myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Kila mtu ni mjuzi kwa namna yake. Lete ujuzi wako tujadili..Hamnazo unajifanya mjuaji tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu ni mjuzi kwa namna yake. Lete ujuzi wako tujadili..Hamnazo unajifanya mjuaji tu
Subiri hapahapa tutakuja kurudia hizi comments..Hamnazo unajifanya mjuaji tu
SawasawaHayupo Ukraine ametuma vikosi vyake Ukraine. Pia Chechnya siyo nchi kamili ni semiautonomous chini ya Urusi kama zenji tu hapa bongo. Pia kumbuka ana upinzani mkubwa Chechnya wengi hawampendi kwasababu Chechens wengi wanataka kuwa taifa kamili hawataki kuwa puppet wa Moscow. Anamuunga mkono Putin kwasababu Putin anampa ulinzi
Na Mbona hajamaliza vita na misururu ya silaha hizo?Silaha zote zinazotumika ni technology ya miaka ya 90s kurudi nyuma new technology bado mzigo haujaguswa
Kutumia nuclear ni dalili nyengine mbaya zaid kushindwa vita: Suali; Je hii ndio Russia tuliyoambiwa na kusifiwa?Kitu unachowaza sivyo kama ilivyo angetaka kumaliza sasa hivi ingekuwa historia hakuna hata sisimizi agekuwa hai hapo ukrein. Maana angeamua kufagia wale raia waliyokaa barabarani mgekuwa mnalilia hovyo. Kumbuka sasa hivi pia USA na NATO wapo mzigoni kwa hivyo anawabonda wote.
Hakuna uthibitisho popote pale wa hizo propaganda.Mbona wameuwawa wengi tena ile special force iliyotumwa kum assassinate zelensky?
Kama unafatilia vizur hii Vita,
Utagundua Hawa chenchnia Ni Moto wa kuotea mbali.
Hawa jamaa Ni Giants sana,
(Ukiwaangalia wakiwa na mateka wao au Raia wa kawaida, utadhani ni Daudi vs Goliathi.
Afu kwny Vita kila wanakopita wanafagia haswa, Ukraine soldiers wanakimbia na kutelekezea kambi, vifaa na mizinga n.k
Chskushangaza Hawa jamaa,
Hawana hata cover ya ndege Wala kifaru, wao wako kwa mguu TU.
Ila kichapo wanachotembeza utadhani wako kwny Hollywood movies.
Daah, ile game niliishtukia dakika za mwisho sana. Nilidhani vitu vilitokea coincedence kumbe ni dhamira kabisa.Kabisa,
Magu namfananisha na Putin.
Ule mgogoro na Kenya yeye alikua anajibu kwa vitendo, Afu wakenya wakizidiwa wao ndo wanatuita meza ya maridhiano.
Hawana njaa kabisa Hawa jamaa,
Wanajitegemea kwa kila kitu na wanaserikali Yao kabisa na kiongozi wao.
Putin Ni Kama godfather wao,
kaheshimu maamuz Yao Kama nchi huru, Ni waislamu Safi na wanajiendesha kwa Sharia Kama vile wako uarabuni.
Na uone walivyo na morali,
Kiongozi wao ndo Yuko mstar wa mbele kwenye Hii Vita uko Ukraine, hakai ofisni Wala kambini kutuma vikosi.
Yuko na vikosi Mona kwa Moja kwny battlefield, ndo uyo unaemuona.
Sawasawa...Vikwazo vinawaathiri sasahivi. Wewe nukuu hizo halafu wiki mbili zajazo tutakutana hapahapa..
Kasimuliwa na marehemu baby yake, afu kapigwa kambaKama ni rahisi ku-google nawe si unge-google ili uwe wazungumza vitu vya uhakika? Au umeibiwa smartphone yako?
Zile Ni porojo za Zelensky, kujimwambafai.Mbona wameuwawa wengi tena ile special force iliyotumwa kum assassinate zelensky?
