Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biden 81, M7 80; yule wa Equatorial Guine, nadhani zaidi ya 90! Hawa bado wanapambana na vijana!Ni dhahiri Kinana Amezeeka na hana tena uwezo wa kufikiria, Hata hivyo huwezi kuwa na Zaidi ya miaka 80 ukabaki na uwezo wa Ujana, Lawama ziwaendee waliomtuma kujibu asiyoyaweza
Keka refu sana je ukitaka kujua wakenya hawalalamiki kuhusu time yao ya Uchaguzi muulize odingaMakamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana amezungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika Dodoma akiangazia masuala mbalimbali ikiwemo hoja mbalimbali zilizoshika kasi hivi karibuni kutoka upande CHADEMA na hasa Lissu. Nilichokiona ni kwamba Kinana kajichanganya na kukoroga zaidi badala ya kupangua hoja, tujadili aliyosema Kinana kwa kurejea kauli zake
1. Katiba na Sheria
Kinana anaposema mambo ya katiba mpya yanahitaji muda na tafakuri, Je ni Muda gani? Miaka mingapi?
Kinana anapaswa kufahamu raia wengi hawataki "blank cheque", wanataka kujua ni wakati gani hasa umepangwa kuipata hiyo katiba mpya. Hapa hatajazungumzia rasimu ya katiba ya Warioba.
Kinana Anasema Katiba yetu imepokea mabadiliko mara 14, na ukitazama madailiko hayo mara nyingi yalilenga siasa, madaraka na uchaguzi, hata msukumo wa sasa wa CHADEMA lengo lake ni uchaguzi.!
Kwa nini Kinana anafikiri haya ni mambo madogo na sio ya muhimu au kipaumbele?
Kinana anayesifiwa ni mmojwapo wa magwiji wa siasa nchini hafahamu siasa, madaraka na uchaguzi amabavyo kwa pamoja vinaunda muundombinu wa utawala wa nchi ndio injini yenyewe ya nchi ?! Hajui mambo hayo ndivyo dhima kuu ya katiba zote duniani?! Au anataka tuweke barabara, madaraja,umeme, maji n.k katika katiba?
Tume ya Uchaguzi na Mamlaka ya Rais
Kinana anasema hajaona nchi ambayo Rais hahusishwi kwenye maamuzi ya Uchaguzi na kwamba hakuna tume ya Uchaguzi Duniani ambayo Rais hana Mamlaka. Kinana afahamishwe zipo nchi za aina hiyo na US ni mojawapo. Hata hivyo hoja ya msingi ni tume huru, Kenya wana tume inayoundwa na Rais laikini ni huru na Wakenya karibia wote hawana malalamiko kwamba tume yao ya uchaguzi sio huru.
Kinana anasema Katiba na Sheria ya Uchaguzi siyo njia pekee ya kushinda uchaguzi, Sera nzuri, Kukubalika kwa chama chako, Kukubalika wagombea wako na kujipanga ipasavyo kwenye uchaguzi kuna mchango mkubwa sana kwenye ushindi! Kinana hafahamu kwamba wapinzani wakati mwingine huwa hawapati hata hiyo fursa au nafasi ya kuingia katika sanduku la kura?!
2. Muungano
Kinana anasema CHADEMA wamekuja na hoja kwamba Zanzibar ni ndogo wakati ina wabunge wengi, Kinana anapotosha kwa makusudi au haelewi hii hoja?
Hoja sio wingi au uchache, hoja ni uwiano sahihi na hili Lisu amesemea hata kwa kulinganisha mkoa wa Lindi na Dar es Salaam katika kukosekana uwaino sahihi.
Kinana anasema wabunge hawaendi bungeni sababu ya idadi ya watu, wanaenda kwa uzito wa hoja!
Kinana katika hili amepotoka vibaya sana, usahihi na inavyopaswa kuwa ni wabunge wanaenda bungeni kwa sababu ya idadi ya watu. Rai wanaweza kumchagua hata mjinga kabisa akawawakilishe bungeni na katika demokrasia maamuzi hayo yanaheshimiwa pia.
