Kinachosikitisha wa Tanzania waliozamia SA wemerudi na umaskini

Wanapoteza muda , kibaya wakiwa mbali na kwao wanajiachia na kufanya mambo ya hovyo ...
Ujinga mtupu hii kasumba mtu akienda kubeba boksi ndio anafanya kama ni ticket ya kujua kila kitu ni ushamba na ujinga. Wengi wao wanasumbuliwa na sonona ndio maana ukiwachunguza vizuri wamejaa makasiriko muda wote.
 
Awe mimi asiwe mimi.. Haitoi ukweli kuwa sindano imekuingia kikamilifu.

Broken English? Mbona unaisoma na kujibu wewe dumbass? Acha kutia huruma boya wewe.
 
Awe mimi asiwe mimi.. Haitoi ukweli kuwa sindano imekuingia kikamilifu.
Sindano? Kufuatilia maisha ya wanaume ndio unaita sindano? Sidhani kama hapa JF kuna mtu mpumbavu zaidi yako,wewe ulisha geuka kua kituko hapa jf japo unajilazimisha tu,ila wewe ni debe tupu,
Broken English? Mbona unaisoma na kujibu wewe dumbass? Acha kutia huruma boya wewe.
MImi nitie huruma kwa kijitu cha hovyo kama wewe? Yani mimi nitie huruma kwa wewe debe tupu? Tafuta shughuli ya kufanya ili usipate muda wa kufuatilia maisha ya Wanaume.
 
Hawa ukitulia hawana cha kukufanya wapuuzi tu. They use mind games na vingereza uchwara kukufanya uone wana kitu kumbe madebe matupu tu.
Dawa ni moja ni kuwapokea kama wanavyokuja , anayepinga kwa hoja unamjibu kwa hoja kistaaarabu anayejibu shit una return the same energy, mimi sipingani kutofautiana mawazo ila tupeane hoja sio matusi
 
Haya endelea kulia lia na hakuna kinacho badilika mshamba wewe.

Ulifikiri tutichekea hiyo ego yenye insecurity? Humu unakula za uso tu. Wapumzikie ndugu zako kilijini
 
Dawa ni moja ni kuwapokea kama wanavyokuja , anayepinga kwa hoja unamjibu kwa hoja kistaaarabu anayejibu shit una return the same energy, mimi sipingani kutofautiana mawazo ila tupeane hoja sio matusi
Nimecheka nao sana hawa ukiwapa the upper hand tu, unaloose. Hawanisumbui tena ni wa lala hoi tu huko.
 
Moja ya takwimu kuna route 3 za ndege kuwasaidia wabongo wasiojiweza kurudi nyumbani wamepewa usafiri wa bure
Naomba takwimu za watanzania wanaoshi maisha duni nchi za nje ambao umesema ndo wengi wao. Hao ambao unataka kutuaminisha hali zao za kimaisha ni duni kuliko za Watanzania wenzangu wengi wanaoishi kwenye nyumba za tope/nyasi/miti (mbavu za mbwa) na vyoo vya shimo vilivyojengwa na TASAF kwa ufadhili wa nchi za nje mkuu wangu. Natanguliza shukrani zangu nyingi.
 
Kwani mimi nilikwambia kua kuna kitu nataka kibadilike? Wewe mbona ni kapumbavu sana?

Ego ya kitu gani? Hivi wewe hua una akili timamu kweli?

Wewe Pimbi ndio unipe mimi za uso? Wewe hata uje na mumeo hamna cha maana.
Hahaha utatukana na kutrigger bipolar mpaka useme mpuuzi na kapuku mkubwa wewe.
 
Siwezi nikazungumzia nchi zote mimi nasemea wanaoishi south Africa , walalahoi wengi wanakimbilia SA kwasababu ni rahisi kuzamia hata na bus tofauti na nchi za ulaya
 
Wengi wao ni Darasa la saba na wanatokea Uswahilini kwenye Jamii Masikini Wazazi wao ni Mama wa Nyumbani au Wafanyabiashara ndogo ndogo kama kupika Vitumbua, Kukaanga Samaki.
Hawa uliwataja hapa hawapaswi kusafiri kutafuta maisha?, Ila wanaotokea uzunguni, wazazi wao wafanyakazi na wanaofanya biashara kubwa kubwa ndiyo wanaopaswa kusafiri?...Hebu toka huko ndani kwa box na upanue ufahamu wako.... VIJANA TUSAFIRI TUPIGE MISWAKI YA MACHO AISEE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…