Hizo Ni propaganda za westerns kwasababu hawamtaki,Hayupo Ukraine ametuma vikosi vyake Ukraine. Pia Chechnya siyo nchi kamili ni semiautonomous chini ya Urusi kama zenji tu hapa bongo. Pia kumbuka ana upinzani mkubwa Chechnya wengi hawampendi kwasababu Chechens wengi wanataka kuwa taifa kamili hawataki kuwa puppet wa Moscow. Anamuunga mkono Putin kwasababu Putin anampa ulinzi
Chechen ni jimbo, nchi na kwanini wanachuk na Ukrainë hivyo...Mshirika mkubwa wa rais Putin ameomba mashambulizi ya kushtuza na mabaya zaidi yaruhusiwe na Putin nchini Ukraine ili majeshi ya Ukraine yasalimu amri ndani ya siku moja au mbili.
Ramzan Kadyrov ni kiongozi wa Chechnya ambaye ana cheo cha Meja Jenerali ktk mojawapo ya majeshi ya Russia na pia vikosi vyake vipo vitani nchini Ukraine. Meja jeneral Ramzan amemuomba rais Putin afumbie macho yatayowapata waUkraine na awaruhusu wao (makamanda wa majeshi ya Russia, akiwemo yeye Ramzan, nchini Ukraine) wanyunyizie mabomu mazito Ukraine na kuwapa mapigano ya kushtukiza na mfululizo ili kumaliza vita hiyo mara moja.
Generali huyo alimuomba rais Putin kuachana na mapatano akidai 'yasiyo na maana' na badala yake kudraft mipango ya kusitisha mapigano tu kwa muda, na kisha kuongeza zaidi spidi ya mapambano (vita).
Ukisoma maneno yake huyo jenerali ktk kiingereza (hapo chini, maandishi yalokolezwa) utatambua kuwa huyu kamanda ni nyoko aisee. Yaani ni mtu wa vita tu na hana hata chembe ya huruma na adui vitani.
View attachment 2139106
======
March 4, 2022
A key ally of Vladimir Putin has called for a blitzkrieg of savagery to be unleashed in Ukraine to force a surrender ‘within a day or two’.
Ramzan Kadyrov, the leader of Chechnya who holds the rank of Major-General in the Russian National Guard and whose forces are deployed in Ukraine, is urging the despot to bombard Ukraine into submission to spare further Russian losses
In an audio message to Putin, the 45-year-old said: ‘Comrade President, Comrade Supreme Commander – I have said multiple times that I am your humble footman, that I am ready to give my life for you.
‘But I cannot keep looking at my – and our – fighters dying, our defence ministry forces, national guards and others…
‘I am strongly asking you to shut your eyes to everything, and allow us to finish it all within a day or two.
He told the Kremlin leader to abandon ‘useless’ negotiations and draft ceasefires or peace deals with the Ukrainians and speed up the war.
‘All these negotiations are useless, the longer we wait, the more sanctions they produce,’ he said, referring to the West.
‘All these papers, negotiations are no good.. they can shove these papers up where they want to.
‘As a fighter, as a general, I cannot watch our fighters getting killed not in a fight but while waiting, from shooting by these devils, these Bandera people, these Nazis.
‘I am sure that you will make the right decision and order to completely take Ukraine, and to destroy these demons.
Sahii kabisaUsiumize kichwa kumuelekeza huyo, hawa ndio walikuwa wataalamu wa afya hapo nyuma na saivi ni wataalamu wa geopolitics
Ooh, Basi ulichelewa Sana.Daah, ile game niliishtukia dakika za mwisho sana. Nilidhani vitu vilitokea coincedence kumbe ni dhamira kabisa.
Jenerali ndo uyo Apo, sijajua labda waseme wamemuua jelelari ulimwengu wa buzaGeneral wao amekufa kama Kuku hapo Ukraine juz, hawana jipya