Tatizo unachekesha kuongea kitu kisicho kuwepo, ili upate ahueni.. Huoni hicho ni kituko? Kwanza sijawahi kuchapa broken english na Sidhani kuna wa kunifikia humu. Pili my dad is a well rounded person, naona unapayuka utumbo maana nimekufanya kitu mbaya sana emotionally. Tuliza hilo komwe endelea kuokota box, ufe then familia yako nipate taarifa, nguruwe wewe.Endelea tu kumwaga vibroken english vyako na kuishi na madhara ya malezi ya hovyo ya Baba wa kambo.
Kitu kusichokuwepo wakati kuna uzi wako humu wa kumchukia Babako kisa alikupa malezi ya hovyo na manyanyaso?Tatizo unachekesha kuongea kitu kisicho kuwepo,
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuiambia forums kua eti hakuna wa kukufikia humu,ili upate ahueni.. Huoni hicho ni kituko? Kwanza sijawahi kuchapa broken english na Sidhani kuna wa kunifikia humu.
Baba wa kambo huyo,toka usingizini,babako asingekulea kwa yale maisha ya mateso,Pili my dad is a well rounded person,
Wewe ni lijinga tu huna akili. Hunijui sikujui ila wewe ndo unaonekana mjinga.Kitu kusichokuwepo wakati kuna uzi wako humu wa kumchukia Babako kisa alikupa malezi ya hovyo na manyanyaso?
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuiambia forums kua eti hakuna wa kukufikia humu,
watu tunakuangalia tu na hivyo vibroken english vyako,
Baba wa kambo huyo,toka usingizini,babako asingekulea kwa yale maisha ya mateso,
Narudia tena kukwambia kua tafuta shughuli ya kufanya ili usipate muda wa kufuatilia maisha ya wanaume,
Hao waliorudishwa toka South,wewe inakuhusu nini? Wafanikiwe au wasifanikiwe,wewe inakuhusu nini? Mind your own f<g business.
Hizo stress zako za kulelewa malezi ya hovyo na Baba wa kambo,usituletee humu JF,kamaa na mamako ndiye aliye kuletea huyo baba wa kambo,Wewe ni lijinga tu huna akili. Hunijui sikujui ila wewe ndo unaonekana mjinga.
Nakwambiaje wewe familia yako uloiacha kijijini watapataga taarifa kuwa ulisha kufaga huna kitu kapuku wewe, badala urudi home ukalime mashamba ya ukoo, ukaishia kukimbilia nchi za watu?Hizo stress zako za kulelewa malezi ya hovyo na Baba wa kambo,usituletee humu JF,kamaa na mamako ndiye aliye kuletea huyo baba wa kambo,
Acha kufuatilia hustle za wanaume,utaolewa.
Endelea kujifariji na umasikini wako,ndio maana wewe na mleta mada mmefarijika kuona hao jamaa wamerudishwa toka South coz hiyo ndio faraja pekee mlioibakisha kwenye maisha yenu baada ya kufeli maisha na kupitia mateso kwenye malezi ya Baba wa kambo,Nakwambiaje wewe familia yako uloiacha kijijini watapataga taarifa kuwa ulisha kufaga huna kitu kapuku wewe, badala urudi home ukalime mashamba ya ukoo, ukaishia kukimbilia nchi za watu?
Mimi nina uwezo wa kuwalisha wewe na mumeo mpaka mnakufa,ndio maana nimekupa ushauri hapa kua badala ya kupoteza muda wako kufuatilia hustle za wanaume,tafuta shughuli ya kufanya,umri haumsubiri mtu,Sasa aibu ya kushindwa kutoboa inakufanya utupe trantum kwa watu usio wajua?
Kumbe ndio maana umefurahi kuona hao jamaa wamerudishwa toka South,unatamani watu wote wateseke kama wewe ili ufarijike,Nakwambiaje boya wewe, rudi rudisha mpira kwa beki omba wakuchangie urudi kwenu,
Takwimu za vipato na hali za maisha za Watanzania wanaoishi South Africa unazo mkuu?Siwezi nikazungumzia nchi zote mimi nasemea wanaoishi south Africa , walalahoi wengi wanakimbilia SA kwasababu ni rahisi kuzamia hata na bus tofauti na nchi za ulaya
Hivi vitoto vikikua ndio vitajua maisha ni nini,sasa hivi wanakula ugali kwa bimkubwa ni ngumu kujua hustle za maisha hua zipo vipi.Life haijawahi kuwa rahisi mazee! Japo sauzi pamoto sana, kunataka upeo sana.
