Pre GE2025 Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nguruvi3 Kalamu brazaj JokaKuu zitto junior
 
Unateua refa huku timu yako ikiwa ground halafu unatuaminisha kuwa atachezesha bila upendeleo, huku umeshikilia paycheck yake
 
Hoja ya Lisu siyo idadi ya wabunge au idadi ya wapiga kura, hoja ni idadi ya wapigakura kwa wabunge wanaowakilisha bunge moja la nchi moja!
Ikumbukwe wabunge hawa wanagharamiwa na rasilimali za Tanganyika! Ili kuondoa malalamiko, Zanzibar igharamie wabunge wake nyenyewe basi!
 
Kwa hiyo tufuate ujinga na upumbavu kwa kuwa ni nchi nyingine,

tunaweza kuwa watu wa kwanza wajanja afrika na wengine wakaiga
 
haramia aache kuongea ujinga. ma ccm menzake yamemuacha aaibike. hakuna ccm mwenye akili zaidi ya Mzee Warioba. waliobaki ni mangungu matupu. na walioingia na akili walibatizwa upya ubatizo wa utaahira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…