Kinana , Nchimbi na Makonda Tayari wameingia kwenye mfumo wa CHADEMA , sasa anayesubiriwa ni Samia tu mchezo uishe

Yaan unaandika upupu hapa, na unasema eti ni thread tayari.
 
Mi nikiwa sina la maana la kusema huwa nanyamaza tu kuliko kujidhalilisha namna hii!!😞😞😞
Usishangae.Uwezo wa kufikiri na kuchambua mada mbalimbali ni mgumu sana sio kila mtu ana uwezo huo.
Wengine ni kuropoka tu kinachowajia kichwani.Najiuliza wanawezaje kukumbuka kurudi nyumbani na kujua hapo walipo ndio nyumbani?
Mtu mzima anaropoka tu mradi ajaze server.
 
Yes tunazungumzia maji, ila maji ya nini?, ya kunywa, ya kupikia, ya kuogea, ya kuoshea etc, kwa sasa walioko mezani ni CCM na maji wanakunywa, hayo maji ya Chadema ni yapi?, ya kuogea au ya kuoshea?.
P
Bila kusahau maji yanayotoka kwenye WC ni maji pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…