Na SACCOS imetuna na kujaa mihelahata akirudi FICEM atasaidia nini? alikuwa huko tangu sijazaliwa nimezaliwa na sasa nazeeka akakimbilia cdm. tunashukuru amechangia kubusti cdm imepata wabunge wengi halmashauri nyingi. kwahiyo hata akiondoka hakuna shida tumeshmtumia ametunufaisha inatosha. arudi akamalizie uhai wake FICEM.
Post sent using JamiiForums mobile app