Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Nazungumzia yule Kinje wa vita ya Majimaji mganga wa kienyeji aliye waingiza wapiganaji wetu chaka kua risasi Wakoloni zitageuka kua maji!!
Umemtaja Ngombale Mwiru, ambaye ni baba yake. Sidhani hata kama walikuwa na undugu na Kinjekitile OG. Labda kama unataka kuhesabu generations.
 
Shida mnataka vidada vya mjini vikiwatenda mnakuja kulia lia. Sasa mwanamke wa miaka 23 akupende we mzee kwajili ya maini yako au? Ebu kuweni serious wanaume jamani vitu vingine mnajitoa tu fahamu umezaa na mdada mdogo mara mbili kwako ulilidhani kafuata nini? Hawa ndo wale wanaume akina sie tunaoshinda kanisano hatuna makalio mnatuona washamba mkiumizwa mnaanza wanawake wabaya hapana wanawake uliochagua ndo wabaya
 
Sasa hapa alitegemea asipendewe pesa kweli 😅
 

Attachments

  • IMG_0766.jpeg
    IMG_0766.jpeg
    50.7 KB · Views: 3
  • IMG_0767.jpeg
    IMG_0767.jpeg
    50.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom