funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii.
Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii tunaishuhidia kweli na kweli tupu ya ujenzi wa shule za Amali(vocational secondary schools) zaidi ya 103.
Hapa unaongelea wahitimu sio chini ya 40,000 kwa mwaka ambao kazi ya haitakuwa uwanaharakati wa mtandaoni bali watenda kazi za mikono katika muktadha wa sayansi na teknolojia.
Kitokana na uwepo wa ngwini wengi katika Taifa hili tumejikuta tunaacha milestones muhimu kama hizi zikipita bila kusemwa kwa uzito wake.
Lakini wachache wa aina yetu hatutoacha kamwe kusema
Hongera mhe.Rais na Mungu abariki fikra,maono na matokeo ya kazi zako.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!