Kinana , Nchimbi na Makonda Tayari wameingia kwenye mfumo wa CHADEMA , sasa anayesubiriwa ni Samia tu mchezo uishe

Kinana , Nchimbi na Makonda Tayari wameingia kwenye mfumo wa CHADEMA , sasa anayesubiriwa ni Samia tu mchezo uishe

Usichokijua ni hiki , CCM ina wenyewe
Na wenyewe ndio hawa
ccm.jpg
 
Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .

Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .

Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .

Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
Yaan unaandika upupu hapa, na unasema eti ni thread tayari.
 
Mi nikiwa sina la maana la kusema huwa nanyamaza tu kuliko kujidhalilisha namna hii!!😞😞😞
Usishangae.Uwezo wa kufikiri na kuchambua mada mbalimbali ni mgumu sana sio kila mtu ana uwezo huo.
Wengine ni kuropoka tu kinachowajia kichwani.Najiuliza wanawezaje kukumbuka kurudi nyumbani na kujua hapo walipo ndio nyumbani?
Mtu mzima anaropoka tu mradi ajaze server.
 
Yes tunazungumzia maji, ila maji ya nini?, ya kunywa, ya kupikia, ya kuogea, ya kuoshea etc, kwa sasa walioko mezani ni CCM na maji wanakunywa, hayo maji ya Chadema ni yapi?, ya kuogea au ya kuoshea?.
P
Bila kusahau maji yanayotoka kwenye WC ni maji pia!
 
Back
Top Bottom