The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Naona umeishia kubebishana na mleta mada tu,Hahaha utatukana na kutrigger bipolar mpaka useme mpuuzi na kapuku mkubwa wewe.
Issue ni kuwa hizi mento na narcistic traits za kishamba watu kama sisi tulishazivuka.Naona umeishia kubebishana na mleta mada tu,
Tafuteni shughuli za kufanya ili msipate muda wa kufuatilia maisha ya utafutaji ya wanaume,
Wewe una madhara ya malezi mabovu uliyo lelewa na Baba yako,uzuri uzi upo humu na ulilielezea wewe mwenyewe,pambana na madhara ya malezi uliyo yapitia badala ya kupoteza muda kufuatilia hustle za wanaume.
Mkuu usipoteze muda wako,huyo mleta mada inaonekana maisha yamempiga,so kwa kuangalia hao walio rudishwa toka South,imempa faraja sana,hawa ni ile aina ya watu badala ya kuimprove maisha yao,hua wana angalia ni nani masikini zaidi yao ili wajifariji,Hawa uliwataja hapa hawapaswi kusafiri kutafuta maisha?, Ila wanaotokea uzunguni, wazazi wao wafanyakazi na wanaofanya biashara kubwa kubwa ndiyo wanaopaswa kusafiri?...Hebu toka huko ndani kwa box na upanue ufahamu wako.... VIJANA TUSAFIRI TUPIGE MISWAKI YA MACHO AISEE...
Hata mablack American wanalia kila kukicha waache toxic life la huko waje huku wapumue. Hizi drama unazo ona mitandaoni ni kiini macho tuTanzania kuna fursa za watanzania kuishi maisha mazuri kuliko hata anayeishi Marekani.
Endelea kubebishana na bebi wako mleta mada,na kumwaga vibroken english vyako hapa,ila nimeanza kuyaona madhara au matokeo ya maisha ya hovyo uliyo lelewa na Baba yako,hebu muulize vizuri mamako,huenda huyo sio babako coz wamama wa uswahilini hua wana mambo mengi sana,Issue ni kuwa hizi mento na narcistic traits za kishamba watu kama sisi tulishazivuka.
Ni ujinga tu unafanya mshamba wewe, unafikiri kuwa kila time mtu ata buy ujinga wako kapuku mmoja wewe? Live your dumbass manipulation chooni maana unakuwa kama kichaa anaye tukana ovyo.
"Tutakunyoosha" utaninyoosha wewe na nani? Kuna mtu amekupa mamlaka ya kumuwakilisha hapa?Wewe una ego na tukunyoosha mpaka useme.
Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Sasa umekimbia point unaanza kutafta PA kuegemea sio? Nakwambiaje, wewe na maamuzi yako ya kukimbia umaskini wa kwenu, hauja kumsaidia mbeba mabox mpuuzi wewe. Ndo nyie ukute mnageuzwa na wazungu ndezi kabisa.Endelea kubebishana na bebi wako mleta mada,na kumwaga vibroken englisha vyako hapa,ila nimeanza kuyaona madhara au matokeo ya maisha ya hovyo uliyo lelewa na Baba yako,hebu muulize vizuri mamako,huenda huyo sio babako coz wamama wa uswahilini hua wana mambo mengi sana,
"Tutakunyoosha" utaninyoosha wewe na nani? Kuna mtu amekupa mamlaka ya kumuwakilisha hapa?
Wewe debe tupu uliyelelewa malezi ya hovyo na babako ndio uninyooshe mimi? Hebu pambana kwanza na akili yako coz unaonekana kabisa kua ni hamnazo.
Naona imekuchoma kama pasi,lazima niangalie source ya ukichaa wako,kua ni malezi ya hovyo ya Baba wa kambo hebu komaa na mamako kwanza japo umjue babako kabla hujafa,Sasa umekimbia point unaanza kutafta PA kuegemea sio? Nakwambiaje, wewe na maamuzi yako ya kukimbia umaskini wa kwenu, hauja kumsaidia mbeba mabox mpuuzi wewe. Ndo nyie ukute mnageuzwa na wazungu ndezi kabisa.
