The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mimi nipo nje pengine hata kabla wewe hujazaliwa,Tuanze na wewe ? Umewahi kuvuka mipaka kwenda kutafuta life nje au unaongea kiushabiki tu
Wewe kuchezewa tope kumekufanya kua na upungufu wa uelewa,nimekwambia acha kuquote comment zangu,huna akili ya uelewa,acha kujitongozesha kwangu.We jamaa huwa uko emotional sana. Hujui kujibu kwa kutulia.. Nimekuuliza kwa nini uumizwe na kufatilia maisha ya watu wanaofatilia maisha ya wengine? Na kwanini ukimbilie kwenye defence mechanism ya kuongea kitu ambacho hakipo? Chill mzee control them emotions, utakufa vibaya
Skia wewe mbeba mabox, acha ujuha na kutapika nyongo wakati una tambua kuwa mafanikio yanaanzia nyumbani.Huu uzi wako unathibitisha kua wewe ni mtu uliyepigwa na maisha,mbele moto nyuma moto,ndio maana unahanagaika kutaka kujua maisha ya watu ambao hata huwafahamu,
Hatujakataa kuwa mwanaume mapambano lakini kukimbia shida za nyumbani sio suluhishoUnakaa kuwadhihaki wanaume walioenda South kujaribu maisha! Wanaume hua hatupo hivyo,maisha ni vita,kuna kushindwa na kushinda,na hata ukushindwa,mapambano bado yana endelea,
Wewe ngoja tukunyooshe Active Moderator Payge mshugulikieni huyu member asiye na staha za kushinda hisia.Wewe kuchezewa tope kumekufanya kua na upungufu wa uelewa,nimekwambia acha kuquote comment zangu,huna akili ya uelewa,acha kujitongozesha kwangu.
Kwanza wewe sio mpambanaji ndioomaana hata jina lako linaeleza hilo wewe unajiita ice breaker unawaza kuvunja barafu wakati wanaume wa shoka tunavunja miamba anyway ngoja nikupe darasa pengine upo unabeba ma box huko ulaya kama kweli upo nje maana nahisi unanipanga .Mimi nipo nje pengine hata kabla wewe hujazaliwa,
Huu uzi wako unathibitisha kua wewe ni mtu uliyepigwa na maisha,mbele moto nyuma moto,ndio maana unahanagaika kutaka kujua maisha ya watu ambao hata huwafahamu,
Unakaa kuwadhihaki wanaume walioenda South kujaribu maisha! Wanaume hua hatupo hivyo,maisha ni vita,kuna kushindwa na kushinda,na hata ukushindwa,mapambano bado yana endelea,
wewe angalia maisha yako,acha kufuatilia maisha ya Wanaume.
Umempa za uso huyo, hiyo ni K.OSkia wewe mbeba mabox, acha ujuha na kutapika nyongo wakati una tambua kuwa mafanikio yanaanzia nyumbani.
Hatujakataa kuwa mwanaume mapambano lakini kukimbia shida za nyumbani sio suluhisho
Unaona jinsi ulivyo mpumbavu? Wewe endelea kukaa hapo kwa Bimkubwa usubiri tu ugali wa bure,maisha ya Wanaume huyawezi,Skia wewe mbeba mabox, acha ujuha na kutapika nyongo wakati una tambua kuwa mafanikio yanaanzia nyumbani.
Unasema "Hatujakataa" hujakataa wewe na nani? Acha kutumia wingi,hakuna mtu amekuomba hapa umuwakilishe,Hatujakataa kuwa mwanaume mapambano lakini kukimbia shida za nyumbani sio suluhisho
Hawa jamaa huwa wako so insecure. Wanakuja na mapovu kwa sababu kilicho mezani kinawachoma kunakoUmempa za uso huyo, hiyo ni K.O
Yani ukiona mtu anamakasiriko ujue point imemgusa kwenye mshono ni kama huyo mbeba ma box wa ulayaHawa jamaa huwa wako so insecure. Wanakuja na mapovu kwa sababu kilicho mezani kinawachoma kunako
We jamaa utakufa bure na presha,Unaona jinsi ulivyo mpumbavu? Wewe endelea kukaa hapo kwa Bimkubwa usubiri tu ugali wa bure,maisha ya Wanaume huyawezi,
Unasema "Hatujakataa" hujakataa wewe na nani? Acha kutumia wingi,hakuna mtu amekuomba hapa umuwakilishe,
Acha wanaume watafute maisha popote pale,wewe baki na uoga wako kisa unalishwa bure hapo home kwa bimkubwa,
Hivi wewe ndio mleta mada? Mbona unashoboka sana na mimi? Unaeashwa tundu la kutolea taka sio?
