Kauli ya kiuongozi mkuu wa nchi Ina impact kubwa. Hiyo hiyo sentennsi moja inaweza kuwa na madhara kuliko hutuba mzima. Ngoja tusubiri tuone.Tatizo lenu mnachukua ka sentensi kamoja ka Rais mnaanzishia hoja ndio maana mnazidi kupwaya
Rais alikuwa anazungumzia kuwapiga bei wale walio ji lockdown wakati wa Corona akimaanisha Nchi jirani
Kuna ubaya gani kuhamasisha Raia wako kuwapiga bei ya Juu nchi za jirani ili kuimarisha uchumi wao?
Kauli ya kiuongozi mkuu wa nchi Ina impact kubwa. Hiyo hiyo sentennsi moja inaweza kuwa na madhara kuliko hutuba mzima. Ngoja tusubiri tuone.
Kwa maana nyingine wakulima si watataka kuyauza soko la nje ili waifidike kuliko kuyauza ndani kwa bei rahisi. So lazma yatapungua kwenye soko la ndani kwa maana mtaishia kununua sawa na mkenya anapoyanunua. Mfano si juzi mmeyapeleka zimbabwe na bado tukaishia kununua unga bei mara mbili.Tatizo lenu mnachukua ka sentensi kamoja ka Rais mnaanzishia hoja ndio maana mnazidi kupwaya
Rais alikuwa anazungumzia kuwapiga bei wale walio ji lockdown wakati wa Corona akimaanisha Nchi jirani
Kuna ubaya gani kuhamasisha Raia wako kuwapiga bei ya Juu nchi za jirani ili kuimarisha uchumi wao?
Corona imeishaHuyu amepata hiyo nafasi kwa bahati mbaya
Swali kwa mtoa mada , ushawahi kulima? Unajua adha ya kulima? Acha kuanzisha nyuzi za ajabu , wakulima wanaumia sana kwa bei zikiwa chini, wacha watu wapandishe bei wafaidi matunda ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nae ni mpuuzi tu wapenda kupindisha maneno; miji ya nchi za jirani :zilizofungwa wanafanya biashara siyo kulima. Wewe ukiwafungia watu Dar ndiyo Mpanda na Kyela hawatalima? Uchumi imetushinda miaka yote hayo kuwapita ndo leo tuwapite kwa mwezi mmoja?Tatizo lenu mnachukua ka sentensi kamoja ka Rais mnaanzishia hoja ndio maana mnazidi kupwaya