Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Ukumbuke pia jamaa angeweza kukuondoa wewe kabla yake.
ndio maana ina bidi uangaliye mazingira vinginevyo unaweza kufa kabla ya kumuuwa mhalifu!!
kuna wakati ukiwa na silaha inabidi ufiche kabisa kwenye mazingira kama hayo ukitoka kichwa kichwa tu unalambwa ya mapema
 
Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news?

Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic

Inadaiwa Polisi Wamenyang'anywa Bunduki mbili SMG na Kumiminiwa risasi[emoji24]
View attachment 1907510
View attachment 1907511


View attachment 1907519


Hii ni developing news…

Kuna mtu mmoja, kapigwa risasi na kuanguka katikati ya barabara
View attachment 1907602
View attachment 1907621
View attachment 1907645View attachment 1907646
Huyu anadaiwa kauawa.

Muda wa Sirro aende kupambana na wanaume wenzie
 
Polisi angepiga chini ya kiuno kwa ajili ya ushahidi ila kama ni mwanajeshi hana haja na ushahidi shughuli inamalizwa atatafutwa mwingine.
Inawezekana wanajeshi wamo ndani ya mavazi ya polisi kwa sasa mitaani.
 
Yaani pale mtu anatembea na bunduki na anamwaga risasi zote hizo still polisi hawajatokea??... Na nisehemu ambayo haiishi dakika tigo hao. Au wamekimbia. Nje tu ya ubalozi hapo naonaga maaskari Leo hawapo?? Kuna kitu hakiko sawa. Maana risasi moja tu ikipigwa salender police wa nasikia imekuwa je Wako kimya
Yanaogopa kufa,huwa ni majanja kupiga wanawake na watoto wanaoandamana tu
 
Back
Top Bottom