Kinana anasema CHADEMA Wanasahau muungano wetu ni wa nchi huru, tumeunganisha nchi mbili, na huu Tunakubali na kukiri hizi ni nchi mbili tofauti zilizoamua kuungana kwa hiyari, zikiwa na ukubwa ardhi tofauti, ukubwa wa uchumi tofauti na ukubwa wa watu tofauti, tukiungana lazima tukubali kuwe na uwakilishi wa kutoka pande zote mbili. Usipime watu kwa udogo wao na ukubwa wao, wapime kwa walivyo, walikuwa huru tukaungana nao anasema Nchi ya Seychelles wako 100,007 wana wabunge 35, Lesotho ina watu 2,300,000 wana wabunge 130, Switzerland ina watu 1,700,000 wabunge wa 246 sawa na Tanzania ambapo sisi ni milini 60 na wabunge 300 , Sweden 10,500,000 wana wabunge 349 kwanini hatuwaulizi? Anasema hoja hii ya CHADEMA haina maana, ni hoja ya kuzua, kukorooga vichwa vya watu, kuchanganya watu, kuleta, uhasama, uchochezi. Aansema Haya yote wanayoongea hayaondoi umasikini wala kuleta maendeleo, basi tu tuvurugane!
Kinana afahamishwe hoja kuu ni UWIANO wa uwakilishi, ikiwa tumeamua kuwa na wabunge 50, 100, 400, 1,000 au hata 3,000 n.k, hoja kuu ni UWIANO wa hao wabunge. Sio sahihi mbunge mmoja anawakilisha raia 5000 halafu mbunge mwingine anawakilisha raia 500,000 katika bunge hilo hilo moja.
Swala la kwmba Zanzibara ina sheria zake hata haikufaa alizungumzie kwa sababu litazua mjadala zaidi hasa katika jambo hili ambalo lina athari na maslahi makubwa kwa upande wa pili pia.
3. Kuligawa taifa katika majimbo
Kinana anasema Duniani nchi nyingi hazina majimbo zina mfumo wa umoja, inaitwa unitary system of government, mfumo wa serikari ya umoja.
Suala sio nchi nyingi, suala ni je mfumo tulio nao unatufaa na kukidhi haja yetu. Hata hivyo nchi nyingi kubwa kama Marekani, India, Russia, Brazil n.k zina mfumo wa majimbo au ni unitary system lakini raia ndio wanachagua viongozi wa mikoa na wilaya zao na sio Rais anachagua kila mtu katika kila nafasi.
Rais Samia ameleta uhuru nchini
Kinana anasema Rais huyu wanayemsema, Rais Samia na mtakubaliana na mimi ndiye aliyeleta uhuru ulioko sasa hivi nchini, uhuru wa kusema, kushutumu, kuandamana, uhuru wa mikutano ya hadhara, nina hakika watajibu watasema lakini ipo kwenye katiba, kwani huko nyuma waliponyimwa katiba haikuwepo? Walikwenda barabarani? Katiba ilikuwepo, uhuru huo ulikuwepo lakini ulipigwa marufuku na hawakwenda barabarani. Sasa amekuja kiongozi muungwana amesema katiba inaruhusu na mimi naondoa kifungo kile mlichokuwa mmefungwa kuzuiwa kutumia uhuru wenu halafu wanasema hapana, unajua hii ipo kwenye katiba siyo kwamba ameturuhusu. Leo hii akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?
Kinana hafahamu haya anayojivunia ndio chanzo hasa cha watu kutaka katiba mpya?! Rais kuweza kuzuia haki zilizoko ndani ya katiba ndio udhaifu hasa wa katiba yenyewe, sababu zake zinaweza kuwa nyingi ikiwemo na Rais kuteua wakuu wa polisi bila check yeyote, mahakama kutoweza kumshughulikia Rais n.k
Kinana afahamu kwamba tungekuwa na katiba imara ingempa hata yeye fursa ya kushitaki makampuni ya simu yaliyowafanyia udukuzi katika maongezi yao binafsi yeye, Yusuph Makamba na Nape wakipiga soga tu.
