Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Absolute power anakuwa nayo mfalme na dictator tu. Katika democracy panakuwa na checks and balances za kuhakikisha kuwa power ya mtawala inakuwa na ukomo. Ndio maana Mwalimu aliita mfumo wetu unatoa Imperial Presidents ambao wakitaka wanaweza kuwa madikteta.wenzenu wap ndugu,
asie na absolute power?
ni katika serikali ya kidini au kisiasa ndio hana absolute power 🙄
Tanzania Rais alikuwa anateua sio tu wajumbe na watendaji wa Tume bali hata wasimamizi wa Uchaguzi. Ni vigumu mno kuwa na uchaguzi huru katika mazingira hayo. Na kwa vile binadamu wote wana mapungufu yao ndio umuhimu wa kuweka checks and balances kwenye muundo. Teua lakini watathibitishwa na wengine. Na watendaji wa Tume hizi huwa hawateuliwi na Rais.
Amandla...