Kiongozi mkuu wa CHADEMA akisema chama hakitashiriki tena uchaguzi 2030, mtafanyaje wana CHADEMA?

Viazi mnajuana
 
Utaona Kwa macho Yako,na maskio Yako kusikia! Katiba mpya, katiba mpya!
Mimi sio ccm wala chadema mkuu ila nakwambia hiyo ni ndoto.. na ndoto ambayo sio rahisi kuiota, haitotokea

Wanitegemea hiyo katiba waendelee kuishi..
 
damu ina thamani sana, hivyo inapomwagika lazima iwe na return ya uhakika, sio unamwaga damu kizembe zembe halafu mwisho wa siku hakuna ulichoambulia.
Kiutu uzima sana hii
 
Mimi sio ccm wala chadema mkuu ila nakwambia hiyo ni ndoto.. na ndoto ambayo sio rahisi kuiota, haitotokea

Wanitegemea hiyo katiba waendelee kuishi..
Hata Mimi sio CCM Wala CHADEMA, katiba mpya inakuja , Hakika!
 
Nitafurahi binafs ikija ila ninavyojua itakuja na mabadiliko makubwa ambayo wao wenyewe wataiogopa na ndio itakuwa anguko lao
 
damu ina thamani sana, hivyo inapomwagika lazima iwe na return ya uhakika, sio unamwaga damu kizembe zembe halafu mwisho wa siku hakuna ulichoambulia.
Unahisi damu za 29 Oct zimeenda bure?huna macho Wala masikio?

It is going to messy with many casualties,stay tune
 
Sitaki kuelewa ila nimeuliza kiongozi wao akiwa na msimamo ule ule watamsikiliza au watampinga maana sio wote chadema wanaomsikiliza kiongozi wao juu ya hilo swala
Kama hutaki kuelewa huu mjadala una maana gani?
 
Nakuhakikishia uchaguzi wa 2030 hauwezi kua kama wa 2020/25. Adabu waliyoipata 2025 imewatosha lazima upinzani utahusishwa ushriki hata kamakutakua na magumashi hayawezi kua hayo tena kwasababu sasa hivi CCM imechafuka vibaya sana.
 
Unahisi damu za 29 Oct zimeenda bure?huna macho Wala masikio?

It is going to messy with many casualties,stay tune
Damu ya October 29 wataolipia wengi, wanaharakati na serikali kiujumla, yaani hawa walioamasisha na waliyofyatua risasi na mabomu
 
Kama hutaki kuelewa huu mjadala una maana gani?
Ipo wazi kama kiongozi wa chadema hawezi kupitissha chama kishiriki Uchaguzi ndivyo nilivyomaanisha labda haukuelewa
 
WATAKUOA WEWE WAKUZALISHE.
 
Nakuhakikishia uchaguzi wa 2030 hauwezi kua kama wa 2020/25. Adabu waliyoipata 2025 imewatosha lazima upinzani utahusishwa ushriki hata kamakutakua na magumashi hayawezi kua hayo tena kwasababu sasa hivi CCM imechafuka vibaya sana.
Ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…