Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kikwete anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzania ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano.
Abdulrahman Kinana
CHADEMA wametutuhumu CCM, Serikari na Rais kwa mambo ya uongo. Hatukatai kukosolewa na kusahihishwa, lakini hatukubali kuzuliwa wala kushtumiwa kwa mambo ambayo hayapo au ni ya kutunga. Kubwa walilofanya kwenye mizunguko yao ni kujenga chuki na mfarakano miongoni mwa Watanzania.
Hoja zao na ufafanuzi wa Chama cha Mapinduzi
1. Katiba
Wanasema wanataka Katiba Mpya na kutushawishi katiba mpya ni muhimu - Mwaka jana 2023 tumekubali hoja ya katiba mpya, na wanatanzania wanaitaka katiba mpya, tunachobishania ni lini, wao wanataka ipatikane leo. Rais Samia wakati anandoa zuio la mikutano ya hadhara alikubali pia kuhusu suala la katiba. Haya mambo yanahitaji muda na tafakuri, lakini wenzetu wanasema hapana, katiba inahitajika sana.
Katiba yetu imepokea mabadiliko mara 14, na ukitazama madailiko hayo mara nyingi yalilenga siasa, madaraka na uchaguzi, hata msukumo wa sasa wa CHADEMA lengo lake ni uchaguzi. Serikali imetunga sheria tatu za uchaguzi ambazo zimepita bungeni na Rais kutia saini, sheria ambazo zilitolewa maoni na wadau mbalimbali ikiwemo mpaka bungeni kwa siku nne, ambapo hoja za msingi zilikubaliwa lakini CHADEMA hawakuridhika, bado wasema Rais asihusishwe kwenye uchaguzi wa viongozi wa Tume, sijaona nchi ambayo Rais hahusishwi kwenye maamuzi mfano China, India, Kenya, Afrika Kusini kote Rais anakuwa na mamlaka fulani juu ya Tume.
CHADEMA walitaka suala la Katiba liwe la CHADEMA na CCM kama chama kikuu cha upinzani na chama tawala, hili haliwezi kufanyika, sababu katiba sio suala la vyama hivi viwili pekee.
View attachment 2981272
Kwa sheria hii nawahakikishia Tume hii itakuwa Huru na kufanya kazi kwa uadilifu, Mweyekiti, Makamu na watendaji watakula kiapo kufanya hiyo kazi, labda kama tunataka malaika kufanya hizo kazi, lakini kazi hizi lazima zifanywe na binadamu.
Katiba na Sheria ya Uchaguzi siyo njia pekee ya kushinda uchaguzi, Sera nzuri, Kukubalika kwa chama chako, Kukubalika wagombea wako na kujipanga ipasavyo kwenye uchaguzi kuna mchango mkubwa sana kwenye ushindi.
Sheria ya Uchaguzi
Muungano
Kuligawa taifa katika majimbo
Sasa mbona Tanganyika haina serikali. Mnadanganyana wenyewe. Jibuni hoja mmeugana kwenye nini kama sio kuiba kodi tu. Mtanganyika hawezi miliki ardhi mzanzibar. Zanzbar anaweza kumiliki ardhi Tanganyika. Tunaongea tu porojo tupu.Haya

kinana anakandamizaeeeeeMkishindwa hoja ndiyo zenu.

Hakuna jipya kwenye hoja hiyo, wala hata haikuwa siriHawawezi propaganda hao.
Huoni mzee wa propaganda anavyojaribu kuspin. Eti katiba mpya inahitaji muda... Wakati mchakato ulishaanza miaka 10 iliyopita. Naona Warioba watakufa bila kuona matunda ya kazi yake.
Mdomo Mali yako unaruhusiwa kuropoka.yes,
kibaraka nu mjanja sana kwa mabwenyenye![]()
sawa kamanda,Mdomo Mali yako unaruhusiwa kuropoka.

Kwa hiyo tufuate ujinga na upumbavu kwa kuwa ni nchi nyingine,Kumbe hakunaga namna Rais wa Nchi ataweza kujiweka kando na Uteuzi wa viongozi wakuu wa Tume Huru ya Uchaguzi
Hata Kenya na Africa Kusini ambako makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu anaona Tume Huru ya Uchaguzi ni Bora Bado Mwenyekiti anachaguliwa na Rais
Nasubiri majibu ya Tundu Antipas Lisu kwa makamu Mwenyekiti wa CCM komredi Kinana
Nawatakieni Dominica Njema
Hayo hawezi kuzungumza kwa vile ana maslahi yake pale.Tutafurahi Kinana akisema wazi aliyewafukuza Wamasai wa Ngorongoro ni Raia wa Nchi gani