Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
anachokifanya lisu ni mkakati wa chadema kuligawa taifa
uzuri watanzania si wajinga kwa hilo
uzuri watanzania si wajinga kwa hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere ndio alituachia hii katiba ya umungu mtu, na ndio muasisi wa huu muungano wa shuruti. Tunamuelewa vizuri Tundu kuliko huyo Nyerere mnayedhani tulimkubali kihivyo.Mwalimu Nyerere alituasa kuwa makini sana na wanasiasa wanaoutumia dini , kabila na rangi katika kutafuta uongozi. Wanasiasa waliokosa hoja hukimbilia mambo hayo ili kuwahadaa wananchi.
Tundu lissu wa chadema ni mfano Hai wa ambacho alikielezea Mwalimu Nyerere. Watanzania mpuuzeni maana hajui analoongea lina athari gani kwa jamii yetu.
Pole naona mshale umepenya kunako. Milio mnayotoa ni ya kila aina. Tumetoka pia kusikiliza mlio wa babu yako Kinana muda sio mrefu.Mwalimu Nyerere alituasa kuwa makini sana na wanasiasa wanaoutumia dini , kabila na rangi katika kutafuta uongozi. Wanasiasa waliokosa hoja hukimbilia mambo hayo ili kuwahadaa wananchi.
Tundu lissu wa chadema ni mfano Hai wa ambacho alikielezea Mwalimu Nyerere. Watanzania mpuuzeni maana hajui analoongea lina athari gani kwa jamii yetu.
Anapewa ukweli wake, anaweza kupiga marufuku tu hata usiku huu. Alipiga marufuku mikutano dhalimu Magu, na bado ilipofika wakati wa uchaguzi aliupora, itakuwa Hawa? Ccm sio chama Cha kizazi hiki, haya mambo ya kulazimisha kwenye kizazi hiki ni kupoteza muda.Bora wangekuwa wanamsema,Sasa wanamtukana.Hata Sasa akiamua kupiga marufuku maandamano hakuna wa kunyanyua mdomo.
1.Kwanini Wabunge wa Zanzibar huwa wanajadili bajeti za Wizara zisizo za Muungano, Kama Wizara ya Kilimo?
2. Kwanini kwenye Baraza la Wawakilishi hakuna Wabunge toka Tanganyika kulinda Maslahi ya Tanganyika?
3.Kwanini Wazanzibar wanakuwa Wakuu wa Wilaya Tanganyika ilihali Watanganyika hawawezi kuwa Znz,assumption kwamba TAMISeMI ipo nchi ya Rais?
4.Kwanini Rais wa Jamhuri akitaka kugawa eneo labda Mkoa au Wilaya,Tanganyika anagawa tu,ila Kwa Zanzaibar ni lazima ashauriane na rais wa Zanzibar?
5.Idadi kamili ya wapiga kura ilikupata Jimbo la Mbunge wa bunge la JMT ni ngapi?
6.Kwanini Sukari bei chini Znz?
7.Kwanini Leseni ya udereva ya Tanzania haikubaliki Znz?
8.Kwanini Mh Rais hakubinafsisha bandari za Znz?..Znz hawataki Ufanisi?
9.Kwanini Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,hatambuliki Znz ilihali ni wa Tanzania nzima?
10.Kwanini Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania halijawahi kuwa na Spika wala Naibu Spika toka Zanzibar?
Hata yeye uraia wake una mashaka.Tutafurahi Kinana akisema wazi aliyewafukuza Wamasai wa Ngorongoro ni Raia wa Nchi gani
Mumemkuta Samia analeta huruma za kimama,Makonda alishawaambia angewakomesha ingekuwa awamu ya chuma ,mungesaga meno mara 2.Anapewa ukweli wake, anaweza kupiga marufuku tu hata usiku huu. Alipiga marufuku mikutano dhalimu Magu, na bado ilipofika wakati wa uchaguzi aliupora, itakuwa Hawa? Ccm sio chama Cha kizazi hiki, haya mambo ya kulazimisha kwenye kizazi hiki ni kupoteza muda.
Wa hiyo unataka kusema lissu kapoteza ramani!Hicho kinasikilizwa na wazee, watu waliopoteza ramani na machawa
Hatuhutaji huruma ya mtu yoyote, tunataka katiba iheshimiwe. Huyo Makonda ni mlevi wa madaraka, wala sio sehemu ya mifano ya siasa za ushindani.Mumemkuta Samia analeta huruma za kimama,Makonda alishawaambia angewakomesha ingekuwa awamu ya chuma ,mungesaga meno mara 2.
Lisu ana muda wa kusikiliza huo uchafu?K
Wa hiyo unataka kusema lissu kapoteza ramani!
Ni aibu kubwa kumtegemea mtu wa aina hii kwa karne hii... Mzee Kinana kaingizwq 'chaka' na wajanja ..hapa atakapotokea Lissu ,akazichambua hoja mfu kwa mapana ..tutaambiwa kawakosea heshima ..natamani kusikia kauli za kisheria toka Serikalini.Huyu mzee yuko overrated sana katika siasa za CCM lakini hana credibility yoyote katika ustawi wa Tanzania.
Siasa za ushindani si ndio? Subiria Samia atoke mtakoma ,nasubiria Kwa hamu sana kusikia vilio nitawakumbusha tuuHatuhutaji huruma ya mtu yoyote, tunataka katiba iheshimiwe. Huyo Makonda ni mlevi wa madaraka, wala sio sehemu ya mifano ya siasa za ushindani.