Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

Hayupo Ukraine ametuma vikosi vyake Ukraine. Pia Chechnya siyo nchi kamili ni semiautonomous chini ya Urusi kama zenji tu hapa bongo. Pia kumbuka ana upinzani mkubwa Chechnya wengi hawampendi kwasababu Chechens wengi wanataka kuwa taifa kamili hawataki kuwa puppet wa Moscow. Anamuunga mkono Putin kwasababu Putin anampa ulinzi
Sawasawa
 
London (CNN Business)Russia's second largest oil company has broken ranks with President Vladimir Putin.
Lukoil, which produces more than 2% of the world's crude oil and employs over 100,000 people, has called for an end to Russia's war in Ukraine.
The company's board of directors said in a statement to shareholders, staff and customers that it was "calling for the soonest termination of the armed conflict."



"We express our sincere empathy for all victims, who are affected by this tragedy. We strongly support a lasting ceasefire and a settlement of problems through serious negotiations and diplomacy," the board added.

Lukoil (LUKOY) chairman and CEO Vagit Alekperov is one of Russia's richest men. The majority of Lukoil's shares are owned by the former Caspian Sea oil rig worker and his deputy, Leonid Fedun, according to Reuters.
The company has operations in dozens of countries around the world and is Russia's second biggest oil company behind state-owned giant Rosneft. It now faces huge challenges as traders shun Russian crude for fear of running afoul of Western sanctions even though they do not directly target fossil fuel exports.
 
Kitu unachowaza sivyo kama ilivyo angetaka kumaliza sasa hivi ingekuwa historia hakuna hata sisimizi agekuwa hai hapo ukrein. Maana angeamua kufagia wale raia waliyokaa barabarani mgekuwa mnalilia hovyo. Kumbuka sasa hivi pia USA na NATO wapo mzigoni kwa hivyo anawabonda wote.
Kutumia nuclear ni dalili nyengine mbaya zaid kushindwa vita: Suali; Je hii ndio Russia tuliyoambiwa na kusifiwa?

Je angeweza vita na majeshi ya Nato? bila kufikiria kutumia nuclear? Au tuamini kauli ya biden Moscow miscalculated kwenye hii vita?
 
Mbona wameuwawa wengi tena ile special force iliyotumwa kum assassinate zelensky?
Hakuna uthibitisho popote pale wa hizo propaganda.


Screenshot_20220305-070133_Chrome.jpg
 
Niliwahi kusema kuwa kuna frontline line moja hivi haipokei simu ya Putin yeye anatupa njugu na karanga tu ila watu akiwemo Nyamizi wakashupaza shingo. Haya sasa mwamba a.k.a Golieth ndie huyu sasa.
 
Huyu Kamanda ana undugu na yule giant akizichaoa na brucelee ktk IP man finale au avengement ya Scott Adkins?!
Kama unafatilia vizur hii Vita,
Utagundua Hawa chenchnia Ni Moto wa kuotea mbali.

Hawa jamaa Ni Giants sana,
(Ukiwaangalia wakiwa na mateka wao au Raia wa kawaida, utadhani ni Daudi vs Goliathi.

Afu kwny Vita kila wanakopita wanafagia haswa, Ukraine soldiers wanakimbia na kutelekezea kambi, vifaa na mizinga n.k

Chskushangaza Hawa jamaa,
Hawana hata cover ya ndege Wala kifaru, wao wako kwa mguu TU.

Ila kichapo wanachotembeza utadhani wako kwny Hollywood movies.
 
Kabisa,
Magu namfananisha na Putin.

Ule mgogoro na Kenya yeye alikua anajibu kwa vitendo, Afu wakenya wakizidiwa wao ndo wanatuita meza ya maridhiano.
Daah, ile game niliishtukia dakika za mwisho sana. Nilidhani vitu vilitokea coincedence kumbe ni dhamira kabisa.
 
Hawana njaa kabisa Hawa jamaa,
Wanajitegemea kwa kila kitu na wanaserikali Yao kabisa na kiongozi wao.

Putin Ni Kama godfather wao,
kaheshimu maamuz Yao Kama nchi huru, Ni waislamu Safi na wanajiendesha kwa Sharia Kama vile wako uarabuni.

Na uone walivyo na morali,
Kiongozi wao ndo Yuko mstar wa mbele kwenye Hii Vita uko Ukraine, hakai ofisni Wala kambini kutuma vikosi.