Umejenga hoja nzito sana kwa maneno machache sana.Huyu mzee yuko overrated sana katika siasa za CCM lakini hana credibility yoyote katika ustawi wa Tanzania.
kwa kiasi nakubaliana nawe, lakini kamuulize Odinga huyo huyo ilikuwaje kashindwa kuchukuwa madaraka wakati serikali na viongozi wake walikuwa upande wake. Si wangeamua tu kumpitisha Odinga? Unajuwa kwa nini ilishindikana kufanya hivyo?Keka refu sana je ukitaka kujua wakenya hawalalamiki kuhusu time yao ya Uchaguzi muulize odinga
Na viongozi wa tume walikuwa upande wa nani?kwa kiasi nakubaliana nawe, lakini kamuulize Odinga huyo huyo ilikuwaje kashindwa kuchukuwa madaraka wakati serikali na viongozi wake walikuwa upande wake. Si wangeamua tu kumpitisha Odinga? Unajuwa kwa nini ilishindikana kufanya hivyo?
Waligawanyika. Wengi (wanne) wakawa upande wa Odinga, lakini Mwenyekiti wa Tume katumia madaraka yake kumkingia kifua Ruto.Na viongozi wa tume walikuwa upande wa nani?
Nasema hivi, hatuhitaji huruma ya kiongozi yoyote, tunahitaji haki tu. Hata akija mlevi mwingine wa madaraka, haimanishi tutamuona Samia alikuwa wa maana, maana sisi tunachohitaji ni haki. Kama Samia angekuwa ana huruma tungeona tume huru ya uchaguzi, na Katiba mpya.Siasa za ushindani si ndio? Subiria Samia atoke mtakoma ,nasubiria Kwa hamu sana kusikia vilio nitawakumbusha tuu
We nae unaona eti umeandiiiika na halafu ukaridhika kabisa kwamba umemjibu sawa sawa mh Kinana!! Machagadema mkiambiwa akili zenu ni sawa na nyumbu mnakasirika!Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana amezungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika Dodoma akiangazia masuala mbalimbali ikiwemo hoja mbalimbali zilizoshika kasi hivi karibuni kutoka upande CHADEMA na hasa Lissu. Nilichokiona ni kwamba Kinana kajichanganya na kukoroga zaidi badala ya kupangua hoja, tujadili aliyosema Kinana kwa kurejea kauli zake
1. Katiba na Sheria
Kinana anaposema mambo ya katiba mpya yanahitaji muda na tafakuri, Je ni Muda gani? Miaka mingapi?
Kinana anapaswa kufahamu raia wengi hawataki "blank cheque", wanataka kujua ni wakati gani hasa umepangwa kuipata hiyo katiba mpya. Hapa hatajazungumzia rasimu ya katiba ya Warioba.
Kinana Anasema Katiba yetu imepokea mabadiliko mara 14, na ukitazama madailiko hayo mara nyingi yalilenga siasa, madaraka na uchaguzi, hata msukumo wa sasa wa CHADEMA lengo lake ni uchaguzi.!
Kwa nini Kinana anafikiri haya ni mambo madogo na sio ya muhimu au kipaumbele?
Kinana anayesifiwa ni mmojwapo wa magwiji wa siasa nchini hafahamu siasa, madaraka na uchaguzi amabavyo kwa pamoja vinaunda muundombinu wa utawala wa nchi ndio injini yenyewe ya nchi ?! Hajui mambo hayo ndivyo dhima kuu ya katiba zote duniani?! Au anataka tuweke barabara, madaraja,umeme, maji n.k katika katiba?
Tume ya Uchaguzi na Mamlaka ya Rais
Kinana anasema hajaona nchi ambayo Rais hahusishwi kwenye maamuzi ya Uchaguzi na kwamba hakuna tume ya Uchaguzi Duniani ambayo Rais hana Mamlaka. Kinana afahamishwe zipo nchi za aina hiyo na US ni mojawapo. Hata hivyo hoja ya msingi ni tume huru, Kenya wana tume inayoundwa na Rais laikini ni huru na Wakenya karibia wote hawana malalamiko kwamba tume yao ya uchaguzi sio huru.
