Kiongozi mkuu wa CHADEMA akisema chama hakitashiriki tena uchaguzi 2030, mtafanyaje wana CHADEMA?

Sitaki kuelewa ila nimeuliza kiongozi wao akiwa na msimamo ule ule watamsikiliza au watampinga maana sio wote chadema wanaomsikiliza kiongozi wao juu ya hilo swala
Mwenye hoja inayokubalika na wengi anasikilizwa... ukiona viongozi hawaeleweki, kuna mambo kadhaa unaweza fanya;
1. Shawishi watu wengi wawatoe, ugombee wewe;
2. Hamia chama kingine
3. Anzisha chama chako

Hilo la 3 alifanya Zitto
 
We have no mercy or morals kwa wauaji kama nyie mamaeee
Nyie inabidi muitwe kila aina ya majina
As long as una glorify uuwaji wewe ni shog* tu
Kiongozi wenu alisema mkimchagua atawapa haki yenu ya kuwa mashoga… bisha
 
Kama mfumo utabaki uleule hakuna atakaeenda kupiga kula na tutaingia tena balabalani watumalize wote ili watawale makabuli...
 
ipo haja kubadili strategy, kususia uchaguzi peke yake haiwezi kuwa suluhu.
 
Mwenye hoja inayokubalika na wengi anasikilizwa... ukiona viongozi hawaeleweki, kuna mambo kadhaa unaweza fanya;
1. Shawishi watu wengi wawatoe, ugombee wewe;
2. Hamia chama kingine
3. Anzisha chama chako

Hilo la 3 alifanya Zitto
Kwa hivyo akisema hata miaka mia hamtashiriki uchaguzi itakuwa ivyo na ninyi ni chama kikubwa pinzani kinachotegemewa TZ
 
Kama mfumo utabaki uleule hakuna atakaeenda kupiga kula na tutaingia tena balabalani watumalize wote ili watawale makabuli...
madogo msifanye makosa ya kuingia road kichwa kichwa, kuna watu wapo trained kuua na tangu watoke mafunzo hawajapata uwanja wa kufanya shughuli zao.
 
Kijana mwezetu kama huyu hana mtaji kama sisi ila anashabikia Angela kinziga na Abdul wanavyokula nchi🤣
 
Kwa hivyo akisema hata miaka mia hamtashiriki uchaguzi itakuwa ivyo na ninyi ni chama kikubwa pinzani kinachotegemewa TZ
Uongozi unawekwa kwa utaratibu na unatolewa kwa utaratibu. Mtu akiona hana imani na maamuzi ya viongozi achukue hatua, tatizo letu Watanzania tunapenda majungu; Act or Shut up
 
madogo msifanye makosa ya kuingia road kichwa kichwa, kuna watu wapo trained kuua na tangu watoke mafunzo hawajapata uwanja wa kufanya shughuli zao.
Kuhusu kuingia barabarani ni uamuzi wao tu.. ufe au ulemavu.. wasituibie tu kwenye maduka yetu
 
Kuliko kushiriki aina ya uchaguzi(uchafuzi) wa 2025 na ule was local government wa 2024 ni bora waendelee na mapambano/harakati zao bila ya kushiriki uchaguzi. Hivyo vyama vilivyoshiriki uchaguzi nimepata manufaa gani na on the ground kwa kubalika kwa wananchi vikoje ukivilinganisha na CHADEMA ambacho hakikushiriki uchaguzi.
CCM na tyrant regime ya Samia hazipati hekaheka(ndani na nje ya nchi) kwa sababu ya vyama vilivyoshiriki uchaguzi, maridhiano hayawi topic kwa sababu ya vyama vilivyoshiriki uchaguzi la hasha. Vyama vilivyoshiriki uchaguzi vinaona kuwa mambo yako sawa lakini CCM inalialia ikizungumzia maridhiano sababu tu ni kwa kuwa CHADEMA hakikushiriki uchaguzi.
 
Punguza jazba hizo zote ni target za kuwaingiza chaka washamba kama wewe

Kiongozi wenu akichukua nchi atawasaidia muwe mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…