Kinamchomsumbua Hananja ni wivu wa kuzidiwa 'trending' na Mfalme Zumaridi

Yatakuja ya kibwetere hapa.
 
Hichi ulichoandika ni kumkosea Hananja
 
We humjuwi hananja
Na usimfananishe hananja
Na huyo zumaridi
Wengine hananja tunamjuwa miaka 20 iliyopita

Ova
Kumjua since hakuhalalishi yeye kukosoa imani za wengine kuhusu mafanikio mfalme zumaridi ana mafanikio kupita ukoo wote wa hananja , kama unabisha twende kwenye ushahdi no blah blah hapa
 
Toa ndugu toa ndugu kwa Bwana , wakat huyo Bwana hayupo hela wanakula wahuni wachache
 
Ni wivu tuu zumaridi ana mitikasi yake na kinachompa wafuasi wengi kitu ambacho watu wengi hawajui ni kuwa huwa anagawa chakula na na pesa kwa watu , mkono mtupu haulambwi kama watu hawaoni kitu hawaji mzee ,

Hata kesi zake zilizomsumbua ilikuwa ni mchongo wa wabaya wake ambao nao ni wasanii wa kidini ila wanakosa strategy ya kuzinyaka pesa , leo hii mtu anakuja na bla bla , basi atueleze dini ya kweli ni ipi
 
Hichi ulichoandika ni kumkosea Hananja
Yeye angekaa na kutulia , kama anawashambulia wengine kwa nini yeye asishambuliwe , mbona wasabato wakiwashambulia mnapanua midomo juu , wamwache mfalme zumaridi , neno la Yesu ni moja tuu asiye na dhambi awe wa kwanza kumtupia jiwe , tukiyafukunyua ya hananja hapa mbona tutakimbiana
 
Zumaridi jana alikua kwenye show ya rayvanny,sio shida zake
🤣🤣🤣,zumaridi mimi namchukulia kama.comedian fulani hivi unamsikiliza unacheka unaondoa stress,mengine unamuachia mwenyewe!
 
Mambo ya dini Ni magumu Sana..
Unaweza kukuta mungu anamkubali zumalidi
 
Yaani Mch. Hananja umlinganishe na huo Utopolo???

You must be sick!
 
Kwa iyo mtoa mada una amini kabisa zumaridi alifika peponi ?
 
Mafundisho yale baadhi ni nadharia not practical, ndo maana wafuasi wao hayawasaidii japo wanajaza notisi. Mfano mtu anaendelea na zinaa japo ana notisi za kutosha kuhusu zinaa
Kama yapi? Isiye ikawa wewe akili yako ina shida. Mambo ya ukuu wa Mungu si ni nadharia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…