Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Binadamu hujisahau sana. Historia HUTUNZWA na haifutiki.

Mfano mwingine , ni wa wale waliohusika na mauaji ya kimbali ya Wayahudi kwa amri ya Hitler. Miaka ilienda mpaka ika fika 40 lakini mwishowe walitafutwa WAKAKAMATWA wakiwa wazee sana.

Hata hivyo sheria haiangalii UZEE inaangalia USHAHIDI na historia.Mwishowe walihukumiwa bila kujali kama walikuwa wanatembelea wheel chair ama la.
Hata Angola Binti wa Rais mstaafu ambaye ni TAJIRI sana kulingana na gazeti la Forbes. Tayari anachingizwa na MKUU wa MASHTAKA ya serikali bilakujali alikuwa mtiti wa nani.

Ukitoka madarakani wewe ni raia. na ni lazima ujibu.
Thus madikteta upenda kung'ang'ia Madaraka si kwamba wanapendwa na wananchi shida wanaogopa jela sababu huwa wana maadui wengi sababu ya uhusiano mbaya na jamii, Sheria haina Mkubwa kabla mhusika ajaondoka duniani lzm Sheria ifate mkondo wake,
 
Hilo LA MAKOSA ya AKIWA kazini hayo HAITAKUBALIKA. KWA SABABU RAIS YEYOTE NI LAZIMA ALINDE NCHI.

Isipokuwa kama ALIKIUKA Katiba ya nchi, na KUJINUFAISHA kwa UFISADI ama MAUAJI YA kisiasa hilo si moja ya KUAPO cha rais yeyote yule duniani. Hapo Mtuanaweza KUSHTAKIWA.

Lakini kama alifanya makosa ya kawaida katika utenda kazi wake ASISHITAKIWE. Maana haitakuwa nchi tena bila sheria na utii.
Ukishaapa kuwa utailinda na kuitumikia katiba,ukienda kinyume Kwa kuivunja katiba hio hio lazima ukitoka ukumbane na Sheria, tuombe uzima hata miaka 30 utayashuhudia haya,
 
Sawa mkuu. Nimekuelewa.
 
Thus madikteta upenda kung'ang'ia Madaraka si kwamba wanapendwa na wananchi shida wanaogopa jela sababu huwa wana maadui wengi sababu ya uhusiano mbaya na jamii, Sheria haina Mkubwa kabla mhusika ajaondoka duniani lzm Sheria ifate mkondo wake,
Bila nchi yeyote kufuata sheria na Katiba huitwa Jamuhuri ya Ndizi/Banana Republic.
kila mtu anajifanyia yale yampendezayo. Hiyo huwaga ni hasara sana kwa taifa lolote lile.
 
Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?
Una busara sana mkuu. Lakini maskofu kakobe na Niwemugizi huoni kua ni vizuri kuwapa heshima yao kama viongozi wa kiriho? Je ni huamini kua ni watanzania wenzetu?
 
Watanzania hawanaga roho mbaya ww! huyo unayemtetea ni muhutu...ana roho ya kunjo mufete.
Mkuu unataka kuniambia Watanzania WOTE ni WAZURI?
Wale waliokuwa wakifanya mauaji kule KIBITI walikuwa WAHUTU ama Watanzania wenye nia mbaya?

Roho mbaya ya mtu ni maumbile ya mtu
Lakini Magufuli hana roho mbaya. Sema yeye ni MKALI.

Na UKALI si roho mbaya. Hata mimi wakati mwingine ni mkali.
Hilo halinipi lebo ya kuwa nina roho mbaya.
Nafikiri nimekueleimisha vya kutosha. Una lingine?
 
Una busara sana mkuu. Lakini maskofu kakobe na Niwemugizi huoni kua ni vizuri kuwapa heshima yao kama viongozi wa kiriho? Je ni huamini kua ni watanzania wenzetu?
Tabia ya MTU uliflect asili ya mtu, mbwa mwitu ni mbwa mwitu haachi asili yake hata ukiwalea tangu wadogo na mbwa wa kawaida
 
Una busara sana mkuu. Lakini maskofu kakobe na Niwemugizi huoni kua ni vizuri kuwapa heshima yao kama viongozi wa kiriho? Je ni huamini kua ni watanzania wenzetu?
Nakubaliana nawe 100% kutumia vyombo vya Dola kunyanyasa mtoa maoni ama anayekosoa kwa nia nzuri hilo hata mimi SIKUBALIANI nalo kabisa.

KUCHIMBANA hakujengi taifa bali hujenga UHASAMA na CHUKI .
Na UHASAMA na CHUKI vikifikia joto la juu sana., HULIPUKA.
Ni vizuri serikali wasiwe reactive kwa kila linalosemwa.
La sivyo tutabaki tukitafutana na hilo si zuri katika utengamano na umoja wa kitaifa.
 
Viongozi wa Kidiniili mradi hawajihusishi na mambo ya UGAIDI. WAHESHIMIWE sana sana.
Hata nyaraka wanazoandika si vizuri KUZITUPA kwenye dustbin. Unaweza kupata kaneno kamoja ka maana. Kuliko kukasirika na kuomba mtu aonyeshe URAIA wake.
 
Nakubaliana nawe 100% kutumia vyombo vya Dola kunyanyasa mtoa maoni ama anayekosoa kwa nia nzuri hilo hata mimi SIKUBALIANI nalo kabisa.

KUCHIMBANA hakujengi taifa bali hujenga UHASAMA na CHUKI .
Na UHASAMA na CHUKI vikifikia joto la juu sana., HULIPUKA.
Ni vizuri serikali wasiwe reactive kwa kila linalosemwa.
La sivyo tutabaki tukitafutana na hilo si zuri katika utengamano na umoja wa kitaifa.
Ubarikiwe sana.
 
Ukishaapa kuwa utailinda na kuitumikia katiba,ukienda kinyume Kwa kuivunja katiba hio hio lazima ukitoka ukumbane na Sheria, tuombe uzima hata miaka 30 utayashuhudia haya,
Pia sheria ni msumeno tusisahau hilo.
 
Viongozi wa Kidiniili mradi hawajihusishi na mambo ya UGAIDI. WAHESHIMIWE sana sana.
Hata nyaraka wanazoandika si vizuri KUZITUPA kwenye dust bun. Unaweza kupata kaneno kamoja ka maana. Kuliko kukasirika na kuomba mtu aonyeshe URAIA wake.
Hii ndio busara wanayotakiwa kua nayo viongozi wetu wa kisiasa. Siku zote wasikilize zaidi wanaokupinga kuliko wanaikusifia.
 
Watanzania hawanaga roho mbaya ww! huyo unayemtetea ni muhutu...ana roho ya kunjo mufete.
Unataka kusema WAHUTU ni WABAYA sana na WATUSI ni WAZURI sana,
Nipe jibu haraka.
Kwani Wahutu si watu kwakowewe watu ni WATUSI?
aCHA KUTULETEA ukabila bhana.
 
Back
Top Bottom