Kikao nicha siri wewe hayo yakugawana buyu la asali umeyatoa wapi au nyie ndo wale msiopenda mambo mema nchi hii.Wanajadiliana jinsi ya kugawana buyu la asali...
Wanasiasa ni wabinafsi sana... Kinachojadiliwa sio kwa niaba ya wananchi bali jinsi gani watashea kutafuna mali za Taifa..
Ukiniambia au Ukinionyesha Mbowe au Kinana kama wana uchungu wananchi, na wanajadiliana kwa manufaa ya wananchi...Nitambea kwa miguu Dar to kigoma
Kuna siku CCM, CDM na ACT wataamka watajikuta wapo out of touch na wananchi.
Hawa vijana chini ya 30 watakuja kubadilisha siasa za hii nchi.
Mkuu wapinzani ni wananchi pia na wana haki ya kuieleza Chama tawala kama hawafanyi inavyotakiwaKwa ivo kama kuna hali ngumu ndiyo shughuli za kutafuta maelewano hazitakiwi ziwepo?
Hivi CHADEMA kwani wanaongoza nchi hadi wajadili kutuvusha? Bunge na serikali si ndiyo zinawajibu wa kutuvusha, sasa CHADEMA inaingiaje?
Umejuaje kama wanaahidiwa hela?
Kwani kikao na mkutano wa hadhara ni sawa??
Mkutano mkubwa kuongelea siasa eti maelewano wakati nchi ina hali ngumu
Hawajadili kutuvusha bali wanawaza matumbo yao tu
Hapo wanaahidiwa hela tu hakuna jipya
Unafanya siri kwani vita hii
Kuna siku CCM, CDM na ACT wataamka watajikuta wapo out of touch na wananchi.
Hawa vijana chini ya 30 watakuja kubadilisha siasa za hii nchi.
Omba, usisubiri Hadi yatokee maana ukisubiri yatokee utakuwa umechelewa.Yanaanza lini hayo maonob, niyasubiri Kwa kigoda kabisa
Wewe huoni chadema walau wamebadilika kidogo kitabia na kuwa na Tabia za kiutu uzima za kuwa na Subira na utulivu
Chadema ni akili kubwa sana !Ila tuache masiala, CHADEMA Wana akili sana sana, dah
Bila kupewa semina na ndugu Kinana mpaka muda huu wangekuwa wameshaanza kusema kila mtu na lake Kama kawaida yao ya kutaka kuwa wakwanza,maana ndani ya Chadema kila mtu Ni kambale
Usiri wao kwa manufaa ya nani?Kikao nicha siri wewe hayo yakugawana buyu la asali umeyatoa wapi au nyie ndo wale msiopenda mambo mema nchi hii.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Semina lazima ilitangulia kabla ya kikao kwa ajili ya kuwafunda viongozi wa chadema kuhusu na kuzingatia Sheria na maadili ya kikao, siyo kuanza kuongea ongea tu Kama walivyozoea kufanya, ndio maana unaona leo walau wamejirekebisha baada ya kupewa madini toka kwa nguli wa sayansi ya siasa ndugu KinanaSemina gani?. Kumbe hujui tofauti ya semina na kikao?.
Hadharani mikutano ya hadhara imezuiwa (Kiharamu), huko unakokusema wewe kuwa ni hadharani ni wapi?Kuna mengi ya kuongea hadharani zaidi ya Vikao vya siri
Kuna mahala tunaogopa kuwa nayoKatiba mpya ni muhimu sababu matatizo tunayoyapitia kama Nchi, maji, mafuta, mfumuko wa Bei nk nk ni ya KIMFUMO hivyo ikiandikwa na kupatikana, itatibu hayo yote.
Mambo ya chini chini kwenye issue isiyotaka usiri kama uhuru wa siasa itakuja kuzaa kashfa! Usikute kuna maslahi ya watu yanajadiliwa kabla ya makubaliano kwenda public!
Kufanya siasa kwa Uhuru ndio muhimu kuliko kero za wananchi kuhusiana na tozo na mfumuko wa bei, kero za maji na umeme?Please, hivyo ni vikao vya CHADEMA na CCM wanajadiliana mambo ya kufanya siasa kwa Uhuru na sio mafarakano Kama ilivyokuwa Happ nyuma. Kuhusu maendeleo ya wananchi Kuna Rais, Mawaziri, bunge, Halmashauri na wenyeviti wa vijiji na vitongoji. Walaumu hao Kama hujapata maendeleo
Wangeongeaje hadharani wakati ata vikao vya ndani tu walikua wanafurushwa na polisi.Ksma kuna mambo unayaona hayaendi sawa ni swala la kila mtu kusimama na kusema sio wengine kujibanza nyuma ya migongo ya watu alafu wao ndo wanakua wa kwanza kutoa lawama kwa wale waliojitokeza kusema na wakakutana na mazila.Mkuu wapinzani ni wananchi pia na wana haki ya kuieleza Chama tawala kama hawafanyi inavyotakiwa
Kuna mengi ya kuongea hadharani zaidi ya Vikao vya siri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CHADEMA kimekuwa ni chama NDOIGE. Ukikipenda ndiyo umekipenda na ukikichukia ndiyo umekipenda pia!!
Wananchi wanao Wenyeviti wa vijiji/mitaa, madiwani, wabunge na Rais. Unataka watu wasiotajwa kikatiba kushughulika na matatizo ya watanzania wafanye kazi isiyowahusu?Kufanya siasa kwa Uhuru ndio muhimu kuliko kero za wananchi kuhusiana na tozo na mfumuko wa bei, kero za maji na umeme?
Hawana lolote wanatengeneza mazingira ya kupiga pesa