Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Kwani Putin hajamruhusu huyo fala afanye hayo mashmabulizi anayodai ni mbaya kabisa kabisa ....!!! Amruhusu tuuu
 
Ukraine Ikigeuka jangwa, wewe nini kitaongezeka katika maisha yako?
na hata ikiwa salama hakuna kitakachoongezeka katika maisha yangu

si wanaabudu USA&NATO ? acha wanyooshwe pimbi hao
 
na hata ikiwa salama hakuna kitakachoongezeka katika maisha yangu

si wanaabudu USA&NATO ? acha wanyooshwe pimbi hao
Tumia akili usiendeshwe na hisia, Ukraine ndio alikuwa kinara wa kununua ndizi Tanzania baada ya hii vita soko la ndizi limedorora
 
natumia map...mbu yako kufikir.

unataka niwe na akili kama zako ndio ujue nina akili ?
Huyo Ukraine ambaye unataka liwe jangwa ndio alikuwa kinara wa kununua ndizi Tanzania baada ya hii vita soko la ndizi limedorora.
 
Huyo Ukraine ambaye unataka liwe jangwa ndio alikuwa kinara wa kununua ndizi Tanzania baada ya hii vita soko la ndizi limedorora.
moja ya ujinga mkubwa katika maisha ni kuamini kua bila flan maisha hayawezi kwenda ...
 
France24 imeripoti kuwa kiongozi shujaa wa kivita wa Chechnya, Ramzan Kadyrov, ameishaingia ulingoni vitani nchini Ukraine. Ni yule jamaa mpenda vita na wenye amsha amsha ya kibabee.

Kawaambia majeshi ya Ukraine wajisalimishe la sivyo watawafuta kwenye uso wa dunia.

Pia kawaambia majeshi ya Ukraine kuwa majeshi ya Russia yatawafunda vizuri zaidi (wanajeshi wa Ukraine) namna ya kupigana vita kuliko mafunzo ya nadharia (theory) waliyokuwa wakimezeshwa na majeshi ya kigeni (Marekani na NATO)

Kwa jinsi game lilivyochangamka, ni wazi jamaa keshaenda kuongeza vionjo ulingoni

 
Yan ni hiviii, ile late 90's putin anaukwaa urais mpaka 2000s huko hawa jamaa walimpiga mtungo Putin mpaka akil ilimkaa sawa.
 
Mikwara hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…