Kinana anasema Katiba na Sheria ya Uchaguzi siyo njia pekee ya kushinda uchaguzi, Sera nzuri, Kukubalika kwa chama chako, Kukubalika wagombea wako na kujipanga ipasavyo kwenye uchaguzi kuna mchango mkubwa sana kwenye ushindi! Kinana hafahamu kwamba wapinzani wakati mwingine huwa hawapati hata hiyo fursa au nafasi ya kuingia katika sanduku la kura?!
2. Muungano
Kinana anasema CHADEMA wamekuja na hoja kwamba Zanzibar ni ndogo wakati ina wabunge wengi, Kinana anapotosha kwa makusudi au haelewi hii hoja?
Hoja sio wingi au uchache, hoja ni uwiano sahihi na hili Lisu amesemea hata kwa kulinganisha mkoa wa Lindi na Dar es Salaam katika kukosekana uwaino sahihi.
Kinana anasema wabunge hawaendi bungeni sababu ya idadi ya watu, wanaenda kwa uzito wa hoja!
Kinana katika hili amepotoka vibaya sana, usahihi na inavyopaswa kuwa ni wabunge wanaenda bungeni kwa sababu ya idadi ya watu. Rai wanaweza kumchagua hata mjinga kabisa akawawakilishe bungeni na katika demokrasia maamuzi hayo yanaheshimiwa pia.
Kinana anasema CHADEMA Wanasahau muungano wetu ni wa nchi huru, tumeunganisha nchi mbili, na huu Tunakubali na kukiri hizi ni nchi mbili tofauti zilizoamua kuungana kwa hiyari, zikiwa na ukubwa ardhi tofauti, ukubwa wa uchumi tofauti na ukubwa wa watu tofauti, tukiungana lazima tukubali kuwe na uwakilishi wa kutoka pande zote mbili. Usipime watu kwa udogo wao na ukubwa wao, wapime kwa walivyo, walikuwa huru tukaungana nao anasema Nchi ya Seychelles wako 100,007 wana wabunge 35, Lesotho ina watu 2,300,000 wana wabunge 130, Switzerland ina watu 1,700,000 wabunge wa 246 sawa na Tanzania ambapo sisi ni milini 60 na wabunge 300 , Sweden 10,500,000 wana wabunge 349 kwanini hatuwaulizi? Anasema hoja hii ya CHADEMA haina maana, ni hoja ya kuzua, kukorooga vichwa vya watu, kuchanganya watu, kuleta, uhasama, uchochezi. Aansema Haya yote wanayoongea hayaondoi umasikini wala kuleta maendeleo, basi tu tuvurugane!
Kinana afahamishwe hoja kuu ni UWIANO wa uwakilishi, ikiwa tumeamua kuwa na wabunge 50, 100, 400, 1,000 au hata 3,000 n.k, hoja kuu ni UWIANO wa hao wabunge. Sio sahihi mbunge mmoja anawakilisha raia 5000 halafu mbunge mwingine anawakilisha raia 500,000 katika bunge hilo hilo moja.
Swala la kwmba Zanzibara ina sheria zake hata haikufaa alizungumzie kwa sababu litazua mjadala zaidi hasa katika jambo hili ambalo lina athari na maslahi makubwa kwa upande wa pili pia.
3. Kuligawa taifa katika majimbo
Kinana anasema Duniani nchi nyingi hazina majimbo zina mfumo wa umoja, inaitwa unitary system of government, mfumo wa serikari ya umoja.
Suala sio nchi nyingi, suala ni je mfumo tulio nao unatufaa na kukidhi haja yetu. Hata hivyo nchi nyingi kubwa kama Marekani, India, Russia, Brazil n.k zina mfumo wa majimbo au ni unitary system lakini raia ndio wanachagua viongozi wa mikoa na wilaya zao na sio Rais anachagua kila mtu katika kila nafasi.
