NAHAL JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 1,670 Reaction score 3,281 Jul 27, 2023 #101 Clasimeti wakati mwingine ana hoja za Hovyoo Mnoo!!
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Jul 27, 2023 Thread starter #102 Mzee Mwanakijiji said: Kama watu kula viapo ingekuwa ndio kila kitu ripoti ya CAG wala isingekuwa hivyo na Mkapa asingejiuzia Kiwira... Click to expand... Waliokula viapo ndio wametajwa na CAG? Harafu CAG sio Kila kitu
Mzee Mwanakijiji said: Kama watu kula viapo ingekuwa ndio kila kitu ripoti ya CAG wala isingekuwa hivyo na Mkapa asingejiuzia Kiwira... Click to expand... Waliokula viapo ndio wametajwa na CAG? Harafu CAG sio Kila kitu
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Jul 27, 2023 #103 Kinana mbona unazunguka zunguka? Sema wazi kuwa hukubaliani na kuuzwa kwa bandari
R Rogojin The Idiot JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 2,969 Reaction score 3,392 Jul 28, 2023 #104 ChoiceVariable said: Sasa zilifanywa na nani? Rais auze Bandari Ili iwaje? Click to expand... Ndio tujiulize na tupate majibu. Watanzania hawatadanganywa milele. Wameanza kuzinduka. Siasa za ujanja za kuwaibia na kutumia mali zao bila tija, zimeanza kufika ukomo. Hili la bandari linaashiria kuchoka kwao
ChoiceVariable said: Sasa zilifanywa na nani? Rais auze Bandari Ili iwaje? Click to expand... Ndio tujiulize na tupate majibu. Watanzania hawatadanganywa milele. Wameanza kuzinduka. Siasa za ujanja za kuwaibia na kutumia mali zao bila tija, zimeanza kufika ukomo. Hili la bandari linaashiria kuchoka kwao