Tetesi: Kingunge kurejea CCM wiki hii?

Kingunge ni muumini wa ujamaa wa urusi.... baada ya kutumwa Na nyerere kwenda kujifunza ukomunisti enzi za USSR ndipo aliachana na ukristo. Si yeye tu wapo wengi. Acha kuweka hadithi za kitoto.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Aisee nimekusoma mkuu
 
HUYU MHENGA ANATANGATANGA TU...
NJAA MBAYA SANA

Post sent using JamiiForums mobile app

Mkuu mbona unamkosea mzee bila kosa lolote?!! Yaani unamhukumu kwa kusikia tetesi tu?!! Je, akihama kweli si utamtukana kila tusi lililopo duniani hapa?!!
 
Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
Alisema hana Chama ila alimuunga mkono Lowassa kwenye Kampeni za Urais 2015.
 
Nina uhakika wale wote waliojitoa CCM huku wakiwa na nafasi za ulaji na kujiunga upinzani na hata wale ambao walidai hawatojiunga na chama chochote watarudi CCM kabla ya 2020,time will tell.
Umetumia taaluma gani kulijua hilo

sent from servant of God
 
Mzee anajitambua hawezi kugeuka nyuma wala hakuna alicho kisahau huko
 
Hawa watu wengi wao wametoka CCM ama kwa uchu wa madaraka au fedha au ugomvi baina yao na viongozi wenzao sasa huko walipokwenda wakiona hawajafanikiwa na wengine hasira zao zikiisha watatafuta visingizio vya kurudi walipotoka,amini nikwambiayo.
Kweli kabisa mkuu!
 
Mkuu hiyo ndio SIASA...
 
hajawahi toka CCM, alitofautiana nao, hajawahi rudisha kadi au kuingia chama chochote

Alienda kupima kiina cha maji na miguu yote miwili sasa kilichompata huko anajua mwenyewe. Vipi na yule mdogo wake yule retired radio presenter(a.k.a) mzee wa shekilango maana naye eti ni mzee wa chadema DSM yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…