myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Urusi ya sasa imebakia na makombora ya nyuklia tu..vingine ni zamani...Ni dalili ya kushindwa vita, Putini yalikuwa ni majigabo tu hakuwa na strategies, miscalculated kwa mujibu wa Biden
Wale wafuasi wa Putini sasa wanashuhudia hii aibu
Bora zako wewe mjuvi zaidi wa nguvu za kijeshi za Putin kuliko hata Defense Secretary wa Marekani General Lloyd Austin ambaye yeye aliongoza vikosi kadhaa ktk vita vya Baghdad. General Austin yeye anasema kuwa Russia bado wana uwezo na nguvu kubwa mno ya kuishambulia Ukraine ambayo hawajaamua kuitumia. Ila wewe waona kinyume na huyo kiongozi mkuu wa maswala ya Ulinzi ya Marekani.Ni dalili ya kushindwa vita, Putini yalikuwa ni majigabo tu hakuwa na strategies, miscalculated kwa mujibu wa Biden
Wale wafuasi wa Putini sasa wanashuhudia hii aibu
Urusi wana nguvu kijeshi na wana njaa kiuchumi..Bora zako wewe mjuvi zaidi wa nguvu za kijeshi za Putin kuliko hata Defense Secretary wa Marekani General Lloyd Austin ambaye yeye aliongoza vikosi kadhaa ktk vita vya Baghdad. General Austin yeye anasema kuwa Russia bado wana uwezo na nguvu kubwa mno ya kuishambulia Ukraine ambayo hawajaamua kuitumia. Ila wewe waona kinyume na huyo kiongozi mkuu wa maswala ya Ulinzi ya Marekani.
Hawana njaa kabisa Hawa jamaa,Tatizo njaa....
Sema Putin mwishoni alishinda.Urafiki wa paka na panya..
Mkuu yaonesha wewe waifahamu vizuri zaidi Russia kuliko hata Marekani yenyewe inavyoifahamu Russia ktk maswala ya ubora wa silaha za kisasa.Urusi ya sasa imebakia na makombora ya nyuklia tu..vingine ni zamani...
Exactly, vichaa wenziePutin ana penda ma empty head kama haya
View attachment 2139147hii kazi wameifanya hao jamaa. NGumu kukuta mchenchen mwemba mba sijui wanakulaga nin
Mkuu hiyo picha ya jaribio la silaha ya Urusi kutoka mtandao wa Urusi..Safi sana.Mkuu yaonesha wewe waifahamu vizuri zaidi Russia kuliko hata Marekani yenyewe inavyoifahamu Russia ktk maswala ya ubora wa silaha za kisasa.
View attachment 2139182
Ni katika hayo mapambio tu, Russia kwenye hii vita kaonyesha udhaifu mkubwa mpaka magenerali wake wanaonekana dhahiri frustratedBora zako wewe mjuvi zaidi wa nguvu za kijeshi za Putin kuliko hata Defense Secretary wa Marekani General Lloyd Austin ambaye yeye aliongoza vikosi kadhaa ktk vita vya Baghdad. General Austin yeye anasema kuwa Russia bado wana uwezo na nguvu kubwa mno ya kuishambulia Ukraine ambayo hawajaamua kuitumia. Ila wewe waona kinyume na huyo kiongozi mkuu wa maswala ya Ulinzi ya Marekani.
Nimeshangaa sana aisee, yaani huyu jamaa ni Head wa Jamhuri ya Chechnya, lakini anaenda vitani! Tena hasubiri kuombwa! Nakubaliana nawe mkuu huo ni mzuka wa ajabu aiseeNa uone walivyo na morali,
Kiongozi wao ndo Yuko mstar wa mbele kwenye Hii Vita uko Ukraine, hakai ofisni Wala kambini kutuma vikosi.
Yuko na vikosi Mona kwa Moja kwny battlefield, ndo uyo unaemuona.
Ni sawa na Putin akashike bunduki uko Ukraine,Nimeshangaa sana aisee, yaani huyu jamaa ni Head wa Jamhuri ya Chechnya, lakini anaenda vitani! Tena hasubiri kuombwa! Nakubaliana nawe mkuu huo ni mzuka wa ajabu aisee
View attachment 2139188
Rebeca 83 umenichekesha kweli Mkuu,Kuna watu makrezi dunia hii sijui yanakuwaje wanapewa nafasi ya kuongoza....mnhhh
Kuna wengi humu hawajui!Hawa Putin walimuonyeshaga joto ya jiwe. Sema sasa eti wamekuwa marafiki na Putin.
Hawa jamaa Ni Kama wale waarabu wa TALEBAN sema wao Ni wazungu pure.Kuna watu makrezi dunia hii sijui yanakuwaje wanapewa nafasi ya kuongoza....mnhhh
Hawa jamaa inaonesha walikua na nongwa sna na wanaukraine.Rebeca 83 umenichekesha kweli Mkuu,
Huyo jamaa yaonekana vita imo damuni mwake, yaani keshanunua ugomvi wa jirani ili akatoe dozi