Kiongozi wa Hezbollah: Hakuna sehemu itabaki salama ndani ya Israel

Nimesoma taarifa mahali leo inasema Msemaji wa jeshi la Mayahudi ndugu Daniel Hagari amekiri wazi kuiangamiza Hamas ni ndoto ya mchana.
Maana ni vigumu kuitenganisha na mioyo ya Wapalestina walio wengi! Na ameishauri serikali yake ikubali tu kubadilishana mateka na wafungwa.

Ukijumlisha na makombora yanayorushwa kila siku kutoka Lebanon kiasi cha kusababisha Mayahudi zaidi ya laki moja kuyakimbia makazi yao! na tishio kali kutoka kwa kwa hao Hezbollah kupitia zile clip zao zinazoonesha maeneo yote nyeti ya Mayahudi! Ukimjulisha na ile dhoruba inayofanywa na Wahouth! Bado wale jamaa wa Syria na Iraqi! Shinikizo la Kimataifa!

Aisee Mayahudi pamoja na kaka yao Marekani wana wakati mgumu. Wakubali tu kushindwa. Maana hawana uwezo wa kupambana na Hezbollah pamoja na hao Hamas.
 
yah.
Inawezekana ni kweli au prp za vita
 
Hezbollah hana ubavu wa kuipiga nchi yoyote ya Ulaya. Atapigwa mtungo hataamini.
 
Wewe amka fasta utakata kimba kitandan
 
huna tofauti na wale wasabato masalia
 
Hezbollah ni mtaalamu wa hizi mambo , hata US anajua ndio maana Biden katuma mtu wake haraka kule lebanon, nakuhakikishia kule lebanon Mh Bibi atakutana na resistance ya kweli sio kama ya wale Hamas
Cyprus atafungua anga Muisrael apitishe vitu na Hezbollah hatakuwa na cha kumfanya.
 
Umejuaje
 
Gogo na magogu
Hapo babel mkuu ni nani ni russia au mareksni?
 
HAMAS walitamba hivyo hivyo sasa hivi wanabokolewa vilivyo kama kuku bandani.
Haha jifurahishe tu maneno yako yange kuwa na kweli angeisha komboa mateka wake wote, kaingia vita ya Gaza kwa malengo matatu hakuna hata moja Israel kafanikisha.

Alicho bahatika ni kukomboa mateka 4 kawakomboa tena kwa kusaidiwa na America na UK, tena kwa kutumia magari ya misada hi ni aibu kwake.

Na kila kukicha anapokea kichapo 12 watatu mara wanane mara 20 mara aisay Hamasi ana wamaliza wanajeshi wa Israel, huko Lebanon akigusa ndio bye bye this time Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…