKila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Wanapoteza muda , kibaya wakiwa mbali na kwao wanajiachia na kufanya mambo ya hovyo ...Nakupigia picha kupost Instagram .
Kwakweli hao wenzetu kutoka SA wamerudi wamechoka
Tunaangalia takwimu majority wanaoenda huko wapo ktk hali ganiElon musk hakufanikiwa south Africa akaenda kufanikiwa America!
Hata hiyo south Africa Kuna watanzania wana mafanikio kuliko mamilion wa watanzania walioko Tanzania
Kbs hawajielewiNi wapumbavu tuu,Ukitaka kuhama Tanzania labda uende uarabuni kwingineko ni njaa mara elfu hapa Tanzania
issue sio kuhamaKila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Ni bora ugumu wa maisha ukukute ktk nchi yako kuliko ukukute nchi ya ugeniMbona kuna watanzania zaidi ya milioni 40 ni masikini wa kutupwa na hawakuzamia nchi yoyote?
Point ni kwamba unapotaka kuhama nchi uwe na fani /taaluma au mtaji wa pesa wa kukuwezesha kupata ajira , au kufungua biashara huko uendako , sio unatoka ktk nchi yako ukiwa kopo unaenda kuishi maisha ya kuungaunga hukoissue sio kuhama
issue ni kubadili mazingira
mazingira yetu tunayozaliwa na kukulia yana ushawishi mkubwa katika kutufanya watu wa aina fulani ndiyo maana kuna misemo kama ndege wafananao huruka pamoja.
Fikiria umezaliwa katika kijiji ambacho mfanyakazi pekee wa Umma unayemuona ni mwalimu au nesi/muuguzi au mtendaji wa kijiji.
Mawazo kwamba kuna wahandisi, madaktari marubani n.k yatatoka wapi ?
Hata kama watoto wanajifunza mashuleni lakini exposure ya mazingira halisi ina nguvu zaidi kuliko ile ya kuishia kusoma makaratasi.
Wewe nae hujawahi kumiliki akili ya uelewa,hata hujaelewa msingi wa comment yangu,kama huna akili ya uelewa usiwe una quote comment zangu,Mbona na wewe unaumizwa na wengine kufatilia maisha ya wengine. Kwani ukweli usiseme kuwa wazamiaji huwa wanafikiria kutoboa ni nje tu? Na akienda kinawaramba?
Tuanze na wewe ? Umewahi kuvuka mipaka kwenda kutafuta life nje au unaongea kiushabiki tuWewe nae hujawahi kumiliki akili ya uelewa,hata hujaelewa msingi wa comment yangu,kama huna akili ya uelewa usiwe una quote comment zangu,
Kuna sehemu yeyote nimesema kutoboa ni nje tu? Umeshindwa hata kuelewa niliposema "Hata huko Bongo wapo waliotoboa na wapo wasio toboa" Mwanaume ni kujaribu maisha popote,hata kama hata fanikiwa ila kuna jambo atakua kajifunza kuliko yule asiye jaribu na kujikatia tamaa.
We jamaa huwa uko emotional sana. Hujui kujibu kwa kutulia.. Nimekuuliza kwa nini uumizwe na kufatilia maisha ya watu wanaofatilia maisha ya wengine? Na kwanini ukimbilie kwenye defence mechanism ya kuongea kitu ambacho hakipo? Chill mzee control them emotions, utakufa vibayaWewe nae hujawahi kumiliki akili ya uelewa,hata hujaelewa msingi wa comment yangu,kama huna akili ya uelewa usiwe una quote comment zangu,
Kuna sehemu yeyote nimesema kutoboa ni nje tu? Umeshindwa hata kuelewa niliposema "Hata huko Bongo wapo waliotoboa na wapo wasio toboa" Mwanaume ni kujaribu maisha popote,hata kama hata fanikiwa ila kuna jambo atakua kajifunza kuliko yule asiye jaribu na kujikatia tamaa.
Yuko nje anafanya kazi ya kubeba maboxTuanze na wewe ? Umewahi kuvuka mipaka kwenda kutafuta life nje au unaongea kiushabiki tu
Ni wapumbavu tuu,Ukitaka kuhama Tanzania labda uende uarabuni kwingineko ni njaa mara elfu hapa Tanzania
Hivi unajua wazazi wake walikuwa na ukwasi aina gani?Elon musk hakufanikiwa south Africa akaenda kufanikiwa America!
Hata hiyo south Africa Kuna watanzania wana mafanikio kuliko mamilion wa watanzania walioko Tanzania