Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Mimi niko tayari!
Umenikumbusha enzi za hamasa ya yule dada wa ughaibuni,watu wakajifanya wako veeeery serious,waiting for tar.26 April,then kilichotokea ni kichekesho,dada wa watu huko ughaibuni akabaki kutoa macho tuuuu!!!

Nadhani na wewe unakuja na swaga zile zile,za "tupo tayari" lakini utayari mwenyewe ni huu wa JF baaaas!

😀 😀 😀
 
Hii sheria ikiondolewa ndio mwanzo wa Tanzania kuwa na maraisi kama Mugabe. Hii sheria iko kuzuia maraisi wasing'ang'anie madarakani pindi time yao itakapokwisha. Kama mimi najua nikiachia ngazi brake ya kwanza jela unadhani ntfanya nini?
Siyo hiyo kinga hata aliyeko madarakani apunguziwe madaraka
 
Umenikumbusha enzi za hamasa ya yule dada wa ughaibuni,watu wakajifanya wako veeeery serious,waiting for tar.26 April,then kilichotokea ni kichekesho,dada wa watu huko ughaibuni akabaki kutoa macho tuuuu!!!

Nadhani na wewe unakuja na swaga zile zile,za "tupo tayari" lakini utayari mwenyewe ni huu wa JF baaaas!

😀 😀 😀
Naona hatujaelewana,kwani unahisi niko tayari kufanya nini?
 
Kumejitokeza tabia ya kiongozi wetu kutopenda kushauriwa hasa na washauri waliopo Kwa mujibu wa sheria. Wapinzani.
Sio lazima apokee ushauri, lakini anapaswa kuusikiliza na kuufanyia kazi kama jambo lenyewe lina impact Kwa nchi sasa au baadae badala ya kuleta nyimbo kuwa wametumwa na mabepari.
Kama anaamini kuwa yuko sahihi kwanini asiruhusu kipengele cha kutoshtakiwa akitoka madarakani kiondolewe? Hii itasaidia kama ameshauriwa jambo na kakataa basi mambo yakiharibika awajibishwe!
Sasa hivi hata akiharibu jambo makusudi anajuwa hakuna la kumfanya hapo baadae na hill ndilo linajenga kiburi Kwa watawala wetu.
 
hii ngumu mkuu maana akijaribu tu kukubali hachukui round
 
Rais ndo kaviweka?
Hakuna sheria yoyote inayoweza kuwa sheria bila Rais kutia saini.

Rais ni sehemu ya bunge.

Miswada ya sheria bungeni inapelekwa na na mawaziri ambao mkuu wao ni huyo Rais.

Kabla ya kupeleka muswada bungeni unapitia kwenye kikao cha baraza la mawaziri kinachoongozwa na Rais.
 
Hivi ni kiongozi gani ataweza kuondoa sheria ya Kinga kwa Marais wa jmt!
Magu akiondoa hiyooo Kinga kwa Marais ntakuwa naye bega kwa bega.....?

Ova
 
Je bado kuna Watanzania wengi hawajui umuhimu wa kuwa na katiba inayozingatia check and balance ya mihimili 3.Hatimae wananchi watafahamu umuhimu wa kuwa na katiba mpya.
 
Je bado kuna Watanzania wengi hawajui umuhimu wa kuwa na katiba inayozingatia check and balance ya mihimili 3.Hatimae wananchi watafahamu umuhimu wa kuwa na katiba mpya.
Katiba mpya ndy mpango mzima...
Bila katiba mpya tutakuwa tunapaka rangi upepo!

Ova
 
MAGU hatakuwa rais daima
u
Atakapotoka wengi watakuwa na kesi za kujibu

Mfano ni katibu mkuu hazina,IGP,wakuu wa mikoa na wengi wengineo

Katika kesi zao utetezi wao utakuwa ni walikuwa wanatekeleza maagizo ya rais

Kwa fikra zangu fupi najiuliza hivi hio kinga ya rais ina wakinga na wao wanapovunja sheria kwa kufuata maagizo?

Je rais ana mamalaka ya kumuagiza mtu kuvunja sheria?Hawapaswi kufuata maagizo kwa mujibu wa sheria?

Tujadili
 
Think like easy going woman,

Chanzo cha ufisadi wa mkapa ni nyinyi! mlioandika humu. Dharau ,uchoyo, ubinafsi, ubaguzi, umimi, visununu visivoisha,usengenyaji nk ndo vimefanya aibe! na wataiba saneni tu.
 
Back
Top Bottom