Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliokula viapo ndio wametajwa na CAG? Harafu CAG sio Kila kituKama watu kula viapo ingekuwa ndio kila kitu ripoti ya CAG wala isingekuwa hivyo na Mkapa asingejiuzia Kiwira...
Ndio tujiulize na tupate majibu. Watanzania hawatadanganywa milele. Wameanza kuzinduka.Sasa zilifanywa na nani? Rais auze Bandari Ili iwaje?