DRC wagonbea urais ni 120!tena hao ni rasmi. wamepitishwa na NECKuondolewa kwa shria hii Fisadi, pia kutasaidia kupunguza idadi ya Wagombea urais ambayo wakati wa kinyam]ng'ang'anyioro cha kwenda kugombe Urasi huwa kunakuwa na orodha ndefu ya watu wanaotaka kuwa Marais maana wanajua fika kuwa wakipata nafasi hiyo Ufisadi wao hautakumbukwa milele. Hii itatusaidia kuwa na Wagombea safi na wnaojiamini kuwa ni Waadilifu na ni safi.
Wakati mwingine mnaweza kujikuta mnazalisha Rais anaeogopa kuachia madaraka kwa kuogopa kushitakiwa akistaafu
Marais na ni binadamu, tuwaunge mkono na kuwadhibiti kwa kutumia bunge