Hawa wapuuzi hawana lolote ni wanakuja na ile dhana kisa yuko nje basi ana hadhi fulani kumbe ni washamba tena wa kutupwaYani ukiona mtu anamakasiriko ujue point imemgusa kwenye mshono ni kama huyo mbeba ma box wa ulaya
Kiranga kwanini kila wakati ni malumbano na vijana wadogo? Utu uzima ni kuwadharau na maisha yakasonga mbele.Kujua Kiingereza si kuwa na elimu ila wewe umechagua kutumia Kiingereza bila sababu kwa "Status Anxiety" yako tu kujionesha msomi.
Wakati Kiingereza hata cha kuombea maji hujui.
Unaandika "I am well educated than you" sehemu uliyotakiwa kuandika "I am more educated than you".
Wewe ngumbaru tu, ndiyo maana hunielewi ninapoongelea individual freedom za watu.
Sitashangaa kama hujawahi kukutana na hiyo dhana maishani mwako ushazoea kuishi king'ombeng'ombe tu kijima mnapangianapangiana tu maisha bila hata kujuana.
Hao watu huwajui, unawapangiaje maisha?
Unaona jinsi ulivyo mpumbavu? Umerukia kwenye user name za wanaume? Tafuta uzi humu unaulizia sababu za watu kutumia hizo user name zao, utajua kwanini nilijiita hiyo user name,Kwanza wewe sio mpambanaji ndioomaana hata jina lako linaeleza hilo wewe unajiita ice breaker unawaza kuvunja barafu wakati wanaume wa shoka tunavunja miamba
Yani wewe kichwa maji unayeacha issue zako na kufuatilia maisha ya wanaume ndio unipe darasa?anyway ngoja nikupe darasa pengine upo unabeba ma box huko ulaya kama kweli upo nje maana nahisi unanipanga
Wewe mapambano ya wanaume yanakuhusu nini? Kwanini uteseke kwa maisha ya wengine? Unatafuta mume?.
Ishu sio kupamba unapambania nini katika mazingira gani , zingatia code hiyo
Mtu kutokufanikiwa kwenye jambo fulani,haimaanishi kua alikua anafanya jambo lisilokua na manufaa,ndio maana nakwambia kua hujui maisha,hata wafanya biashara hua wanapata hasara,hata makampuni makubwa hupata hasara,hilo ni jambo la kawaida kwenye mapambano ya kimaisha.Unaweza ukawa unapambana ktk kitu kisichokuwa na manufaa ,
lengo la uzi huu kwa wenye akili tunapeana maarifa na tunajifunza ni wapi ambapo wengine walikosea
hiyo ni common sensePoint ni kwamba unapotaka kuhama nchi uwe na fani /taaluma au mtaji wa pesa wa kukuwezesha kupata ajira , au kufungua biashara huko uendako , sio unatoka ktk nchi yako ukiwa kopo unaenda kuishi maisha ya kuungaunga huko
Tuwekee sasa hizo takwimu mkuu.Tunaangalia takwimu majority wanaoenda huko wapo ktk hali gani
Kama huyo jamaa yani anaongea Vapour tu anafikiri atatutisha kusema yeye yupo mamtoni, Dunia sikuhizi imefunguka sana tupo Bongo tunaishi kama tupo mbele hakuna kitu kinachoendelea huko mtu usikijue labda tu uamue we can get any information with little effortHawa wapuuzi hawana lolote ni wanakuja na ile dhana kisa yuko nje basi ana hadhi fulani kumbe ni washamba tena wa kutupwa
hii comment imenifanya niwaze hawa wapinzani hususani Chadema wanasema wanateseka kwa ajili ya watanzania, kumbe kuna kuteseka pia katika utafutaji wa mumeKwanini uteseke kwa maisha ya wengine? Unatafuta mume?
Wewe unachomiliki ni hivyo vibroken english vyako tu unavyo vitapika hapa jf kila mara,We jamaa utakufa bure na presha,
Kama umepoyonga huko nje na unashindia, makapi ya wazungu ni wewe na maisha yako.
Sisi hatuna shida maana uliamua wewe, we don't give a shit about your worse choices
Indeed 👍hiyo ni common sense
sio tu kwa mtu anayetaka kutoka nchi moja kwenye nchi nyingine
hata kwa anayehama mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine.
Mambo hayo yalikuwa zamani,Kama huyo jamaa yani anaongea Vapour tu anafikiri atatutisha kusema yeye yupo mamtoni, Dunia sikuhizi imefunguka sana tupo Bongo tunaishi kama tupo mbele hakuna kitu kinachoendelea huko mtu usikijue labda tu uamue we can get any information with little effort