Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Nimeona hizo picture wala sio Yahya Sinwar
Uislam unaondosha akili.. kaa nao mbali sana. Utasema na hii Taqiyya pia ibada ya Allah

Aljazeera pia watasema pia IDF imeua raia aitwaye Sinwar na raia walikuwa nao wawili including woman and chidren.. Waziri wa Afya wa Hamas nae anaongeza list ya idadi ya raia waliouliwa na idf akiwepo Sinwar.. Tatizo ni Uislam tunawapenda ila akili ndio zimeisha kama kisu butu.. hameni huko akili ziwarudie
 
Nipo hapa nagonga ko

Niko hapa nagonga kitimoto na konyagi kusherehekea ushindi mkubwa wa Israel Taifa la Mungu wa kweli.

Kobaz wakiongozwa na Faizafox endeleeni kutangaza kwamba Hamas wanasonga mbele. Situpidi
Ila wenzako hamwamuabudu yule Brian Deacon aliyetundikwa msalabani na kuvalishwa nepi.
 
Ikiwa Israel mpaa wamepima DNA ndio wamemjua sa mimi nimjue kwenye picture ambazo hazina dalili 💯 ni yeye.
 
Sinwar was warrior, Israel ni Ardhi ya wapambanaji licha ya ujinga wao Waisrael na Wapalestina ni wapiganaji hasa tofauti yao Wapalestina wamekubali kupotoshwa na Dini ya Mnyazimungu

FaizaFoxy Sinwar alikuwa Warrior hasa
 
Waislam hua hatuombi amani tunawatakia watu amani, sisi tunataka haki itendeke likifanyika hilo amani itakuja yenyewe
Nyie kwa jinsi mlivyo mngekuwa ndo mmeishikilia hii dunia mngetutesa sana sisi wakristo.
 
Acha warushe na Israel nae arushe kwao tuone nani mbabe.
 
Israel inatamani Ayatollah achukue uongozi wa HAmas au Hezbollah naye imponde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…