Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Juzi nkaenda dukani kwa Mangi kunywa soda basi vile soda sukari sana nkataka kumix kidogo na vant, akaniambia hamna labda animixie na spirit inayoitwa bongo land, nikamwambia anisamehe bure nisijepofua macho tu maana hivi vinywaji vishakuwa vingi mitaani hata haijulikani vinatokea wap
Kuna Guiness foregn extra ina vibe sena serengeti hawaitoi kwa wingi adimu kdgNi aina gani ya bia ina alcohol ya 15% halafu bei ni sh ngapi? Tuachane na hizi pombe kali,
Bia yenye alcohol kubwa ni bingwa 7%. Bei buku jeroNi aina gani ya bia ina alcohol ya 15% halafu bei ni sh ngapi? Tuachane na hizi pombe kali,
Mkuu angalia usije ukamponza Mwaikimba.Wazee nimeshusha mzigo huu apa... Mnaosifia dabo kiko huyo ni brother ake..View attachment 2159209
Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
Kuna hii nyingine “Shimhwa” (Sijui ndivyo inavyoandikwa) inawaumiza sana vijana pasipo wao kujua.t
Huyo anarafiki yake anaitwa coffee .Kuna mwamba alimtandika kichupa kimoja full kupiga chafya.Kuna hii nyingine “Shimhwa” (Sijui ndivyo inavyoandikwa) inawaumiza sana vijana pasipo wao kujua.
Hamna mzee hi normal tMkuu angalia usije ukamponza Mwaikimba.
Efu 2 mbili tu ina Alchol 7.5% sema siku hz adimu baa nying kuna ile smooth ina 4.5%Bei gani hii!?
5000Mkuu hii bei gani!?
😃😃 Taste ya beer Mkuu.Radha yake pia ipoje sio ya kushuka kooni unakunja sura!?
Naona mzigo wangu ume trend mpka kule twitter [emoji3]Wazee nimeshusha mzigo huu apa... Mnaosifia dabo kiko huyo ni brother ake..View attachment 2159209
Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
[emoji23]mjomba ako ni putin aseeNaona mzigo wangu ume trend mpka kule twitter [emoji3]
Mjomba aliniletea kifaa hicho kutoka dom
Double kick na Double Punch ni kitu kimoja?Bongo don pombe safii sanaa...mdogo wakw k vant haina shida kabisa ilee...
Hansons choice
Kiwingu
Nazo zinakuja kwa kasi sana
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]akajiona steringHiki kinywaji pamoja na ile BINGWA viliwahi kumuua anko wangu mmoja uko mkoani,
Alimix DOUBLE KICK+ BINGWA akalewa na akavua nguo zote,
Alienda kujitumbukiza mtoni kupambana na mamba aliekua anakula ngombe wakivuka mto.
Kilichomkuta Aling'atwa kiuno,
Akaishia kufariki kwa majeraha makali miez miwili baadae[emoji26]
Pole sana hii kitu ilimuachisha pombe uncle wangu mmja alikua sugu kashindikana siku moja walikua wawili na mlevi mwenzie waka battle nani mkali wa hizo mambo kilicho tokea yule mlevi nwenzake alidondoka hapo hapo aka kata moto uncle wangu akapoteza uwezo wa kuona almost week nzima anaona ukungu alivyopona mpaka leo hagusi tena pombe yoyoteHiyo kitu ni hatari sana kwa afya, nimewahi fika kwenye kipub ninachopigaga gambe, wanasema K-vant na Konyagi villisha ndo wameagizia. Nikamwambia dogo anipe hiyo double Kick. Sema dogo anamfahamu wife na si mbali sana home (2.5 Km), wife kaitwa kaja kunichukua, imefika asubuhi ndio fahamu zinarudi na hapo nilikuwa nimepiga kama nusu na robo ya kitimoto na ugali wa wanaume wa mikoani. Sijawahi irudia tena. Yaani kina alcohol ya kawaida lakini kinaweza kukutoa roho, siku mbili hali si hali, tapika sana msosi haupandi tena, wakati nina uwezo wa kumaliza K-vant kubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]imeandikwa atafufuka siku ya tatu [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Daahh!!Mungu ana njia nyingi za kufundisha watuPole sana hii kitu ilimuachisha pombe uncle wangu mmja alikua sugu kashindikana siku moja walikua wawili na mlevi mwenzie waka battle nani mkali wa hizo mambo kilicho tokea yule mlevi nwenzake alidondoka hapo hapo aka kata moto uncle wangu akapoteza uwezo wa kuona almost week nzima anaona ukungu alivyopona mpaka leo hagusi tena pombe yoyote
Pan Master MZIGO WENYEWE, VIBE LA CHAPUtakuwa huijui MASTER wewe