Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Binafsi nilikuwa sec that time, ndo shoga wa kwanza kumuona kwa macho pia
watu walikuwa wakimshangaa kwa kasi coz kipindi kile ushoga ilikuwa ni jambo la kushangaza mnooo!!

Sijui alipotelea wapi yule mtu!!
 
Hivyo sawa. Aachane na mapenzi maana si size yake kwa sasa.
 
Kapambania mapenzi weee mpaka interpol huko sasa kaamua kurudisha mpira kwa kipa. Atuache waingie ngomani Waone utamu wa ngoma
 

Kinje wa mtaa wa chini japo alikuwa shoga alikuwa anajua kupigana Sana nimekumbuka akimaliza kuvuta bangi anaanza kucheza
 
Mwenye tamaa na Mali ni yeye, ndio maana anaogopa kuoa
 
Mmmh Kinje huyu huyu ama mwingine?
 
Kinje wa mtaa wa chini japo alikuwa shoga alikuwa anajua kupigana Sana nimekumbuka akimaliza kuvuta bangi anaanza kucheza
Alikuwa hata hajali walisema akifa hawata mswalia msikitini ndo Kwanza hajali na mwendo wake wa kimiss na suruali ya kisado
Nimeamini dunia ni ndogo sana. Kumbe watu wa moshi mjini enzi hizo miaka ya 2000 tuko hapahapa.

Kinje alikuwa mbabe sana na rafiki yake mkubwa alikuwa mama yangu mdogo ambaye ni marehemu kwa sasa.

Walikuwa wakija kwetu mama yangu anawafukuza sababu ya Kinje ila baadaye akazoea akawaacha tu.

Umenichekesha kwa ule mwendo wake, nilikuwa nashangaa sana maana sikuwa najua kwamba mwanaume anaweza kuwa na mambo ya kike!
 
Wengine mashoga, wana gubu na madhaifu mengine wanayotafutia sababu kuyakimbia kwa kuwatwisha lawama wanawake. Kama wanaume hatuna tamaa, ni wapi wanaongoza kwa ujambazi ,ufisadi, wizi, na kila ghasia duniani kama siyo wanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…