Ngoja niwaachie nyumbu wenyewe mufurahie comment hii, sielewi chochote kilichoongelewa hapa!Kwa kuwa umeshaonwa na sisi tunasonga mbele🤪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niwaachie nyumbu wenyewe mufurahie comment hii, sielewi chochote kilichoongelewa hapa!Kwa kuwa umeshaonwa na sisi tunasonga mbele🤪
Na wenyewe ndio hawaUsichokijua ni hiki , CCM ina wenyewe
Machikini chichiem,tujino kama chikichi😅Na wenyewe ndio hawa View attachment 2895382
Sasa Kinana Si kasema mwenyewe au hukumsikia?Mi nikiwa sina la maana la kusema huwa nanyamaza tu kuliko kujidhalilisha namna hii!!😞😞😞
Sawa mkuu,
Ulipotaja Makonda tu nikakudharau .
Mkuu🤣🤣🤣🤣🤣Mi nikiwa sina la maana la kusema huwa nanyamaza tu kuliko kujidhalilisha namna hii!!😞😞😞
Yaan unaandika upupu hapa, na unasema eti ni thread tayari.Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .
Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .
Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
Usishangae.Uwezo wa kufikiri na kuchambua mada mbalimbali ni mgumu sana sio kila mtu ana uwezo huo.Mi nikiwa sina la maana la kusema huwa nanyamaza tu kuliko kujidhalilisha namna hii!!😞😞😞
Joined 30 Dec 2023Yaan unaandika upupu hapa, na unasema eti ni thread tayari.
Bila kusahau maji yanayotoka kwenye WC ni maji pia!Yes tunazungumzia maji, ila maji ya nini?, ya kunywa, ya kupikia, ya kuogea, ya kuoshea etc, kwa sasa walioko mezani ni CCM na maji wanakunywa, hayo maji ya Chadema ni yapi?, ya kuogea au ya kuoshea?.
P