Rais Samia ameleta uhuru nchini
Kinana anasema Rais huyu wanayemsema, Rais Samia na mtakubaliana na mimi ndiye aliyeleta uhuru ulioko sasa hivi nchini, uhuru wa kusema, kushutumu, kuandamana, uhuru wa mikutano ya hadhara, nina hakika watajibu watasema lakini ipo kwenye katiba, kwani huko nyuma waliponyimwa katiba haikuwepo? Walikwenda barabarani? Katiba ilikuwepo, uhuru huo ulikuwepo lakini ulipigwa marufuku na hawakwenda barabarani. Sasa amekuja kiongozi muungwana amesema katiba inaruhusu na mimi naondoa kifungo kile mlichokuwa mmefungwa kuzuiwa kutumia uhuru wenu halafu wanasema hapana, unajua hii ipo kwenye katiba siyo kwamba ameturuhusu. Leo hii akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?
Kinana hafahamu haya anayojivunia ndio chanzo hasa cha watu kutaka katiba mpya?! Rais kuweza kuzuia haki zilizoko ndani ya katiba ndio udhaifu hasa wa katiba yenyewe, sababu zake zinaweza kuwa nyingi ikiwemo na Rais kuteua wakuu wa polisi bila check yeyote, mahakama kutoweza kumshughulikia Rais n.k
Kinana afahamu kwamba tungekuwa na katiba imara ingempa hata yeye fursa ya kushitaki makampuni ya simu yaliyowafanyia udukuzi katika maongezi yao binafsi yeye, Yusuph Makamba na Nape wakipiga soga tu.
Kampa hoja zaidi za kuzungumza.The old man is too tiresome to hold the agenda.Too tiresome!Honestly, amekoroga mambo zaidi badala ya kuyatuliza. Hajajibu hoja hata Moja.
Kinana na CCM yake kama kawaida yao, kaja na utaratibu wao uleule wa miaka nenda rudi........... kupiga propaganda uchwara ktk mambo ambayo Watanganganyika wanataka majibu!
Huku ni kukimbia hoja na kuahirisha matatizo tu.
Shame on them!!
Very sad kuwa, Kinana na CCM yake anadhani Watanganganyika bado ni wajinga kama walivyo wao.
Nadhani hapa ni kama tu ndo kamchokoza Tundu Lissu na CHADEMA na sisi wengine tunaotaka katiba mpya!!.
Atajibiwa na kuwashiwa moto mkali zaidi
Yaani hapo ndiyo wamefiwa mwisho. Kwa Sasa chama hakina mtu wa kujibu hoja. Ndiyo maana bado wanawategemea hao wazee wa Kivukoni ambao wamepitwa na wakati. Anajibu kipropaganda tu.Ni dhahiri Kinana Amezeeka na hana tena uwezo wa kufikiria, Hata hivyo huwezi kuwa na Zaidi ya miaka 80 ukabaki na uwezo wa Ujana, Lawama ziwaendee waliomtuma kujibu asiyoyaweza
Mmmm, lakini Biden siyo dictator, hajalazimisha wala kubadiri katiba. Hao wengine ni dictators waliolazimisha katiba ili kubaki madarakani,Biden 81, M7 80; yule wa Equatorial Guine, nadhani zaidi ya 90! Hawa bado wanapambana na vijana!
Uwezowa Kinana umebaki katika kuipatia CCM ushindi kwa kutumia mbinu za hujuma. Hana kitu tena, hana ushawishi wa kujenga hoja.
Na tatizo linguine ambalo CCM inalikabili ni kuendekeza wazee wenye siasa za uzoefu bila elimu na maarifa. Apoongea mCCM utajua tu huyu ni CCM wana ile tabia ya kulinganisha na matatizo ya wengine ili kuhalalisha ya kwao. Halafu wanarukia juu juu, na hawatoi concept kwa nini Sweden au Lesotho wana wabunge 300etc.Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana amezungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika Dodoma akiangazia masuala mbalimbali ikiwemo hoja mbalimbali zilizoshika kasi hivi karibuni kutoka upande CHADEMA na hasa Lissu. Nilichokiona ni kwamba Kinana kajichanganya na kukoroga zaidi badala ya kupangua hoja, tujadili aliyosema Kinana kwa kurejea kauli zake
1. Katiba na Sheria
Kinana anaposema mambo ya katiba mpya yanahitaji muda na tafakuri, Je ni Muda gani? Miaka mingapi?
