Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Ukumbuke pia jamaa angeweza kukuondoa wewe kabla yake.
ndio maana ina bidi uangaliye mazingira vinginevyo unaweza kufa kabla ya kumuuwa mhalifu!!
kuna wakati ukiwa na silaha inabidi ufiche kabisa kwenye mazingira kama hayo ukitoka kichwa kichwa tu unalambwa ya mapema
 

Muda wa Sirro aende kupambana na wanaume wenzie
 
Polisi angepiga chini ya kiuno kwa ajili ya ushahidi ila kama ni mwanajeshi hana haja na ushahidi shughuli inamalizwa atatafutwa mwingine.
Inawezekana wanajeshi wamo ndani ya mavazi ya polisi kwa sasa mitaani.
 
Yanaogopa kufa,huwa ni majanja kupiga wanawake na watoto wanaoandamana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…