Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Ni dalili ya kushindwa vita, Putini yalikuwa ni majigabo tu hakuwa na strategies, miscalculated kwa mujibu wa Biden

Wale wafuasi wa Putini sasa wanashuhudia hii aibu
Bora zako wewe mjuvi zaidi wa nguvu za kijeshi za Putin kuliko hata Defense Secretary wa Marekani General Lloyd Austin ambaye yeye aliongoza vikosi kadhaa ktk vita vya Baghdad. General Austin yeye anasema kuwa Russia bado wana uwezo na nguvu kubwa mno ya kuishambulia Ukraine ambayo hawajaamua kuitumia. Ila wewe waona kinyume na huyo kiongozi mkuu wa maswala ya Ulinzi ya Marekani.

Urusi wana nguvu kijeshi na wana njaa kiuchumi..
 
Tatizo njaa....
Hawana njaa kabisa Hawa jamaa,
Wanajitegemea kwa kila kitu na wanaserikali Yao kabisa na kiongozi wao.

Putin Ni Kama godfather wao,
kaheshimu maamuz Yao Kama nchi huru, Ni waislamu Safi na wanajiendesha kwa Sharia Kama vile wako uarabuni.

Na uone walivyo na morali,
Kiongozi wao ndo Yuko mstar wa mbele kwenye Hii Vita uko Ukraine, hakai ofisni Wala kambini kutuma vikosi.

Yuko na vikosi Mona kwa Moja kwny battlefield, ndo uyo unaemuona.
 
Urusi ya sasa imebakia na makombora ya nyuklia tu..vingine ni zamani...
Mkuu yaonesha wewe waifahamu vizuri zaidi Russia kuliko hata Marekani yenyewe inavyoifahamu Russia ktk maswala ya ubora wa silaha za kisasa.

SmartSelect_20220304-234405_Chrome.jpg
 
Bora zako wewe mjuvi zaidi wa nguvu za kijeshi za Putin kuliko hata Defense Secretary wa Marekani General Lloyd Austin ambaye yeye aliongoza vikosi kadhaa ktk vita vya Baghdad. General Austin yeye anasema kuwa Russia bado wana uwezo na nguvu kubwa mno ya kuishambulia Ukraine ambayo hawajaamua kuitumia. Ila wewe waona kinyume na huyo kiongozi mkuu wa maswala ya Ulinzi ya Marekani.

Ni katika hayo mapambio tu, Russia kwenye hii vita kaonyesha udhaifu mkubwa mpaka magenerali wake wanaonekana dhahiri frustrated

Alifikiri vita ni kuangusha majengo marefu tu ya raia, kwa mfano anaangusha jengo residential house refu lakini wanakufa watu 4 tu, hajui watu wako wapi wala chochote akiingia mtaani wanagongwa ni raia waliopewa silaha kwa siku ya vita

Poor putini
 
Kuna watu makrezi dunia hii sijui yanakuwaje wanapewa nafasi ya kuongoza....mnhhh
 
Na uone walivyo na morali,
Kiongozi wao ndo Yuko mstar wa mbele kwenye Hii Vita uko Ukraine, hakai ofisni Wala kambini kutuma vikosi.

Yuko na vikosi Mona kwa Moja kwny battlefield, ndo uyo unaemuona.
Nimeshangaa sana aisee, yaani huyu jamaa ni Head wa Jamhuri ya Chechnya, lakini anaenda vitani! Tena hasubiri kuombwa! Nakubaliana nawe mkuu huo ni mzuka wa ajabu aisee

Screenshot_20220304-235005_Chrome.jpg
 
Nimeshangaa sana aisee, yaani huyu jamaa ni Head wa Jamhuri ya Chechnya, lakini anaenda vitani! Tena hasubiri kuombwa! Nakubaliana nawe mkuu huo ni mzuka wa ajabu aisee

View attachment 2139188
Ni sawa na Putin akashike bunduki uko Ukraine,

Hawa jamaa Ni wazalendo Sana, ndo Maana kila wanakopita wanashnda.

Inaonekana wako well trained kwa vita MDA wowote.
 
Kuna watu makrezi dunia hii sijui yanakuwaje wanapewa nafasi ya kuongoza....mnhhh
Hawa jamaa Ni Kama wale waarabu wa TALEBAN sema wao Ni wazungu pure.

Wanamisimamo mikali sana Hawa, na wanachukia sana ubepari na wamarekani kuliko kitu chochote kile.

Ndo Maana putin alivyotangaza kuivamia Ukraine, Hawa walivaa gwanda wakatangulia vitani Moja kwa moja Bila hata kumjulisha Putin

Mbele ya Safar ndo barua ikamfikia Putin kua wanamunga mkono
 
Back
Top Bottom