Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe alikuwa kajificha shuleniHamjaboni wadau!? Hii ni kwa mujibu wa Al Jazeera inasemekana yahya sinwar,kiongoz wa Hamas kalambishwa mchanga View attachment 3127793
Uislam unaondosha akili.. kaa nao mbali sana. Utasema na hii Taqiyya pia ibada ya AllahNimeona hizo picture wala sio Yahya Sinwar
Amekufa shaheeeed. TakbiiiirKwahiyo amekufa?
Na kweli haichekeshi mtu avalishwe kichupi atundikwe msalabani ili msamehewe dhambiHauchekeshi
Ila wenzako hamwamuabudu yule Brian Deacon aliyetundikwa msalabani na kuvalishwa nepi.Nipo hapa nagonga ko
Niko hapa nagonga kitimoto na konyagi kusherehekea ushindi mkubwa wa Israel Taifa la Mungu wa kweli.
Kobaz wakiongozwa na Faizafox endeleeni kutangaza kwamba Hamas wanasonga mbele. Situpidi
Kama kawaida magaidi ya kidini huwa wanajificha shuleni na hospitalin nyuma ya wanawake na watotoKumbe alikuwa kajificha shuleni
Kwaio unatuambia sasa kwamba israel iendelee kuwaua wapalestina kila sikuHamas ipo kwenye damu za wapalestina ile ni ideology huwezi kuuwa ideology. Kila mtu Gaza na West Bank ni freedom fighters.
Ikiwa Israel mpaa wamepima DNA ndio wamemjua sa mimi nimjue kwenye picture ambazo hazina dalili 💯 ni yeye.Uislam unaondosha akili.. kaa nao mbali sana. Utasema na hii Taqiyya pia ibada ya Allah
Aljazeera pia watasema pia IDF imeua raia aitwaye Sinwar na raia walikuwa nao wawili including woman and chidren.. Waziri wa Afya wa Hamas nae anaongeza list ya idadi ya raia waliouliwa na idf akiwepo Sinwar.. Tatizo ni Uislam tunawapenda ila akili ndio zimeisha kama kisu butu.. hameni huko akili ziwarudie
Chuki binafsi Zidi ya walokole kiongoziNyie walokole ndio hua mnaimani za hivyo eti mtu akipungukiwa damu asiongezwe Mungu atamlinda kwa maombi?
View: https://x.com/Osint613/status/1847012268149538840
Sinwar was warrior, Israel ni Ardhi ya wapambanaji licha ya ujinga wao Waisrael na Wapalestina ni wapiganaji hasa tofauti yao Wapalestina wamekubali kupotoshwa na Dini ya Mnyazimungu
FaizaFoxy Sinwar alikuwa Warrior hasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiwa front unakufa kidogo.[emoji120][emoji41]
Nyie kwa jinsi mlivyo mngekuwa ndo mmeishikilia hii dunia mngetutesa sana sisi wakristo.Waislam hua hatuombi amani tunawatakia watu amani, sisi tunataka haki itendeke likifanyika hilo amani itakuja yenyewe
Acha warushe na Israel nae arushe kwao tuone nani mbabe.Ukitaka kuona mashia ni vichaa wa dunia muue kiongozi wao wa dini.
Kheri umuue rais wa Iran kuliko kiongozi wa dini wa Iran.
Na kama ikatokea Israel akafanya hivyo maghala yote ya makombora ya Iran yatamiminwa Tel Aviv.
Kama kumuua tu kamanda wa Iran,Iran inalipiza kwa kurusha mamia ya makombora basi jifikirie kumuua supreme Leader itagharimu kiasi gani.
Allahu Akbaru.Amekufa shaheeeed. Takbiiiir
Taqiyya kuna rafiki yangu anaitwa abdool hana Quran. umeokoteza wapi hii Taqiyya? au kwa Allah?Hakuna mwislamu ambaye hana qur an