Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Kuna wengi humu hawajui!
Walimnyooosha Sana kipind wakitaka kujitenga na kutumia Sharia kujiongoza, akawahofia misimamo mikali kumletea magaidi Russia.

Walimsumbua sana putin mwishowe akaona awaachie waishi wanavyotaka wao kwa mfumo wa Sharia.

Na sahv wamekua jamii inayojitegemea kabisa, wanakiongoz wao na Wanampenda Sana Putin Kama godfather wao kuwapa uhuru.

Kule chechniya,
-Ukikutwa na MKE wa mtu unapigwa mawe unauwawa, na putin wala haingilii

-ukiiba unakatwa mkono, na Putin wala haingilii.

Kule Ni marufuku kufungua kanisa,Ni misikiti TU.
 
Warusi wangekuwa na roho mbaya kama Wayahudi wa Gaza,pengine hii vita ingeshavunja records za Hiroshima&Nagasaki na ile ya Rwanda 1994 kwa kuua watu wengi kwa muda mfupi.

Raia wanazuia misafara ya vifaru kwa kuning'iniza gololi tu barabarani na hakuna anayelipuliwa.

Ingekuwa Gaza hali ingekuwa mbaya.

BTW:Hao waChechnya watakuwa wanatafuta uzoefu zaidi kwa matumizi ya baadae.😁
 
Mkuu yaonesha wewe waifahamu vizuri zaidi Russia kuliko hata Marekani yenyewe inavyoifahamu Russia ktk maswala ya ubora wa silaha za kisasa.

View attachment 2139182
Labda tumuelewesha kwa kumbembeleza kwambaaa kaka kama vile unavyosikiaga na kuziona vile Ak47 ambazo hata kwenye tope hazijam ni zao
 
Mkuu hiyo picha ya jaribio la silaha ya Urusi kutoka mtandao wa Urusi..Safi sana.
Pole sana mkuu,

Je, hao maseneta wanao lalamika kuwa Marekani ipo nyuma ya Russia na China ktk silaha hiyo ya kisasa (a weapon of future) ni maseneta wa Russia?

Chombo cha habari kinachoripoti ni VOA, kwa kukusaidia kirefu chake ni Voice of America, nacho ni cha Urusi?

Uliona wapi wewe jaribio la silaha ya kimkakati lifanyike halafu chombo cha nchi kinzani ndio kitumike kupiga picha?

Utakuwa mgeni wa mambo haya wewe.

SmartSelect_20220304-234405_Chrome.jpg
 
Warusi wangekuwa na roho mbaya kama Wayahudi wa Gaza,pengine hii vita ingeshavunja records za Hiroshima&Nagasaki na ile ya Rwanda 1994 kwa kuua watu wengi kwa muda mfupi.

Raia wanazuia misafara ya vifaru kwa kuning'iniza gololi tu barabarani na hakuna anayelipuliwa.

Ingekuwa Gaza hali ingekuwa mbaya.

BTW:Hao waChechnya watakuwa wanatafuta uzoefu zaidi kwa matumizi ya baadae.[emoji16]
Hawa chechnia Ni wazoefu wa Vita Sana,

Putin walishawahi kunyoosha Sana vitani enzi hizo hawapatani.

Hawa jamaa wanapigana utadhani ndo wanakufa leo, afu Ni Giants.

Ukiangalia viganja vyao utadhani majitu kutokea sayari nyingine
 
Hawa wamba nilikuwa nawachukulia poaa kweliii
Hawa jamaa wangekua Ni washari Sana afu wakawa na vifaa pamoja na nyuklia Kama Russia.

Sidhan Kama marekani na washirika wake wangekua katika uso wa dunia mpk Leo hii.

Kwa chuki walonayo dhidi ya wamarekani wangeshawalipua Moja kwa moja Bila kujiuliza Mara mbili.
 
Muda tu Urusi itachoka..wataanza kubeba mabomu warudishe kambini. Bomu halina nguvu kama chakula...Adui muombee njaa
Jamaa wanagawa chakula kwa raia wa Afghanistan mwaka jana. Endelea kusubiria wakose njaa

Pole sana mkuu,

Je, hao maseneta wanao lalamika kuwa Marekani ipo nyuma ya Russia na China ktk silaha hiyo ya kisasa (a weapon of future) ni maseneta wa Russia?

Chombo cha habari kinachoripoti ni VOA, kwa kukusaidia kirefu chake ni Voice of America, nacho ni cha Urusi?

Uliona wapi wewe jaribio la silaha ya kimkakati lifanyike halafu chombo cha nchi kinzani ndio kitumike kupiga picha?

Utakuwa mgeni wa mambo haya wewe.

View attachment 2139203
Una ushabiki tu..nimekuuliza kuhusu picha imetolewa na nani USA au Urusi?. Footage taken from the Russian....
 
Back
Top Bottom