Endelea kujifariji na umasikini wako,ndio maana mmefarijika wewe na mleta mada kuona hao jamaa waliorudishwa toka South,yani faraja yenu pekee mliyoibakiza ni kuona mtu kapigika kama nyinyi,Wewe kubali umeamua kukimbilia nje, ndugu zako umewakacha wanajua umejipata kumbe huna mbele wala nyuma
Tatizo we ninlijinga kama wajinga wengine tu. Unaongea vitu nje ya mada, hunijui na bado una lia lia kama zoba tu.Naona imekuchoma kama pasi,lazima niangalie source ya ukichaa wako,kua ni malezi ya hovyo ya Baba wa kambo hebu komaa na mamako kwanza japo umjue babako kabla hujafa,
Endelea kujifariji na umasikini wako,ndio maana mmefarijika wewe na mleta mada kuona hao jamaa waliorudishwa toka South,yani faraja yenu pekee mliyoibakiza ni kuona mtu kapigika kama nyinyi,
Nilisha kwambia kua Get a life ili akili ikukae sawa.
Wacha wee? Umewahi kutoka nje ya Tanzania au ndio Bongo New York?Tanzania kuna fursa za watanzania kuishi maisha mazuri kuliko hata anayeishi Marekani.
Vijana Wa Uswahilini wangekua wakifika Southi Wanafikia Moja kwa moja kufanya kazi Viwandani na Mashambani ingesaidia Vijana wakienda South kubaki salama, Sasa kijana mmoja wa mtaani huko Uswahili alifika South anapokelewaHawa uliwataja hapa hawapaswi kusafiri kutafuta maisha?, Ila wanaotokea uzunguni, wazazi wao wafanyakazi na wanaofanya biashara kubwa kubwa ndiyo wanaopaswa kusafiri?...Hebu toka huko ndani kwa box na upanue ufahamu wako.... VIJANA TUSAFIRI TUPIGE MISWAKI YA MACHO AISEE...
Ulianza kutoka nje ya mada wewe debe tupu na kuanza personal attack,hukujua kua hizo ndio angle zangu sasa,Tatizo we ninlijinga kama wajinga wengine tu. Unaongea vitu nje ya mada, hunijui na bado una lia lia kama zoba tu.
Ukweli gani huo uliopo mezani? Nani amethibitisha kua huo ni ukweli? Na huo ukweli umethibitisha kwa kuangalia criteria zipi?Baki na ukweli uliopo mezani
Fuata ushauri niliokupa wa kutafuta tiba ya kisaikolojia kutokana na athari za malezi ya hovyo uliyo lelewa na Baba wa kambo.Usiikimbile bipolar triggers haisaidii hapa utaumia tu huku wengine tukitabasamu nyuma ya keyboard
Vijana waliochoka na maisha wameamua kujifariji tu mkuu,ndio maana wanafurahia kuona wenzao wamerudishwa toka South,hizo hua ni mentality za watu walio feli maisha.Wacha wee? Umewahi kutoka nje ya Tanzania au ndio Bongo New York?
Jinga kabisa.
Mbona hata makatibu wakuu wa wizara wanastaafu hawana kitu licha ya vipato vyao kuwa vikubwa.Hauoni wengi wanaovuka boda wanarudi choka mbaya
You're just another freaking loser, utaandika magazeti mengi ila dawa imeshapenya hiyoo. I don't care unaugulia maumivu ganiUlianza kutoka nje ya mada wewe debe tupu na kuanza personal attack,hukujua kua hizo ndio angle zangu sasa,
Wewe zaidi ya kuweke vibroken english vyako hapa jf na kufungua vinyuzi vya kushobokea Wanawake wa jf,huna zaidi cha kuoffer,
Ukweli gani huo uliopo mezani? Nani amethibitisha kua huo ni ukweli? Na huo ukweli umethibitisha kwa kuangalia criteria zipi?
Fuata ushauri niliokupa wa kutafuta tiba ya kisaikolojia kutokana na athari za malezi ya hovyo uliyo lelewa na Baba wa kambo.
Waliokuwa na vitu walinyang'anywa si wa hapa tu hata wa nchi zingine, pia ambao hawakunyang'anywa ni vigumu kuvisafirisha.Wameenda masikini, wamerudi masikini
Endelea tu kumwaga vibroken english vyako na kuishi na madhara ya malezi ya hovyo ya Baba wa kambo.You're just another freaking loser, utaandika magazeti mengi ila dawa imeshapenya hiyoo. I don't care unaugulia maumivu gani