Hivi vitoto vikikua ndio vitajua maisha ni nini,sasa hivi wanakula ugali kwa bimkubwa ni ngumu kujua hustle za maisha hua zipo vipi.
Kumbe unanijua ya kuwa mimi ni mraibu wa wanawake? Sasa kwa vile wewe unajua huko unakosa pa kukojolea unanionea mimi donge?vibroken english vyako na vinyuzi vya kuwafungulia wanawake hapa jf haviwezi kukupa maisha,
jamaa kasema kweli malezi ya mjini huwezi kutoboa labda ulikuwa familia bora na una wingi wa connection kupitia wazazi na ndugu wa karibu wenye uwezo.Waliolelewa Kinondoni na Magomeni
Unaona jinsi ulivyo kapumbavu? Umemfungulia uzi Shes_rise akaishia kukudhalilisha tu,ukamfungulia uzi Seran,akakupa za uso,au kumbe akili yako hua inakuaminisha kua ukimshobokea mwanamke wa jf ukamfungulia uzi ndio unakua umesha mpata tayari sio? Hivi ulisoma mpaka darasa la ngapi? Maana sio kwa ujinga huu aisee.Kumbe unanijua ya kuwa mimi ni mraibu wa wanawake? Sasa kwa vile wewe unajua huko unakosa pa kukojolea unanionea mimi donge?
Seran najua hata wewe ulirusha ndoano ukaambulia manyoya boya wewe.Unaona jinsi ulivyo kapumbavu? Umemfungulia uzi Shes_rise akaishia kukudhalilisha tu,ukamfungulia uzi Seran,akakupa za uso,au kumbe akili yako hua inakuaminisha kua ukimshobokea mwanamke wa jf ukamfungulia uzi ndio unakua umesha mpata tayari sio? Hivi ulisoma mpaka darasa la ngapi? Maana sio kwa ujinga huu aisee.
Siyo kweli, unaweza shindwa na nchini kwako ukafanikiwa uhamishoniKila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama nyumbani umeshindwa kufanikiwa usidhani ugenini ndio utafanikiwa , tuliza mshono baki bongo .
Natamani wajinga wote wasome ulichokiandika hapa waelimikeMwaka 2010 niliwahi ishi Greece kwa miezi 6..
Kipindi hicho nipo under 30 ..
Athens nilikuta watanzania wengi sn,,wenye maisha mazuri na maisha ya kutubu.
Mimi nilikuwa miongoni mwa vijana ambao walikuwa na maisha magumu sn pale Athens.
Ndipo mzee wng mmoja mtanzania akaniweka chini akanishauri.
Mwandende"wewe bado mdogo sn,,
hapa Greece hapakufai,,utapoteza muda wako bure..
Mimi nina umri wa miaka 50 now,nipo hapa tangu 1998 , najuta kuwa hapa hadi sasa,,
Sina pesa na pia sina family zaidi ya ile niliyoacha Tanzania.
Tanzania nimeacha mke na mtoto mmoja tu,,,
sipendi na wewe yakukute.. natamani kurudi nyumbani Nashindwa.
Nakushauri tafuta maisha pia tafuta na family .
watu wengi wanaoishi ulaya hawana family .
Rudi nyumbani kajipange upya,
Tafuta maisha na tafuta family pia,
Ukikosa maisha unaweza ukapata maisha mazuri kupitia watoto wako hapo baadae...ukiwa hapa hutotengeneza family,.watu wengi hapa wanaishi kisela tu.
Nilimsikiliza yule mzee na kuamua kurudi Tanzania..
Nilichojifunza kwa watanzania wengi wanaoishi Africa kusini,na baadhi ya inchi za ulaya na America kusini zenye maisha magumu.
Wengi hawana maisha na family pia hawana..
Wamekosa vyote...
Mtu yupo south miaka 30 hana mke wala mtoto na ameshakuwa mtu mzima...
Mtu una over 55 umeishi nje zaidi ya miaka 30 hata ukirudshwa Tanzania now utafanya nn?...
Huna maisha na family pia huna.
Well notedKwa South Africa kwa nature ya nchi ilivyo ni ngumu kwa mgeni hasa kama hana rasilimali kufanikiwa. Ila kwa Ulaya na Marekani kama mtu atajituma kwa bidii bila kuchagua kazi na akaacha maisha ya anasa atafanikiwa.