Kiongozi mkuu wa CHADEMA akisema chama hakitashiriki tena uchaguzi 2030, mtafanyaje wana CHADEMA?

Unafikri CHADEMA ni kama ccm ambako mwenyekiti anajiamulia tu.No Reforms No Election ni maamuzi ya kamati kuu ya chama sio mwenyekiti.Mwenyekiti ameagizwa/aliagizwa kusimamia
 
chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema
Kwani lazima kushiriki? Sisi tunasikiliza viongozi wetu.. Tutamtii..
Nyie shirikini milele, kwani inawauma?
 
Sitaki kuelewa ila nimeuliza kiongozi wao akiwa na msimamo ule ule watamsikiliza au watampinga maana sio wote chadema wanaomsikiliza kiongozi wao juu ya hilo swala
CHADEMA ni manyumbu, watamfuata Tundu atakachosema. Wenye akili walihamia CHAUMA.
 
Kiongozi hakurupuki kutamka anakaa na baraza ndio wanatoa tamko.
N ikitokea hivyo kitakachotokea ni baadhi kuhama chama kama yule mganga na wenzake
 
Mmeshafunga shule
Unajua lolote kuhusu no reforms no reelection
 
rejea no reforms no election basi , mengine yote hayatahusika kama reforms hazijafanyika
 
hapo ulipo sema tupate haki yetu ya kupiga kura kiongozi tunae mtaka, Ndo nikajua wewe jamaa ni comedy sana 😅

Ya 2030, Yatakua mabaya kuliko 2025. Ishort voters turn out haitakuja kurudi mpaka pale patakapofanyika mabadiriko ya Kanuni za uchaguzi.
 
Tangu lini TZ watu wanapigia kura kiongozi wanayemhitaji???
 
Unataka kuolewa? Mi situmii hizo kevzy ni mende tu wanatumia kevzy. Sisi wanaume tunatumia wanawake. Wewe kama unataka kuolewa ntakupatia wanaume
Shangazy pikia uji wanao acha makeke,
 
Kwani mwenyekiti wa sisiemu akisema hamna kura za maoni anajipitisha mwenyewe kuwa mgombea pekee wanafanyaje masisiemu?

Wabongo ni walewale tu awe msisiemu au mpinzani ni kama nyumbu, akija simba anajichukulia tu na hamna kitu tutafanya tunatazama tu na kuja kupost jf...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…