Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

Mmeshawapa utamu kidogo wa kuendelea kuwakandamiza! Uoga wa watanzania ndo unazidi kuwapa morali wameshanogewa. Kwahiyo ishakuwa kama mazoea. Tumerudi nyuma sana kama enzi za ukoloni!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Endelea kukereka aliyekwambia mimi Mtanzania nani?

Wewe ambaye hujakataa tamaa endelea kufanya kilicho sahihi kwako usitake kila mtu awe kama wewe.
Sasa mbona na wewe unamshauri Kipanya ujinga halafu ukiambiwa unasema eti "usitake kila mtu awe kama wewe", mbona wewe unataka Kipanya awe doko kama wewe kwa ushauri wa kisengerema?
 
Sasa mbona na wewe unamshauri Kipanya ujinga halafu ukiambiwa unasema eti "usitake kila mtu awe kama wewe", mbona wewe unataka Kipanya awe doko kama weewe kwa ushauri wa kisengerema?
Usitake uwe kama Mimi huyo Kipanya mnampa kichwa ila akiondoka mtabaki kupiga kelele.

Hamjui kati ya Tahadhari na Ujasiri.
 
Usitake uwe kama Mimi huyo Kipanya mnampa kichwa ila akiondoka mtabaki kupiga kelele.

Hamjui kati ya Tahadhari na Ujasiri.
Kuondoka lazima watu wataondoka tu for the sake of our Country. Wewe umeshamwambia mwenzako asikulazimishe uwe na mawazo sawa na ya kwake.Lakini wewe unataka watu wawe na mawazo kama ya kwako. "Tahadhari", ni kutaka kuwa wewe na mawazo kama yako, na "ujasiri" , ndo kama Kipanya sasa.(Food for thought)
 
Maumivu ya mwiba husikika pale palipo jeruhiwa, hamtakuwa na Msaada wowote kwa Kipanya zaidi zaidi mtaanzisha Vuguvugu la kelele mitandao tu.
 
Maumivu ya mwiba husikika pale palipo jeruhiwa, hamtakuwa na Msaada wowote kwa Kipanya zaidi zaidi mtaanzisha Vuguvugu la kelele mitandao tu.
Inaonekana wewe siyo mpenzi wa somo la historia. Hata jiwe pengine he's lacking that knowledge. A very important aspect for nation's leader. Na kama ni mtupu hapo kama wewe, then alitakiwa awe mtu anayekubali ushauri. Ujuzi wa maganda ya korosho pekee hautoshi kuongoza nchi inayohitaji quite a vast knowledge in ones head, na kama hauna, if you have some leaderships qualities, then utakubali ushauri. As oppose to now with jiwe, where the nation is in a ditch.
 
Hizo Historia ambazo ulizisoma na unazitukuza haziwezi kuwa sawa na haya ya sasa.

Dunia inapita kwenye wakati ambao imevua nguo zote na kila mmoja ni kichaa kuliko mwenzake. Kutaka mwenzio awe sadaka ya ukombozi wako ni aibu kama unaona unataka uhuru wa pili ingia barabarani uutafute.
Inaonekana wewe siyo mpenzi wa somo la historia. Hata jiwe pengine he's lacking that knowledge. A very important aspect for nation's leader. Na kama ni mtupu hapo kama wewe, then alitakiwa awe mkubali ushauri.
 
Kwani waliompigia wana timu ya ndondi? Kwanini afute? Nini tafasiri yako kwenye hii katuni?
 
Angalia bado unalazimishia watu wawe kama wewe!🙂

Wewe nitajie Taifa moja lilokuwa na wananchi waoga kama sisi na likapata maendeleo. Kumpa huyo mtu wako ukichaa na wakati yuko ikulu ndo ukichaa wenyewe huo kuliko hata kichaa mwenyewe.Dunia haina historia nzuri kwa vichaa kama jiwe, ntajie mmoja!

Unatajataja dunia na huku hata haufahamu historia yake kama jiwe aliyesema Saddam Hussein wa Kuwait halafu mkapampa urais!Maybe kwasababu alitumwatumwa na JK kwenye hizo wizara, utafiti wa utomvu wa korosho na kukariri?! Very stupid!
 
Kwani sirikali ina timu ya ndondi? Kwa nn afute? Inatishia amani ya nchi?
 
Ni hofu tu hiyo katuni inaweza kutafsiriwa kwa namna nyingi. Kwanza si lazima huyo bondia awe aliyetengeneza hiyo sanamu.
taafsiri nyingine yaweza kuwa huyo bondia amepungukiwa na akili kupigana na lisanamu awe katengeneza yeye au mtu mwingine.
pili huyu amevaa jezi na jezi hazivaliwi na wanasiasa! probably ni Yanga!
Tatizo ni hiizo rangi au?
Bondia ni Giant asiye na akili timamu. Giant ni nani na ni kwa nini kapewa hizo rangi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…