Kinana anapaswa kufahamu raia wengi hawataki "blank cheque", wanataka kujua ni wakati gani hasa umepangwa kuipata hiyo katiba mpya. Hapa hatajazungumzia rasimu ya katiba ya Warioba.
Kinana Anasema Katiba yetu imepokea mabadiliko mara 14, na ukitazama madailiko hayo mara nyingi yalilenga siasa, madaraka na uchaguzi, hata msukumo wa sasa wa CHADEMA lengo lake ni uchaguzi.!
Kwa nini Kinana anafikiri haya ni mambo madogo na sio ya muhimu au kipaumbele?
Kinana anayesifiwa ni mmojwapo wa magwiji wa siasa nchini hafahamu siasa, madaraka na uchaguzi amabavyo kwa pamoja vinaunda muundombinu wa utawala wa nchi ndio injini yenyewe ya nchi ?! Hajui mambo hayo ndivyo dhima kuu ya katiba zote duniani?! Au anataka tuweke barabara, madaraja,umeme, maji n.k katika katiba?
Tume ya Uchaguzi na Mamlaka ya Rais
Kinana anasema hajaona nchi ambayo Rais hahusishwi kwenye maamuzi ya Uchaguzi na kwamba hakuna tume ya Uchaguzi Duniani ambayo Rais hana Mamlaka. Kinana afahamishwe zipo nchi za aina hiyo na US ni mojawapo. Hata hivyo hoja ya msingi ni tume huru, Kenya wana tume inayoundwa na Rais laikini ni huru na Wakenya karibia wote hawana malalamiko kwamba tume yao ya uchaguzi sio huru.
Kinana anasema Katiba na Sheria ya Uchaguzi siyo njia pekee ya kushinda uchaguzi, Sera nzuri, Kukubalika kwa chama chako, Kukubalika wagombea wako na kujipanga ipasavyo kwenye uchaguzi kuna mchango mkubwa sana kwenye ushindi! Kinana hafahamu kwamba wapinzani wakati mwingine huwa hawapati hata hiyo fursa au nafasi ya kuingia katika sanduku la kura?!
2. Muungano
Kinana anasema CHADEMA wamekuja na hoja kwamba Zanzibar ni ndogo wakati ina wabunge wengi, Kinana anapotosha kwa makusudi au haelewi hii hoja?
Hoja sio wingi au uchache, hoja ni uwiano sahihi na hili Lisu amesemea hata kwa kulinganisha mkoa wa Lindi na Dar es Salaam katika kukosekana uwaino sahihi.
Kinana anasema wabunge hawaendi bungeni sababu ya idadi ya watu, wanaenda kwa uzito wa hoja!
Kinana katika hili amepotoka vibaya sana, usahihi na inavyopaswa kuwa ni wabunge wanaenda bungeni kwa sababu ya idadi ya watu. Rai wanaweza kumchagua hata mjinga kabisa akawawakilishe bungeni na katika demokrasia maamuzi hayo yanaheshimiwa pia.
Kinana anasema CHADEMA Wanasahau muungano wetu ni wa nchi huru, tumeunganisha nchi mbili, na huu Tunakubali na kukiri hizi ni nchi mbili tofauti zilizoamua kuungana kwa hiyari, zikiwa na ukubwa ardhi tofauti, ukubwa wa uchumi tofauti na ukubwa wa watu tofauti, tukiungana lazima tukubali kuwe na uwakilishi wa kutoka pande zote mbili. Usipime watu kwa udogo wao na ukubwa wao, wapime kwa walivyo, walikuwa huru tukaungana nao anasema Nchi ya Seychelles wako 100,007 wana wabunge 35, Lesotho ina watu 2,300,000 wana wabunge 130, Switzerland ina watu 1,700,000 wabunge wa 246 sawa na Tanzania ambapo sisi ni milini 60 na wabunge 300 , Sweden 10,500,000 wana wabunge 349 kwanini hatuwaulizi? Anasema hoja hii ya CHADEMA haina maana, ni hoja ya kuzua, kukorooga vichwa vya watu, kuchanganya watu, kuleta, uhasama, uchochezi. Aansema Haya yote wanayoongea hayaondoi umasikini wala kuleta maendeleo, basi tu tuvurugane!
