Kinana: Rais wa Tanzania aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake

Kinana: Rais wa Tanzania aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake

Clasimeti wakati mwingine ana hoja za Hovyoo Mnoo!!
 
Sasa zilifanywa na nani? Rais auze Bandari Ili iwaje?
Ndio tujiulize na tupate majibu. Watanzania hawatadanganywa milele. Wameanza kuzinduka.
Siasa za ujanja za kuwaibia na kutumia mali zao bila tija, zimeanza kufika ukomo.
Hili la bandari linaashiria kuchoka kwao
 
Back
Top Bottom