Yuko na vikosi Mona kwa Moja kwny battlefield, ndo uyo unaemuona.

Usiumize kichwa kumuelekeza huyo, hawa ndio walikuwa wataalamu wa afya hapo nyuma na saivi ni wataalamu wa geopolitics
 
Mbona wameuwawa wengi tena ile special force iliyotumwa kum assassinate zelensky?
Zile Ni porojo za Zelensky, kujimwambafai.

Uyo Zelensky alipoona chechens wameingia vitan, akajua wametumwa kumuua.

Hata juz wamezusha Eti kiongoz wao ramzan wamemdungua.

vyombo vyote west wameripoti kauwawa, afu jana ndo yule kahutubia.

Zile zilikua propaganda.
Hamna walikouwawa, ndo Maana hata picha moja ya maiti ya chechens hawawez kuonesha Zaid ya Maneno matupu.
 
Hayupo Ukraine ametuma vikosi vyake Ukraine. Pia Chechnya siyo nchi kamili ni semiautonomous chini ya Urusi kama zenji tu hapa bongo. Pia kumbuka ana upinzani mkubwa Chechnya wengi hawampendi kwasababu Chechens wengi wanataka kuwa taifa kamili hawataki kuwa puppet wa Moscow. Anamuunga mkono Putin kwasababu Putin anampa ulinzi
Hizo Ni propaganda za westerns kwasababu hawamtaki,
Wangelikua hawamtaki wangeshamtimua madarakani.

Yule jamaa anakubalila sana,
Ndo Maana hata Kwenye bendera Yao, picha yake iko pale Kwny kitambaa
 
Che
Mshirika mkubwa wa rais Putin ameomba mashambulizi ya kushtuza na mabaya zaidi yaruhusiwe na Putin nchini Ukraine ili majeshi ya Ukraine yasalimu amri ndani ya siku moja au mbili.

Ramzan Kadyrov ni kiongozi wa Chechnya ambaye ana cheo cha Meja Jenerali ktk mojawapo ya majeshi ya Russia na pia vikosi vyake vipo vitani nchini Ukraine. Meja jeneral Ramzan amemuomba rais Putin afumbie macho yatayowapata waUkraine na awaruhusu wao (makamanda wa majeshi ya Russia, akiwemo yeye Ramzan, nchini Ukraine) wanyunyizie mabomu mazito Ukraine na kuwapa mapigano ya kushtukiza na mfululizo ili kumaliza vita hiyo mara moja.

Generali huyo alimuomba rais Putin kuachana na mapatano akidai 'yasiyo na maana' na badala yake kudraft mipango ya kusitisha mapigano tu kwa muda, na kisha kuongeza zaidi spidi ya mapambano (vita).

Ukisoma maneno yake huyo jenerali ktk kiingereza (hapo chini, maandishi yalokolezwa) utatambua kuwa huyu kamanda ni nyoko aisee. Yaani ni mtu wa vita tu na hana hata chembe ya huruma na adui vitani.

View attachment 2139106

======

March 4, 2022

A key ally of Vladimir Putin has called for a blitzkrieg of savagery to be unleashed in Ukraine to force a surrender ‘within a day or two’.

Ramzan Kadyrov, the leader of Chechnya who holds the rank of Major-General in the Russian National Guard and whose forces are deployed in Ukraine, is urging the despot to bombard Ukraine into submission to spare further Russian losses

In an audio message to Putin, the 45-year-old said: ‘Comrade President, Comrade Supreme Commander – I have said multiple times that I am your humble footman, that I am ready to give my life for you.

‘But I cannot keep looking at my – and our – fighters dying, our defence ministry forces, national guards and others…

‘I am strongly asking you to shut your eyes to everything, and allow us to finish it all within a day or two.


He told the Kremlin leader to abandon ‘useless’ negotiations and draft ceasefires or peace deals with the Ukrainians and speed up the war.

‘All these negotiations are useless, the longer we wait, the more sanctions they produce,’ he said, referring to the West.

‘All these papers, negotiations are no good.. they can shove these papers up where they want to.

‘As a fighter, as a general, I cannot watch our fighters getting killed not in a fight but while waiting, from shooting by these devils, these Bandera people, these Nazis.

‘I am sure that you will make the right decision and order to completely take Ukraine, and to destroy these demons.


Chechen ni jimbo, nchi na kwanini wanachuk na Ukrainë hivyo...
 
Back
Top Bottom