Kinana afahamishwe hoja kuu ni UWIANO wa uwakilishi, ikiwa tumeamua kuwa na wabunge 50, 100, 400, 1,000 au hata 3,000 n.k, hoja kuu ni UWIANO wa hao wabunge. Sio sahihi mbunge mmoja anawakilisha raia 5000 halafu mbunge mwingine anawakilisha raia 500,000 katika bunge hilo hilo moja.
Swala la kwmba Zanzibara ina sheria zake hata haikufaa alizungumzie kwa sababu litazua mjadala zaidi hasa katika jambo hili ambalo lina athari na maslahi makubwa kwa upande wa pili pia.
3. Kuligawa taifa katika majimbo
Kinana anasema Duniani nchi nyingi hazina majimbo zina mfumo wa umoja, inaitwa unitary system of government, mfumo wa serikari ya umoja.
Suala sio nchi nyingi, suala ni je mfumo tulio nao unatufaa na kukidhi haja yetu. Hata hivyo nchi nyingi kubwa kama Marekani, India, Russia, Brazil n.k zina mfumo wa majimbo au ni unitary system lakini raia ndio wanachagua viongozi wa mikoa na wilaya zao na sio Rais anachagua kila mtu katika kila nafasi.
Rais Samia ameleta uhuru nchini
Kinana anasema Rais huyu wanayemsema, Rais Samia na mtakubaliana na mimi ndiye aliyeleta uhuru ulioko sasa hivi nchini, uhuru wa kusema, kushutumu, kuandamana, uhuru wa mikutano ya hadhara, nina hakika watajibu watasema lakini ipo kwenye katiba, kwani huko nyuma waliponyimwa katiba haikuwepo? Walikwenda barabarani? Katiba ilikuwepo, uhuru huo ulikuwepo lakini ulipigwa marufuku na hawakwenda barabarani. Sasa amekuja kiongozi muungwana amesema katiba inaruhusu na mimi naondoa kifungo kile mlichokuwa mmefungwa kuzuiwa kutumia uhuru wenu halafu wanasema hapana, unajua hii ipo kwenye katiba siyo kwamba ameturuhusu. Leo hii akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?
Kinana hafahamu haya anayojivunia ndio chanzo hasa cha watu kutaka katiba mpya?! Rais kuweza kuzuia haki zilizoko ndani ya katiba ndio udhaifu hasa wa katiba yenyewe, sababu zake zinaweza kuwa nyingi ikiwemo na Rais kuteua wakuu wa polisi bila check yeyote, mahakama kutoweza kumshughulikia Rais n.k
Kinana afahamu kwamba tungekuwa na katiba imara ingempa hata yeye fursa ya kushitaki makampuni ya simu yaliyowafanyia udukuzi katika maongezi yao binafsi yeye, Yusuph Makamba na Nape wakipiga soga tu.
KINANA BADO KABISA HAJAJIBU HOJA KAPIGA KELELE TUMakamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana amezungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika Dodoma akiangazia masuala mbalimbali ikiwemo hoja mbalimbali zilizoshika kasi hivi karibuni kutoka upande CHADEMA na hasa Lissu. Nilichokiona ni kwamba Kinana kajichanganya na kukoroga zaidi badala ya kupangua hoja, tujadili aliyosema Kinana kwa kurejea kauli zake

Kenya walishatoka katika huo ujinga wa tume kubeba wagombea wa uchaguzi.Keka refu sana je ukitaka kujua wakenya hawalalamiki kuhusu time yao ya Uchaguzi muulize odinga
Lisu alisemaga wenye kuishi kwa uongo hawawezi kuusema ukweli !Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana amezungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika Dodoma akiangazia masuala mbalimbali ikiwemo hoja mbalimbali zilizoshika kasi hivi karibuni kutoka upande CHADEMA na hasa Lissu. Nilichokiona ni kwamba Kinana kajichanganya na kukoroga zaidi badala ya kupangua hoja, tujadili aliyosema Kinana kwa kurejea kauli zake