ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,465
Umenikumbusha enzi za hamasa ya yule dada wa ughaibuni,watu wakajifanya wako veeeery serious,waiting for tar.26 April,then kilichotokea ni kichekesho,dada wa watu huko ughaibuni akabaki kutoa macho tuuuu!!!Mimi niko tayari!
Siyo hiyo kinga hata aliyeko madarakani apunguziwe madarakaHii sheria ikiondolewa ndio mwanzo wa Tanzania kuwa na maraisi kama Mugabe. Hii sheria iko kuzuia maraisi wasing'ang'anie madarakani pindi time yao itakapokwisha. Kama mimi najua nikiachia ngazi brake ya kwanza jela unadhani ntfanya nini?
Naona hatujaelewana,kwani unahisi niko tayari kufanya nini?Umenikumbusha enzi za hamasa ya yule dada wa ughaibuni,watu wakajifanya wako veeeery serious,waiting for tar.26 April,then kilichotokea ni kichekesho,dada wa watu huko ughaibuni akabaki kutoa macho tuuuu!!!
Nadhani na wewe unakuja na swaga zile zile,za "tupo tayari" lakini utayari mwenyewe ni huu wa JF baaaas!
😀 😀 😀
hii ngumu mkuu maana akijaribu tu kukubali hachukui roundKumejitokeza tabia ya kiongozi wetu kutopenda kushauriwa hasa na washauri waliopo Kwa mujibu wa sheria. Wapinzani.
Sio lazima apokee ushauri, lakini anapaswa kuusikiliza na kuufanyia kazi kama jambo lenyewe lina impact Kwa nchi sasa au baadae badala ya kuleta nyimbo kuwa wametumwa na mabepari.
Kama anaamini kuwa yuko sahihi kwanini asiruhusu kipengele cha kutoshtakiwa akitoka madarakani kiondolewe? Hii itasaidia kama ameshauriwa jambo na kakataa basi mambo yakiharibika awajibishwe!
Sasa hivi hata akiharibu jambo makusudi anajuwa hakuna la kumfanya hapo baadae na hill ndilo linajenga kiburi Kwa watawala wetu.
Kwa akili yako wazani anazungumziwa Msukuma mwenzio pekee? Hapo tunazungumzia Rais, awe wa sasa au baadae.Kwani yeye ndo Maliki weka hapo kilipo?
Akili za makamanda bana....
Kwahyo Anayetakiwa kurekebisha vipengele vya sheria lazima awe aliyeviweka sio?,sijaelewa mantiki ya swali lako mkuu.Kwani yeye ndo alikiweka hapo kilipo?
Akili za makamanda bana....
Kwahyo Anayetakiwa kurekebisha vipengele vya sheria lazima awe aliyeviweka sio?,sijaelewa mantiki ya swali lako mkuu.
Hakuna sheria yoyote inayoweza kuwa sheria bila Rais kutia saini.Rais ndo kaviweka?
Katiba mpya ndy mpango mzima...Je bado kuna Watanzania wengi hawajui umuhimu wa kuwa na katiba inayozingatia check and balance ya mihimili 3.Hatimae wananchi watafahamu umuhimu wa kuwa na katiba mpya.
Kivuko?Hata yeye akistaafu katiba haimlindi kwa makosa aliyoyafanya kabla hajawa Raisi.